Haha
Hahahah jinga sana..aise
 
Kisa changu na mlokole wa FB

Siku moja nikaweka profile picture mpya Facebook, a quote kutoka kwa philosopher mmoja anaitwa Epicurus ikihoji kama is God is so powerful, why doesn't he stop evil. Nimeamka zangu asubuhi napitia fb inbox nakutana na message kali kutoka kwa binti mmoja kwenye friend list lakini wala hatujawahi kufahamiana. Alikuwa suggested nikamuongeza tu. Message kama 5 hivi, anadai why are you mocking my God, am very offended blah blah blah. Nikamjibu ,"relax, I have not killed your God". Halafu nikapotezea.

Baadae naona message tena, nikasema ngoja nipitie profile yake. Kuchek, picha zote ni za wachungaji wakubwa wakubwa, hakuna picha yake hata moja. Tukaendelea kuchat siku ile, yeye amekazana toa hiyo picha, mimi namwambia, kama wewe unavyotumia uhuru wako kuamini; mimi nautumia kutoamini! Kwahiyo ngoma droo. The next day message tena, "Unanikwaza sana, mbona hujatoa picha". Nikajisemea huyu binti anachokitafuta atakipata. Nikamwambia akitaka niitoe, itabidi anifundishe neno upya na kunibatiza. Akaruka, mimi sio mchungaji. Nikamwambia basi wewe nifundishe tu, njoo home unipe neno nione kama naweza rudi huko. Akaniambia ana safari ya Rwanda, hawezi kuja. Kumuuliza kwani wewe sio Mtanzania, akaniambia mama yake Mnyarwanda, baba mchaga so ni Mtanzania kama mimi. Nikawaza tu combination ya mchaga na mnyarwanda lazima itakuwa kali hata kama picha sijaona. Am on the right track hapa. Akaniambia we will see when am back.

After two weeks ananicheck kwamba she's back in town. Well and good, so unakuja lini, akaniambia she will let me know. Siku moja usiku, naona message; nakuja kesho. Dah, mzee mzima niko 3rd year and nina test moja hiyo kesho. Nikamwambia poa, nikamtumia namba. Kesho asubuhi, nikatimba dispensary kwanza nipate cheti cha kuombea special test;. hakuna namna nilikuwa namuacha huyu mtoto. Nikapitia mazagazaga, nikarudi home. Pika msosi, kidogo naona simu anauliza nishukie wapi. Nikamwelekeza, kituoni kuna boda boda mshikaji, akamleta. Kufika nikaona kifaa black beauty, mrefu hivi na shape zile zile za majirani.

Tuka-exchange niceties pale, tukabishanaaaa kuhusu mambo ya religion believes, history of the church etc etc, huku mimi nawaza tu huu mzigo naukulaje hapa. Baada ya muda nikamkaribisha chakula, tukala fresh; nataka kutoa vyombo, aka-offer kuvitoa na kuosha. Nikasema huku huku jikoni hatoki. Ameingia tu nikamfuata kujifanya nataka kumsaidia, nikasimama nyuma yake; na alivyokuwa mrefu hamna hata kuinama; nikamnong'oneza nikimsifia nywele zake akacheka akanipa asante. Nikamshika juu ya kiuno, nikaona amestuka kidogo, akaacha na kuosha vyombo; kumbe kichupa kimejaa. After some kissing, sketi iliinuliwa, akashikishwa kikabati cha jikoni, likapigwa moja. Tukaenda kuoga, then mambo yakaendelea room. Jioni binti akarudi kwao, akanitumia tu text, thanx for the pleasurable afternoon.

Tuliendelea kuwasiliana for sometime, mambo ya profile picture yalishawekwa pembeni. Siku moja ananiambia nakuja kukusamilimia, tukafanya yetu. Afterwards ananiambia, alikuja kuniaga, she's going to Belgium kwa aunt yake kusoma chuo. Alipofika alikuja kunimbia, afadhali aliondoka TZ, mimi ningemwaribu akili. Right now ameolewa na watoto wake wawili huko Antwerp.
 
kwaiyo mliendelea nae mpka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nouma bahari naiweka kwenye top five yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh mabaharia bahati hizi mnaziokota wapi
 
Oohh. I see ..
 
Aisee [emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mzeee chakula halisi hukula umeishia kumla mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…