Mkuu samia kwa sasa ni mke wangu. Si huyu A level alisoma songea huko na chuo akasoma mji kasoro bahari.


Acha kabisa mazoea nae. Tasavali plizzz


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanamatatizo ya moyo kutokana na mavyakula mnadhani ni Utamu.
 
Kumbe bikini huwa inavuliwa
 
Chaiii nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbaali mno,hayo maeneo 1996-2000 tuliyaita Serengeti maana kulikuwa na watoto wakali ajabu,kila likizo lazima tuzame hapo kuvizia mademu maeneo ya mkoani,mailimoja na tumbi.Sitasahau niliopoa mtoto wa mkuu wa wilaya flani enzi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe elimu haikukusaidia kabisa. Huu uandishi hata la tatu a haandiki hv, hakuna nukta wala koma, mwisho kiingereza kimekaa kijapanjapan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanangu mmoja hivi kanitambulisha kwa demu wake. Akania huyu ndio shemeji yako yako mbele ya yule demu, Mwana akiniangalia mimi demu anaonesha ishara kama ya kukataa kuwa sio kweli.

Basi siku moja nikakutana na yule manzi akiwa peke yake nikamuuliza vipi siwaelewi wewe na mwenzio akasema siwezi kuwa na yule mtu ana utoto mwingi sana mpaka leo bado ananisumbua tu ila sijamkubalia.

Nikaona isiwe case nikamwambia kama hautojali naomba weekend hii twende South beach akasema nitakujulisha akachukua namba yangu ya simu.

Picha linaa hiyo siku ilikuwa friday namuona amevaa baibui hivyo nikajua hapa hawezi kutoka huyu. Basi ilipofika midaa ya saa nane akanitext "Mbuna am ready "

Nikamabia chukua Uber utanikuta nipo huku ila kiukweli sikuwa huko. Niliwasha ndinga fasta nikawahi eneo la tukio ila nafika na yeye ndio anaingia uber hakupata alikuja na bajaji.

Kushuka tu kwenye bajaji akatoa ile baibui kudadeki nilipagawa kwa ile nguo aliyovaa na shape yake nilipata ganzi kidogo ila nilijikaza.

Tukaingia pale beach kama vile mtu na mpenzi wake nilimshika kiuno naye akanishika tukaa beach for sometime as yeye hanywi kilevi na mimi ndio hivyo pia situmii gambe .

Ilipofika saa tatu nikamwambia nikupeleke kwako akaniambia leo nahitajia kuumaliza usiku nikiwa nawe. Nikamwambia nina mke na watoto hivyo siwezi kulala nje ya nyumba yangu if it is possible tukaspend then saa tano nakurudisha kwako na mimi naenda home.

Alikubali tukaenda lodge moja hivi maeneo ya airport, kuingia tu binti kaenda maliwato kujisafisha then akaja kwa bed then akanipa blowjob ya kutosha nagusa nakuta njia ipo tayari kwa ajili ya kutumika.

Nikapiga sana mashine usiku ule nakuja kustuka ni saa tisa yaani saa kumi kasoro. Dah! Nikamwambia mimi nasepa hapo nakuta missed calls za kutosha za wife na sms zake till felt bad maana sms moja ilisomeka" baba umekwama wapi mbona sio kawaida hata simu haupokei mwenzio nakosa amani huku hata usingizi hauji".

Niliondoka nikamuachia na ile simu nilipofika home nikamdanganya kuna gari ilizidi mizani hapo Vigwaza hivyo nilienda kusimamia kupanga mzigo na simu hata sijui niliiacha wapi tukajaribu kuipiga ikawa haipatikani tena. Kesho yake nikajifanya nimeenda kurenew line nikanunua na simu mpya ila simu yangu iliniuma kuihonga kwa ajili ya papuchi.

Mwanangu naye mpaka leo hajui kama nilishakula ule mzigo na mpaka leo nikihitaji tu nakula ila sina ukaribu naye kiviile ingawa yeye anataka kuniganda na kuonesha kwa kila mtu ila nazuia hiyo hali isijulikane.

Story tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali kipindi niko JKT nilirukishwa kichurachura na demu baada ya kutufuma kwenye kagiza nikiwa nimekumbatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ukiwatambulisha tayari umewarahisishia kazi wao ni kumaliza tu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti imeniuma kuhonga phone kisa papuchi
 
Mkuu 96 paka 2000's ulikuwa ushaanza hayo mambo.

Dah legend
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…