mwaka 2017 niliwahi kuwa miongoni mwa watu waliotumwa kwenda kupiga doria kuzuia uvuvi kwny ziwa bassotu huko hanang Manyara baada ya shughuli za uvuvi kusitishwa kwa muda kwny ziwa hilo,tulikuwa kikosi cha watu ka 15 hivi,nikajikuta nmezoeana na katoto kamoja ka kiiraq kanaitwa Tina,kipindi hicho ndo kamemaliza form four wanauza mgahawa na mama yake palepale bassotu,sasa siku ya tar 6 kila mwezi huwaga kuna mnada pale,kakaniomba mnada wa mwezi wa 4 nikape kampani tukale nyama mnadani,nkakubali ila nkakiambia ntakipitia tukitoka doria,mida ya saa saba mchana tukashuka kuchek menu,niko full combat nkatimba kwny mgahawa wao,nikamwambia Tina leta msosi nile nkimaliza nkabadili mavazi halaf twende mnadani,kakasema ukiwa hivyo nitakuwa comfortable zaidi,mtoto mweupe na sisi wasukuma ndo kiboko yetu,chuchu zimenikodolea ndani ya tishet nyeupe wala hazjazubaishwa na sidiria,nikamwambia kama ni hivyo basi tutaenda nikiwa hivi ili uwe comfortable, baada ya pale ninachokumbuka hata mnadani hatukuenda,kesho yake asbh nkamuamsha awahi mgahawani akapige kaz na mm nikaungane na wana kwny doria,,,,,,,,!!!