KING Y huyo alienitesa ni white na huyu chocolate color na mke nilieoa ni white so huyo aliekuwa ananizingua ni msichana ambae pia tulisoma nae Shule ya msingi na pia ni jirani yetu kule kwa wazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo acha na mimi nilete kisa kidogo, nilikua kila mda nikitaka kuandika mama watoto anatokea na kuniuliza kama huaga nachangia huku inabidi nivunge na nifute. In short hajui kama kuna username yangu JF.

INAANZA
Nikiwa chuo mwaka wa kwanza niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu mzuri sana ambae tulikua tukiishi mbalimbali yaani yeye yuko dar (college) na mimi niko Dodoma. Sasa kwa sababu ndio nilimpenda sana, nilipata maumivu sana na kuwaza nitatoka vipi, nilikaa single kwa mda wa miezi minne. Baadae nikapata msichana wa kilokole, na kwa sababu na mimi nilikua nasali nae so haikua kazi kwake kunielewa.

Niseme ukweli huyu demu mwanzoni nilimpenda sana na sikuwahi kufanya nae mapenzi maana sikua mtu wa kivile. Baada ya mda akaanza kuleta shida zake za familia na mahitaji mengi, ikumbukwe yeye ako na Boom 100% na mimi niko na 50% lakini yangu ndio tukawa tunagawana yeye yake haijulikani. Huyu dada nikaazimia kumwacha pasipo hata kumlala (kusex) nae, nilimpigia simu nikamweleza kwa upole kabisa kuwa anisamehe sana sitaki nimpotezee mda wake hivo naomba tuvunje mahusiano. Yule dada kiukweli alilia sana na kuwasimulia rafiki zangu namna nilivomfanyia japo huruma ilikua inaniingia lkn sikutaka hata kumrudia.

NAKULA KIMASIKHARA
Rafiki angu mmoja alimchukua yule dada na kumleta hostel akiamini nikimuona nitamuonea huruma, alivofika yule dada alijieleza sana huku akilia sana, huruma iliniingia nikajikuta naanza kumbembeleza na hapo roommates wangu waliondoka kwenda kula. So nikamvutia kifuani nambembeleza na akanyamza sasa kanyamza akiwa kifuani na tuko kitandani, nilianza mdogo mdogo yule dada alikua na nyege sana, nikajikuta nimemkula na bado baada ya tukio lile nilimuacha tena pasipo huruma na sikutaka kumwona tena.

But ile ni miongoni mwa gemu bovu nililowahi kupiga maishani mwangu...

Kisa kingine jioni wife akilala.
 
Pole sana Mkuu, tatizo litakuwa kwenye ushirikiano uliotoa kuna vitu ulimchanganya..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mkuu uliteseka sana ilikuwa haki yako kujipongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah..bigup mkuu.
Ya ukwel kinomaa
 
Mkuu hii ilikutokea mwaka huu huu, maana bado una mwandiko wa kitoto kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ina picha za kimahaba au mi ndo sijui kusoma lugha ya picha?
[/QUOTE]
Wakuu sasa hii stuad spray una2mia mboo ikiwa imelala au ume erect??
 
Hii spray unatumia dushe likiwa limelala au ime erect
 
Amesharendemkaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Imla ulipata 100% mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetokwa na machozi ghafla[emoji22][emoji22]..usingefika huko kote Baharia umekosea sana..kifo chake kimeniuma japo mhusika simjui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio kula kimasihara mkuu, jaribu tena baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Miruzi Ingenikuta mimi Ningeongeza kudunda kwa Mikogo
 
Bora ww umeongea ukwel mwsho, kula kimasihara ukwel ni kwamba kupaform vzr ni asilimia chache mno sababu ya mshangao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba "haviwezi kuwa kama masikio ya mbwa"

Nimecheka kifala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijakuelewa mwanzo mpaka mwisho[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…