Na zawadi yako ukapewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kiboko. Kuna;
1. Onesome: Punyeto
2. Twosome: Jambo la kawaida
3. Threesome: Adventure
4. Foursome: hii sijui ni nini

Bazazi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeshawahi kula tuna kimasihara, yaani hivi hivi kimasihara, unajua haya ni masihara?
 
Kupitia uzi huu nimegundua JF ni hazina ya Taifa.
Members wengi humu ni wasomi kuanzia Diploma level , bachelor degree, masters na PhD holders.
Pia wachache ni wameshia either form iv au vi lakini pia wana maisha yao au mishe mishe.

Pia kuna kundi flani bado ni wanachuo- hasa vyuo vikuu wanapiga shule.

Kundi la kwanza hapo juu wengi wapo makazini na wengine wana nafasi za juu kabisa serikalini.

Kupitia huu uzi wengi wanatoa flashback zao za skonga na vyuoni na kipindi cha kuanza maisha hasa kupanga kitaa.

Jf idumu milele, mimi nipo hadi comment ya mwisho. Story zinanisaidia kupunguza stress za zilizosababishwa naserikali ya awamu ya tano.
 
Yaan mkuu nlipoanza kusoma ngoma ili yanyuka just
Ulivoingizia 071....




#kamelala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Yaani ulikuwa unafanya uchambuzi. Tema uchambuzi yakinifu kujua maisha ya wengi wa wanaJF. Upo sahihi na ndio sababu JF ni moja ya mtandao wa kijamii unaoheshimika kwa taarifa zake. Mwingine ni tweeter.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nafikiri hizi story mngekuwa mnazileta tu moja kwa moja haya mambo ya baadae sio issue wala nini anyway mwanangu hebu tupe ilikuwaje mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…