Nimeshamsaidia Kumuitia Watu Wa Kumuelewesha.

Amachofanya Ni Sawa Na Kwenda Bar Uagize Maji Halafu Uchukue Mic Na Kuwatukana Wanaokunywa Pombe

Simu Zetu, Bundle Letu, Ac Zetu, Akili Zetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Na dhambi zetu. Nimemwambia atangulie paradiso kama anaona hapa watu wana dhambi sana.
Wamama wa hivi huwa wanatesa sana ma-house girl wao.
🤣🤣🤣🤣
 
Huyo mnyaru alikuwa ametoka visiwa vya lake Victoria kuuza nyapu, wanyarwanda huko visiwani ni wengi mno..ukiwaona na mabegg jua wamebeba zawadi za ndugu zao hasa samaki&dagaa wa Victoria..

[emoji117]hivi mabaharia tunapata wapi ujasiri wa kupiga deki kwa mademu tusio wajua yaani kuonana nao kwa moja tu mnafikia huko kote..hivi kama wewe amekupa kimasihara unajua ni wangapi kawapa?

[emoji117]Kingine hawa mademu waopenda kuzuru ziwa Victoria wengi wao wana magonjwa ya zinaa sugu, angalieni usalama wa koo zenu, mtapata kansa za koo kwa kupenda kupiga deki pasipo kutafakari..pia kinga ni lazima mjue

#Tusiache kula kimasihara ila tahadhari ni bora sana, maana ukipotea wewe mmoja tutakuwa tumepoteza member watu wa hapa jamvini.. Ni hayo tu kwa leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki mkuu, ukiamua kutumia kiswahili basi tumia kiswahili tu, na kama umeamua kutumia English basi tumia hiyo hiyo mwanzo - mwisho, sasa mambo za kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja ili uonekane msomi ujue unajichoresha na ndio maana story yako haina like hata moja.. Kweli unatupotosha mabaharia, arafu story yako inakoswa mvuto kuisoma..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii nimeikubali %
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa mabavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiukweli madem waliokuwa wabaya huko primary na seco kwa sasa wengi ni pini mbaka baharia unajiona pimbi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…