Koh kohh kohh nimepaliwa na tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
EATV ilivyo sababisha nikamla kimasihara....

miaka ya nyuma kipindi nasoma o-level kuna binti mmoja wa kichaga nilitokea sana kumpenda
alinifanya nikapata ufaulu mdogo, nilikuwa namuwaza muda wote ata nikasahau masomo.
katika harakati za maisha baada ya kumaliza chuo, nikawa nafanya kazi chini ya ofisi moja ya mkoa fulani
hapa nchini.

ghafla bi vu....! kukawa kuna sherehe za makabidhiano ya ofisi, mkuu wa mkoa huo alikuwa amepanda cheo,
ikafanyika ghafra fupi ya makabidhiano ofisi kwa wakuu hao wa mkoa,

nikiwa kijana mdogo kabisa mwenye miaka 20+ tu nilikuwa miongoni mwa watu muhimu nilipata bahati ya kukaa
siti za mbele kabisa pembeni yangu alikuwa kaimu kamanda wa polisi wa mkoa {nyota zimejaa mabegani}
alikuwepo kamanda wa magereza, makamanda wa majeshi {wote wakiwa na nyota za kutosha nyingine wameweka kwenye magari yao}

na mimi nilikuwepo kijana pekee ambaye hakuna aliyekuwa anajua kwenye kile kikao kwanini nilipewa kipaumbele cha kukaa siti za watu muhimu namna ile. tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye chaneli mbali mbali ikiwemo EATV. ikawa bahati nikapata fursa ya kuongea watanzania wengi walinisikia na kuniona kwenye video,

baada ya lile tukio kuisha nilipokea simu nyingi sana kutoka kwa marafiki zangu, wakitaka niwatafutie kazi
kwa bahati bwana miongoni mwa simu niliyopekea ilikuwa ya yule binti ambaye nilimpenda sana, tulizungumza mengi kisha akaniambia kuwa ameniona kwenye TV, eti anadai nimekuwa na anatamani kuniona doh.....!

sikufanya makosa kabisa, tukapanga baada ya mwezi nikamtumia nauli, alifikia kwenye hotel kubwa, nilimt*mba kwa hasira usiku kucha, sikuhisi utamu wowote, alikuwa ameshatumia, akiwa bado amelala alfajiri niliamka bila kumuamsha, nikamuachia nauli kama 100k hivi kisha nilimblock kwenye mawasiliano yote.

siku wasiliana nanae tena hadi leo na wala sina mpango kabisa wa kumtafuta. hapo ndio niliamini ule msemo unao sema "unae mpenda hakupendi, anaye kupenda humpendi"

WANAWAKE TUKI WAPENDA PENDEKENI MKISUBIRI TUFANIKIWE NDIO MTUPENDE, MTAKUWA MNAKOSEA.

kumbukeni kuwa mwanaume huwa na kipindi maalumu cha kumpenda mwanamke, kipindi hicho kikishapita uvumilivu nao unaisha kabisa, akitokea mwingine akaokota pendo lile la mwanzo hufa kabisa.
 
et nyota nyingi mabegani na nyingine wameweka kwenye magari yao hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU UZI UPEWE HADHI YA KUA UZI BORA TOKA JF IANZISHWE..
Nazi za huu Uzi ni
..kuondoa stress
..kuelimisha
..
..Kuburudisha
..kuongeza msukumo wa damu
..kupunguza kisukari
..kulainisha ngozi
..kuondoa chunusi
..kutibu kikoozi
..kuongeza hamasa
..kupunguza ukali wa maisha
..kuongeza kumbukumbu
..kuongeza uwezo wa kuona
..kuongeza concentration
..kulala usingz mnono
..hufanya mtu kujiamini zaidi
..kupunguza baridi
..kuongeza joto
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka katika miaka ya utoto, nilitokea kupendana mno na binti ambaye alikuwa ni jirani yetu, baba yake alikuwa ni askari jeshi, Mkuu wa Mgambo wa Mkoa. Hakika tulipendana sana na fa familia zetu zililijua hilo. Tulisoma na pamoja na mara nyingi tulicheza michezo ya kitoto pamoja. Yalitokea maneno toka kwa vijana wengine kudai sisi ni wapenzi lakini haikuwa kweli. Mambo ya kujamiana hayakuwa kichwani mwetu japo kuna hisia za mapenzi zilikuwa zikichemka. Kaka zake huyu binti walikuwa ni marafiki zangu kweli!

Baada ya kumaliza masomo ya shule ya msingi, huyu binti yeye hakufanikiwa kuendelea na sekondari ila mimi nilichaguliwa kujiunga na sekondari moja mkoa wa Kilimanjaro. Binti yeye alienda kuishi Tabora kwa dada yake ambaye alikuwa kaolewa na askari jeshi. Baada ya kumaliza kidato cha nne, nilipangiwa kujiunga na kidato cha tano katika shule moja mkoani Tabora. Hivyo ikawa bahati tena ya kuungana na huyo binti. Kila Jpili nilikuwa nikienda kula mchana kwa dada ya huyu binti. Akiwa Tabora, huyu binti alianza mafunzo ya Uuguzi katika hospitali (Nurse Assistant). Mimi baada ya ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita, nilipangiwa kwenda katika kambi ya JKT, Mafinga kwa mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria hata hivyo sikwenda Mafinga bali nilibadilisha nikaenda Msange JKT hapo hapo Tabora. Hivyo tuliendelea kuwa karibu.

Mara baada ya kumaliza mafunzo ya JKT nilipata bahati ya kuchaguliwa kwenda kuendelea na masomo ya juu nje ya nchi ambako nilikaa kwa muda wa miaka sita. Kwa muda wote huo tulikuwa tukiwasiliana na huyu binti kwa barua (ikumbukwe enzi hizo simu za mikononi zilikuwa bado). Na kipindi hicho, tayari Baba yake alistaafu na kurejea kwao Tanga. Huyu binti baada ya mafunzo yake, alirudi mkoani kwetu kuishi na dada yake mwingine ambaye alikuwa kaolewa huko. Alifanikiwa kupata kazi kama Muuguzi Msaidizi katika hospitali ya Mkoa.

Akiwa huko alifanikiwa kupata mchumba na kuolewa. Ndoa yake mwanzo ilikuwa nzuri lakini kadiri muda ulivyokuwa ukienda hali ilibadilika na upendo kukosekana katika ndoa hiyo. Tatizo kubwa lilikuwa ni kukosekana kwa mtoto katika ndoa. Pamoja na jitihada nyingi za kitabibu kufanyika lakini binti huyu hakushika mimba. Hapo yakanza manyanyaso, masimango na vipigo juu! Alikuwa akiniandikia na kuniomba ushauri.

Baada ya kurudi nyumbani kwa, nilimkuta akiwa kwa Dada yake, kakimbia kwake baada ya vipigo kuzidi. Nilimtembelea jioni moja hapo kwa dada yake na baada ya kupata chakula cha jioni tulikaa sebuleni na kaanza kunisimulia yanayomsibu. Alikuwa kakaa pembeni yangu akiegemeza kichwa chake katika bega langu huku akilia. Nilijisikia vibaya na nikakosa mbinu ya kumfariji ili asilie, maskini mimi! Nilianza kumpiga piga mgongoni kumbembeleza na kumvutia kwangu. Nilisimama kisha naye akasimama akakiweka kichwa chake kifuani kwangu. Nikayashika mashavu yake yote kwa viganja vyangu na kumtazama usoni.....bila kutarajia nikajikuta nimepewa ulimi nami bila kujijua nikatoa ushirikiano. Kilichofuata nilijikuta niko chumbani kwake na tumeshiriki tendo la ndoa bila ya kutarajia tena bila condom! Anyway, tulipima baada ya muda na majibu yalikuwa safi. Tulijikuta tunatoka katika urafiki na kuwa wapenzi....... Hata hivyo nilimjulisha kuwa nina mchumba na nikamtambulisha kwake. Alshiriki kikamilifu katika ndoa yangu na hadi kesho yeye ni mshauri wangu namba moja katika maisha.
 
Ni vema usichanganye lugha maana lugha nyingine huitendei haki!
 
njoo kwetu,

Kwa harakaharaka inaonekana kitandani ni 0 manake kama ungekuwa unayaweza mambo lazima angekukubali....hakunaga mwanamke anayekunwa vizuri halafu akaja kumkataa mkunaji

Usicheke,jitafakari​
unaushahidi na hili? kapicha tafadahli
 
nilibadilisha nikaenda Msange JKT hapo hapo Tabora
Oooo yes! mwake humu! Operation gani ulienda pale Masange JKT?

Afande Wawa unamjua weye?

Manyirizu?

Afande koplo Manywele korofi hili jamaa!

SIPI majidai JE?

Igombe Detatch unaijua kweli?

Karunde?

Dunia Farm? tukutane Bustani kumwagilia Andrew Rwanda ST.

Ma-burn Unayajua? Usawa wa Mtulinga je waujua!

Mimi ni Major ODO mkali wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…