Dah mamaeh umekula tunda kiutani utani [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda bure, upo real Sana, kuliko hawa wanaojifanya watakatifu uchwara wanaoishia kuliwa na viongozi wao wa dini.
Hongera sana.
Haya ni mapito tu ya maisha na hapa tupo kupeana experience na sio kunyoosheana vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani elimu inahitajika kwa baadhi ya watu uhuru wa kujieleza unatusumbua misukule ya Africaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ninyi ndyo mlihamishiwa Mwenge University kipindi kile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani elimu inahitajika kwa baadhi ya watu uhuru wa kujieleza unatusumbua misukule ya Africaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli na wengine maisha yamekuwa magumu sana kwao yaani wamesahau kabisa kwamba wanahitaji kuwa na furaha.

Wamebaki na chuki, hasira na roho mbaya ku-judge watu wengine badala ya kushughulika na maisha yao. Achana naye mwache atangulie mbinguni na utakatifu wake. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nimekosea piah nashukuru naomba anirekebishe mm huwa napokea ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta visa tu mdada, achana na watu wenye frustrations za maisha, hapa kuna visa zaidi ya 3000, means kwenye visa hivi kuna wanawake zaidi ya 3000 pia walio liwa kimasihara,ina maana wote malaya hao??
Kwenye visa vingi vinaelezea mmoja wapo anakuwa anatengeneza mazingira,vingine vinaelezea wote Me/Ke wanatengeneza mazingira na vingine vinaelezea wote mnakuwa mamtarajii inatokea tu!! Huyo anaejiona decent sana atupishe asituharibie uzi wetu, aanzishe wake wa ma decent wenzie!!
Wanawake tunaliwa sana kimasihara ila tukisema tuandike mnasema sisi Malaya duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiasi kikubwa wanaume ndio waanzilishi wa kula kimasihara kuliko wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…