Ilikua n mikakati y ushindi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaenda kituo chochote cha Afya unawaelekeza ulichokifanya wanakupima ukiwa négative wanakupa PEP unameza kwa mwezi mmoja then unapima unakaa miezi mitatu tena unapima..... Taratibu uende na uliyefanya nae uzinzi ili wote muwe tested ili kama wote wazima kusiwe n haja y kutumia PEP ila kama mmoja yuko HIV+ upewe huduma hiyo.
Hizo pep zina patikana maduka ya dawa au ndo mpaka uende vct sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliweka ahadi unatakiwa uitimize,, .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wizi mtupu.....
 
Kesho yake ikawaje baharia je hukupasha kiporo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1] ngoja wakusikie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah!! Brother fanya utoe kitabu tutanunua tu maana hizi episode nizaidi ya Shigongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa dem wakwanza kakupiga blow job ukapiz wapili pia blow job ukapiz...

Kikubwa ulikumbuka ndom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiseme maisha yetu magumu sema maisha yangu magumu. Kama laki ni kubwa kwako kuna watu wanaspend hiyo kila siku na sio kitu cha ajabu kwao.
Mpaka dem anaamua kumtajia jamaa laki ujue ameshaoja jamaa ni wa hadhi hiyo .
Humu kuna watu wakubwa sana aisee ,usichukulie poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh hii kama muvi vile inayotumia akili nyingi.

We noma saana mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…