Nikiwa chuo mwaka wa kwanza (2013) ule mda wa field nakumbuka ilikua ni miez mitatu au miwili kama sijakosea, mnajua kuna yale magroup ya wanafunzi wa college moja nzima. Sasa kuna manzi alielewa comments zangu akaingia inbox tukaanza stories, ukweli sikua namfaham coz kile kijiji kina watu wapya kila siku, tukachati na hatimae tukawa marafiki.

Field ilivoisha tukarudi chuo tukaonana tukafahamiana lkn sikumtongoza, yule dada alikua mnene wa uzuri lakini kapanda hewani kunizidi. Siku moja jioni saa kumi na moja hivi marafiki zangu wameenda kucheki mpira na mimi nisivompenzi wa mpira nikakaa room. Nilikua bored baadae nikaona nimstue best angu aje tupige story, yule dada hakua na hiana kaja room tumecheki movie kwa mda nikaanza kumtachi tachi naona anarespond positively, piga mate ikaja, lahaula nikaenda kupima oil, dah yule dada alikua na ku***a kubwa balaa, nikajipa moyo nitagonga hivo hivo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Nikaweka kibamia changu mle, loh asee hii ni gemu ya pili ya hovyo kwangu kupiga. Kesho yake demu ananipigia simu nikamnunulie chakula cafeteria sikuthubutu kwenda nikamblock na kuanza kumkwepa hata class nikaacha kwenda tukiwa tuna pindi la pamoja. Ila ile kitu bhana nilikuja kusimulia rafiki zangu walinicheka sana wakanitisha yule dem ana ngoma, asee nilihaha. Kuna jamaa angu alikua anakazia kabisa bro una ukimwi tayari, nilikua nammaindi bila yeye kujua. Nilikuja kupima nikiwa naelekea kuoa na nikawa fresh.
 
Nakupa salute baada ya kusoma mstari wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa salute baada ya kusoma mstari wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hasira za nini, ? Tulia na show zako za dk 2,

Kila mtu afanye yake , nafikiri hawakuathiri katika shughuli zako hao ulio walalamikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujafafanua jamaa kwa nini hakuku- text ama alifanya maksudi ili akuonyeshe jeuri yake, baada ya wewe kumletea nyodo kwa mda mrefu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahizi tunahitaji mliopima na mkakutwa na ngwengwe, wa kuwa fresh mmekuwa wengi sana..sasa kila mtu akiwa fresh mnataka tuamini kuwa HIV haipo ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahizi tunahitaji mliopima na mkakutwa na ngwengwe, wa kuwa fresh mmekuwa wengi sana..sasa kila mtu akiwa fresh mnataka tuamini kuwa HIV haipo ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ulinifanya nikapime keyboard nilikuwa situmii condom sababu zinapasuka haraka.
Nikakutana na mpya kuwa kuna vipimo vinadetect infection ya siku moja.

Dokta alipojidai anenda kutafuta madude yake chumba cha ndani nikachota 6 kwenye boksi.
 
Soma Uzi hatua kwa hatua. Kuna watu wengi tu humu wame-admit kupiga show mbovu kuliko zote. Halafu Kama unahasira hivi Nini shida mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wewe haupo bongo bahati mbaya?

#kwa nini usingechukua hiyo no. yake ukapata uraia kwa mabeberu mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichukua email yake tukaendelea kuwasiliana tatizo nilikuwa siingii kwa kuweka password sababu ilikuwa ni simu yangu hivyo nilikuwa naingia automatically.

Sasa nikapoteza simu na password siikumbuki ya email, niliweka password zote ninazozijua bila mafanikio then wakaiblock Google baada ya kufanya attempt nyingi zaidi wakahisi ni mhalifu. Ndio nkapoteza matumaini.

Facebook nimemsakua Hadi Basi nakutana na wenye majina Kama yake kibao na wote Sioni sura yake. Nika give up.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…