dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
🤣 🤣 🤣 🤣 phala sanatigo sitakaa nile maishani.
Na zawadi ya ukimwi juu, Ulifanya sifa ili uje ulete stori jf uonekane na wewe kidume, ndo ukome sasaWakuu nimepata janga jingine kuhusu mambo ya kula tunda kimasihara.. last time nilikula kofi baada ya kutaka kumkiss yule manzi...
Tarehe 29/12 /2019 niko kwenye mishe mishe zangu mjini natafuta pesa ya kula bata mwaka mpya nilikutana na manzi flani kwenye daladala za mbezi - mawasiliano. Hiyu dada alikua kavaa ushungi na ni mweupeee ana mwili kiasi..
Basi kwa macho yangu ya kibaharia nikamvua nguo kwa macho pale nikamtathmini jinsi atakavyokuwa akivua uke ushungi na baibui.. mate yakaanza kunitoka..
Nikaapa kabla mwaka haujaisha lazima nimvue mtoto huyo ushungi huo.
Basi jamaa aliyekuwa amekaa karibu na huyo dada akashuka .mimi nikaona huo ndio wakati muafaka wa mimi kutema sera zangu..
Nikahamia kwenye siti ya yule mrembo nikaanza story za hapa na pale.. yuke binti alikuwa na ushirikiano hadi nikahisi hili linaweza kuwa jini.. baada ya story mbili tatu nikaanza kumsifia kidogo yeye anacheka tu..
Tukafika mawasiliano tukashuka pamoja. Nikamuuliza anaenda wapi akasema anaenda anarudi ubungo kuna mtu ananenda kumuona.
Basi nikamuambia hapo ubungo ni karibu na mimi nnaenda njia hio hio kwa hio kama hatajali tutembee mdogo mdogo tuwe tunapiga story hata jua halikua kali kivilee. Mrembo akakubali.
Tumetoka mawasiliano tunatembea nikaanza kumpigisha story za uongo na ukweli (kipaji cha kusema uongo na kuunga story ninacho). Nikaanza kuzidi kumsifia anacheka cheka tu... nikamuuliza kama ameolewa akasema yuko single..
Nikaingiza story kuhusu wale waislamu wanaovaa kininja watu wanawatongozaje bila kuwaona sura..akawa ananielezea.
Basi nikamwambia natamani na mimi nimuone alivyo maana nguo alizovaa zinamfichia mengi.. akawa anacheka tu (hapa nikaona hizi ni dalili nzuri)..
Basi tulivyokuwa tunatembea alikua anapigiwa simu mara kwa mara .mwanzo alipokea akasema ndio anatoka mawasiliano.. baadae alikua anazikata zile simu.. hapo baharia nikasoma mchezo nikajua alikua anaenda kukutana na mwanaume..
Basi tumefika karibu na ubungo kuna kibao flani cha kanisa la pentekoste kinaelekeza upande wa kushoto ..nikamwambia kama vipi tupite hapa chini mara moja maana sasa hivi tayari tulishatoka jasho tukapumzike kidogo na mimi nipate nafasi ya kuangalia uumbaji wa Mungu .... akakubali akasema amesweti kinoma ndani..
Basi tukashuka ile njia ya kanisani.. sasa ukiwa unashuka ike njia kwa chini kuna bar then chini yake kuna guest house... tukafika pale nikamwambia tukate kona tuingie guest akaguna kidogo akasimama... nikamwambia tunaenda kupunguza joto hili then tunaendelea na safari..
Akawa anaangalia simu yake na missed calls zilizokuwepo... akawa anatafakari baadae akaizima simu mazima then akasema twende...
Tukaingia guest chap nikachukua chumba self cha 15k.. tukaingia akaniambia nifumbe macho avue nguo aende kujimwagia maji chap ili awahi mtu anayemuwahi ubungo..
Baharia nikafumba macho nikaangalia pembeni ..akavua nguo akaingia bafuni.. na mimi huko nyuma nikavua nguo chap ile anaanza kuoga na mimi huyoooo naingia bafuni...
Akajifunika macho mimi hapo mashine imesimama hatari..
aiseeh wakuu hizi baibui zinawafanya hawa madem wawe weupeee... yaani mtoto alikuwa na ngozi nyeupee lainiiii kama vile haishi nchi moja na sisi..
Nikamsifia nikamwambia kumbe baibui linaficha mambo mengi... nikamsogelea nikammwagia maji nikaanza kumuogesha... sasa akasimama vizuri ndio nikaanza kushuhudia uumbaji wa Mungu..
Mtoto alikua na msambwanda flani laini sana ambao huwezi kuuona akivaa baibui.. yaani mtoto ana maziwa flani makubwa kiasi... basi nikaanza kumuogesha mtoto huku analalamika anachelewa...
Baada ya kuogesha huku namshika shika kila kona ya mwili nikamrudisha bedi.. weka mtoto kifo cha mende kula vitu vyangu.... alikua na papuchi tight sana... halafu ile napiga tako 2 akazungusha miguu nyuma yangu akawa kama ananibana kwake na mikono amenikumbatia ananivuta kwake...
Mzee nilipiga mashine kama dk 5 wazungu hao... nikimuangalia mtoto hapo hapo mzuka wa kuunga cha pili ukaja..
Sasa bado nna mawazo ya kuunga cha pili.. nikasikia nje kuna mabishano makali.. nikatoka kitandani nikachungulia nje nikaona majamaa watatu wanabishana na yule muhudumu wa pale..
Machale yakanicheza.. nikamuona yule mazi kama vile anashtuka aliposikia zile sauti... na yeye akaja kuchungulia akasema mmoja wa wale watu ni mchumba wake ndio alikua anaenda kumuona ubungo anafanya kazi pale ni mjenzi wa flyover (engineer)..
Sasa akili ikapiga shoti hapo nikaona hapa nisipoangalia nnaweza kupakwa mafuta hapa... basi nikachukua simu chap nikampa dem yule nikamwambia aandike namba chap..maana mpaka hapo nilikua nnamjua jina lakini sina namba yake.. nikaona hapa kitumbua kimeingia mchanga kwahio hili game ntalimalizia siku nyingine..
Wale jamaa pale nje walikua wnazidisha fujo wanataka kuanza kupita chumba kimona baada ya kingine kukagua.. yule muhudumu alikua mbavu kidogo alikua anawazuia..
Sasa mimi nikatumia ile advantage ya ule.mzozo nikavaa nguo chap (huwa nikitoka gheto kwenda kwenye mishe mishe huwa nabeba nguo za kubadilisha na dawa ya meno maana usiku unaponikuta huwa namtafuta mwana aliye karibu nalala kwake) sasa hapo nikabadili nguo sikuvaa zile nilizoingia nazo.. yule manzi akavaa nguo zake chap lakini nikamwambia asiweke ushungi kichwani.
Ile guest ilivyo ina kama nyumba mbili ndani ya fensi ya ukuta.. basi nikijua kama wakifanikiwa kumpita muhudumu basi wataanza kukagua nyumba ya kwanza.. na mimi nilikua nyumba ya pili.
Nikamtoa ndani yule dem kupitia mlango wa nyuma wa ile nyumba ya pili... kashehe ikaanza ule ukuta una mlango mmoja ambao upo uelekeo wa wale jamaa wanapobishana.. basi nikaamua naruka ukuta.. nikimcheki yule manzi na yeye ananiangalia tu..
Sasa nikawaza kiruke zangu ukuta nitembee nimuache huyu manzi hapa maana tukishikwa mimi ndio nitakula kichapo hevi yeye ataishia kula makofi mawili matatu tu...
Lakini nikikumbuka ile show ya chumbani nikasema nikimuacha pale kwenye nitapoteza point zote.. basi pale ukutani kulikua na matofali walikua wanajengea.... nikamwambia apande pale ... mimi nikatangulia kupanda nikashuka upande wa pili nikamwambia aruke ntamdaka😂..
Akaruka kufika chini akateguka mguu... nikamkokota hivyo hivyo kibabe hadi sehemu tukakuta bodaboda... akapanda bodaboda ikaondoka.... na mimi nimaoanda boda nikasepa kwenye mishe zangu...
Sasa tar 31 nikaanza kuitafuta ile namba aliyoniachia ili nimuulize mambo yalivyoendelea na jinsi gani yuke jamaa alitudaka pale na lijuaje kama tupo guest...
Yule manzi alipokea simu.. akaniambia kumbe alipomwambia jamaa kuwa ndio anatoka mawasiliano jamaa akaanza kumsubili lakini alipoona anachelewa ndio jamaa akatoka pale site kwenye flyover akawa anakuja uelekeo wa mawasiliano ndio akatuona tunakatiza ule uelekeo wa kanisani.. akatufuata then akarudi site kutafuta washkaji wake ike watupe kipondo..
Akasema waliyamaliza na jamaa yake lakini jamaa bado ananitafuta kinoma noma.. nikaona isiwe taabu nikamblock nikafuta na namba...
Mwaka 2020 sitaki tunda la masihara tena maana kinachofuata nadhani matunda yatanitoa roho..
Mafinga kuna Malaya sana. Yaani wengi sana. Na hii itakuwa ile lodge ipo mkono wa kushoto kama unaelekea Iringa baada tu ya kituo cha mafuta cha Total pale Mafinga.
Dada mbona una hasira kama niliyemla ni mdogo ako??Na zawadi ya ukimwi juu, Ulifanya sifa ili uje ulete stori jf uonekane na wewe kidume, ndo ukome sasa
Dangerous 🔥 fireWacha nami nilete yangu kidogo
Katika Harakazi za ajira yangu huwa tunasafiri sana hata kwa sasa nipo mkoani napambana na Sites.
Sasa mwaka juzi (2018) Mwezi wa Tisa nilikuwa na sites za arusha nilipata guest maeneo ya Shivaz inaitwa Deluxe ila baadae wana walikuja kunijoin wao walipata Sakina kwahiyo ikabidi nihame deluxe niende guest kule maeneo ya Sakina ipo upande wa kushoto kama unashuka ukiwa unatokea Huku town Ipo barabani kabisa kwenye ule mteremko kama wa Services road
Sasa Nje ya ile guest kulikuwa na Kijigrocery cha dada mmoja hivi mtu mzima
Siku ya pili toka nilipohamia pale nilikaa ndani usiku nikaona ngoja nitoke niende hapo kwenye grocery nikapige story
Ile nimefika nikakuta kuna mama mmoja mtu mzima hivi ila sio kiviile amejaa jaa
Basi kidume nikaa pembeni yake.
Sasa yule mama alikuwa ni kiongozi wa CCM pale arusha ila huwa anaishi Dar mara nyingi
Stories za unbishi zikaanza mimi nampigia chapuo Lema yeye anasema watamgaragaza 2020 ule ubishani ukatufanya tukazeana na kuanza kununuliana pombe
Pombe imekolea si nikamchombeza bhana goma likatiki ila kwa Sharti hawezi kulala kwenye ile Guest kama nataka basi twende kwake
Basi akaniambia kwanza twende tukanunue chakula kule mjini nje ya Night club Picnic kama sikosei ila muuzaji wa hapo pamapouzwa chakula ni Mwarabu sijuu muhindi aliniambia anachoma kiku vizuri
Tukaenda tukachukua msosi pale haoo mpaka kwake maeneo yale yale ya sakina ila upande wa Pili wa ile guest tukafika akafungua mlango hapo nipo na Ndinga ya Ofisini (sijui akili za pombe yaani nilijilaumu sana baada) mpaka ndani sebuleni akaniambia mwanae wa kiume mkubwa ameenda club pale yupo mdogo wa kike mumewe alikuwa kwenye makazi mengine ya Dar kwahiyo kidume nikaambiwa nisiwe na wasiwasi
Nikakaribishwa maji wa kuoga oga fresh gonga chipsi zetu na kuku kubaliza hao mpaka chumbani
Piga sana machine mule mama wa watu anapiga sana yowe la kimasai (aliniambia ni mmasai sijui muarusha)
Nikapitiwa na usingizi nashtuka hivi alfajiri basi piga machine tena kitu ya Morning glory then huyooo nikatoka nje akanifungulia geti nikasepa Hata namba ya simu hatukupeana na wala sikukumbuka kuchukua
Kufika lodge tukapokea maelekezo toka ofisini tuache sites za arusha maana vibali vilikuwa vinazingua tuende babati.
Kufika babati tukaunga mpaka kigoma kazi ya arusha iliyobaki ikaenda team nyingine kumalizia
Nilienda mwaka huu arusha nimekuta ile Grocery wamefunga na siwezi kwenda kwake kuomba namba maana aliniambia huwa mara nyingi anaishi Dar
Ule ujinga sirudii tena kwenda kulala kwa mwnanamke Simjuo alafu na Gari ya ofisini then mji wenyewe arusha....
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mwingine banaIlikuwa mwaka juzi nilienda Mafinga kwenye mishe zangu nilifikia lodge moja nzuri pemben kuna bar nzuri tu.
Mida ya jioni nakula zangu vyombo pembeni kulikuwa na washikaji wawili na demu mmoja wanagonga wine 'Dostrofu' na Dompo wakichanganya na nyagi.
Demu yule alikuwa Mkali ana uno la maana pia muda wote anaongea KiswaEnglish kila sentesi ya kiswahili ina Kiingereza ndani.
Kama ujuavyo sisi tusiojua kuongea kiingereza vizuri tuko makini kudaka broken hivyo kwenye maongezi yake nilidaka broken kadhaa nikajipa moyo huyu demu naweza kumpata.
Wazo hilo lilipata nguvu zaidi baada ya kugundua kupitia maongezi yao Mshikaji aliyenae pale ni Mfanyabiashara za mbao ana familia yake palepale Mafinga hivyo yule dem ni mchepuko wake uliotokea sijui wapi.
Basi baada ya mida kusonga demu yule alinyanyuka kwenda chumbani mara moja sikufanya kosa nami nikaunga nyuma.
Ile anatoka chumbani kwake nikamuita "Samahani sister room langu lina matatizo sijui hata room lako liko kama langu?"
Kwanyodo anajibu "Mtafute Mhudumu mimi sio..." Nikamkatiza mazungumzo "Hapana chini ya kitanda changu sijui kuna nini njoo uangalie afu ufananishe na kwako"
Kosa alilolifanya ni kukubali akaja room kwangu nikamwambia ainame aangalie chini ya kitanda kuinama na alivyokuwa amevaa sket fupi akili ilihama ghafla fasta nikachomoa sh. 25,000 zote zilikuwa noti za buku tano muda huo akiwa anauliza mbona sioni kitu? Nilirusha noti hizo nikimwambia "Huoni hizo hebu zikusanye basi" ile anaanza kuzikusanya nikanyanyua sket yake nikavyuta chu*i yake ilikuwa kubwa kiasi kama ile ya Msanii wetu Na**i kushika mbunye imelowa chapa chapa.
Nilimbana vema asiweze kutoka nikachukua Rough Rider nikavaa fasta nikataka niweke nikasikia anasalimu amri "Basi niachie ninyanyuke tukae vema kitandani uipige..." Kimoyomoyo najisemea isiwe tabu dawa yake ni kumvua sket ili akose ujanja na kweli nilimvua kwanza sket ili asije kimbia.
Hakuwa na makuu alivosimama hakuwa na neno alijiweka vema kibra nami sikukawia nikaanza kula Mzigo.
Baada ya kula mzigo bila story alinyanyuka akavaa sket yake akarudi zake room kwake nami nikarudi bar kuendelea kula vyombo baada ya muda naye alirudi kwa mshikaji wake akaendelea nae kupiga vyombo.
Mwisho wa story dem sikufahamu hata alikuwa anaitwa nani anatoka wapi wala anamishe gani na hatujawahi kukutana tena.
Duh hashima yako Mkuu kwa hiyo we na Mamndenyi mnataka mle tunda kimasihara 😆😆😆
Utajijuu babu, nenda klinic kachukue vidongeDada mbona una hasira kama niliyemla ni mdogo ako??
Sawa mamaa baada ya mwezi nitaenda kucheki afya kama vipi nianze ARV mapema..Utajijuu babu, nenda klinic kachukue vidonge
Jidanganye mtapata magonjwa kisa sifa wakat hatujuani humu, we nenda kamanueDah leo jioni kuna tunda litamegwa kimasihara ..nitawaletea mrejesho mazee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo namseti apa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa kwelu? Au Saigon? [emoji23]Mafinga kuna Malaya sana. Yaani wengi sana. Na hii itakuwa ile lodge ipo mkono wa kushoto kama unaelekea Iringa baada tu ya kituo cha mafuta cha Total pale Mafinga.
So obvious huyo ni malaya. Hiyo bar and lodge wana tabia ya kuleta mabinti kutokea Singida na Babati and hakuna binti above 23.
Sent from my SM-A205F using Tapatalk
Ndo hivo Utajijuu na. Misifa yakoSawa mamaa baada ya mwezi nitaenda kucheki afya kama vipi nianze ARV mapema..
Ule uzi ni ny**ko, nasemaga mie ndio binadamu mwenye zambi lukuki ila kuna jemba zimeniacha siwezi kusizogelea.. I hope tutakua wana moton[emoji3][emoji23][emoji23]Kuna uzi tayari na unakimbiza mbaya
Jr[emoji769]