Mie nina visa vingi na vingine navikumbuka baada ya kusoma vya wadau

Kuna kipindi nikiwa Chuo Kikuu kimoja maarufu Moro mwaka wa tatu, sina ili wala lile alikuja demu mmoja mzuri sana mtoto anasoma kidato cha sita shule moja maarufu ya dini ya muda mrefu karibu na pale Tafori wazee wa codes mtakuwa mmenielewa.

Yule demu alikuwa anamtafuta jamaa yake anasoma pale ila demu hakuwa na simu miaka hiyo kumiliki simu ilikuwa issue so demu alikuja bila ahadi. Nikampokea nikampeleka room mida kama ya saa kumi na moja jioni.

Mzee nikajifanya msamalia mwema nikajitolea kumtafuta mshikaji wake pia nikamnunulia demu soda nikamwacha room. Nikamsaka jamaa nikaambiwa kaenda town na hana simu. Nikawaachia maagizo kuwa akirudi aje kunicheki room namba flani bweni flani. Mzee nikarudi room tukawa tunapiga stori na yule demu yaani alikuwa ananichangamkia utadhani tunajuana miaka kibao. Ikafika saa mbili usiku jamaa hajatokea nikaenda kumnunulia demu chips yai akala. Mara anaomba nimpeleke chooni (hostel za wanaume) nikampeleka. Sasa kuna mwanangu mmoja (sasa hivi mtu mkubwa sana nchini) nilikuwa nimeshamwelekeza kuwa kuna demu niko nae room anamtafuta jamaa yake ila jamaa yuko town na hana simu. Jamaa alinipa wazo la mbolea sana kuwa kwa kuwa nimeshauza ramani ya chumba nachokaa jamaa akirudi atamkuta demu wake na mie nitakuwa nimeingia loss ya misosi bila kumla demu, jamaa akashauri nihamie chumbani kwake (yeye mate wake alikuwa kaenda Dar) ili yeye akalale kwangu.

Lile wazo lilikuwa zuri sana nikamwambia demu nimwamishe room akalale kwa kuwa pale nilikuwa na mate wangu hapo mida ya saa nne hivi akakubali. Nikamwamisha room akaomba nimpeleke kwenda kuoga. Mzee nikampeleka akaoga alivyorudi akaniomba mafuta yaani wakati anajipaka mapaja yote wazi mzee nilisimamisha mnara demu akaona. Akawa anacheka anasema mbona umesimamisha hivyo nikamjibu nakutamani kupita maelezo, demu akanivuta tukaanza denda. Kilichoendelea baada ya hapo nilimgonga yule demu siku mbili mfululizo mpk nikawa nahisi sina nguvu kabisa. Kule room yule dogo alikuja mida ya saa sita yuko pombe akakutana na jamaa wakamwambia demu aliondoka kwenda mjini so dogo akawa mpole.

Huyo demu tuliendelea kama miaka mitano mbele mpk baadae nilipokutana na wife ndio nikamwacha rasmi. Alinitambulisha kwa mama yake na ndugu zake karibu wote. Tatizo lake alikuwa ana mambo ya kupenda umjini sana hakuwa wife material so sikutaka kumuoa. Mpk leo hajaolewa bado na imepita miaka kama 14
 
Dah umenikumbusha Facebook nilikulaga demu mmoja mkali sana alikuwa anaishi UK. Tulikuwa tunachat ujinga ujinga miaka karibia miwili wala hatujuani demu alikuwa anaishi UK ila she is from Mikocheni. Kama mtapendezwa nitawapa story yake nilivyomla aliporudi Bongo one time na kuondoka
 
Kama kiranja wa huu uzi nasema hii sio kula kimasihara, hii ni kutongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumependezwa , tupatie stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIKRA WANASUMBUA MI WAWILI NISHAWAPIGA CHINI KIMY AKIMYA WANSUMBUA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…