Punguza jazba Bosi,mchezo huu auhitaji hasira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba tupe na hilo balaa.huenda likawa somo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole baharia balaa gani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yangu ni moja tu! Ulitunukiwa zawadi maridhawa ukashindwa kuchukua. Vipi ulipokutana Dar, ulifanikiwa kuichukua au alishapewa baharia mwingine!?

Nilichojifunza ni kuwa wanawake wengi wanatoa tiGO kutokana na stori za vijiweni. Wanaelezwa na wenzao kuwa ni tamu na ina starehe adhimu kuliko papuchi. Kutokana na peergroup pressure, wanashawishika kujaribu. Mi yalinikuta ktk mazungumzo na Binti ambapo naliambiwa kuwa mwanzo inauma lakini baadaye inakuwa sterehe mujarabu.

Bazazi!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
😒😒😒duh
 
Balaa gani lililotokea mkuu tupe darasa tafadhali.
 
Mkuu ulisolve vipi msala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifanya mengi ikiwemo kupeleka maua na birthday cake ofisini lakini haikusaidia, mwisho niliamua kwenda nyumbani kwake, wanaishi eneo lililozungushwa uzio na ndani kuna nyumba kadhaa.
Nilifika saa tatu usiku akakataa kufungua mlango, nikamwambia nitalala hapo barazani. Nikavua viatu nikakaa hapo kwenye kibaraza chake. Saa saba usiku akafungua mlango akanikuta nipo nimeegemea ukuta.
Akaniambia embu ingia ndani na utalala sebuleni leo, nikaenda kuoga nikajilaza kwenye sofa.
Baada ya muda kaja na shuka akanitupia huku amekunja sura.
Nikamwambia nifanye chochote ili tu unisamehe hata kama ni kuniua wewe niue tu huku machozi yanalenga lenga machoni, binti akaja nilipolala akanipiga mabao ya kutosha mgongoni huku akilia , why why umeufanya hivyo lakini?!; Hapo hapo nikaishia kula tunda na kama mjuavyo mwanamke mwenye hasira huwa anainjoi sana sex akiamua kukupa. Nikamtandika pale pale sebuleni na nikapewa msamaha wa masharti mazito sana.
Mwisho wa yote alinisamehe na maisha yaliendelea.b

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu huyo demu ana nini cha ziada kilichokufanya mpaka umbembeeze kiasi hicho au Love tu?? Ulimuoa au???au alikuwaga anakupa nanilio????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…