[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga Konyagi inamfanyaga mtu anasahau kabisa... Kuna jamaa ananihadithia eti alikula tunda la kademu flani then kesho yake hata hakajui nani alikapeleka nyumbani na hakajui kama kaliliwa....

Inawezekana kweli mtu akaliwa halafu akasahau kuwa aliliwa?
 
Heri ya mwaka mpya wakuu.

Wiki ya mwisho ya mwezi uliopita nilipata muda wa kutembelea rafiki na ndugu kadhaa waliopo mikoani.
Nilibahatika kupita morogoro, nikaona sio mbaya nikamcheki jamaa yangu mmoja wa enzi za chuo tupate chit chat za hapa na pale huku tukikumbushana mipango na mbinu mbalimbali za kusukuma mbele gurudumu la maendeleo hasa kwa sisi vijana.

Tulikutana na kwenda mgahawa mmoja wa chakula kupata misosi, ilikuwa mida ya saa 12 hivi huku tukicheki game ya arsenal vs chelsea ya majuzi. Tukiwa pale akampigia simu demu wake aje tujumuike naye, nadhani walikuwa na miadi ya kuonana kabla hata ya ujio wangu.

Baada ya kama lisaa limoja hivi demu wake aliwasili, ila alikuja na rafiki yake, ingawa sikusikia katika mazungumzo yao kuwa alimwambia aje na mwenzie ila ndo kama ujuavyo mademu wa siku hizi kwa kudandia outings hawajambo.
Piga sana story plus vyakula na kuku choma, kwa bahati mbaya situmii kilevi so ni soda, maji na juice tu huku wenzangu wakishtua oblangata kimtindo na beer.
After like 2 hours jamaa yangu na zigo lake wakatuaga kuwa wanaondoka ila wakaniomba nimsindikize yule rafiki wa demu wake kwao maana wao watachelewa kurudi na hawataweza kurudi pamoja. Nikasema hapana ukisikia karibu mgeni ndo hii, hili goma siliachi harudi mtu kwao wala nini tutamalizana hukuhuku.

Nikaanza kumchombeza yule :she: pale pale, na kumuomba anikirimu mgeni kwa siku ile cause nipo peke yangu na sina wa kunipa kampani. She thought for a while then she gave me a go. Yeap...! She was ready to take the meat that night.
Nikazama naye lodge nlipofikia, akaomba kuingia bafuni kuoga while akini insist nikatafute zana as she was in danger days and she was not ready to take the risks. Nikatoka fasta mzee nikannua mipira then vuuuup nikarudi location kumkuta mtoto yupo ready on bed,

Nikazama bafuni fasta kupunguza joto la mwili, then nikam- join mtoto kwenye eneo la tukio. Kiukweli mkaguru yule alikua vizuri, shanga za kutosha kwa kiuno na kitumbua mbate mbate ndani laini kama mkate. Piga romance plus finger za kutosha until she was ready to take the dickson, nikapiga hat trick yangu nzuri tu though show haikuchangamka sana cause dogo alikua hajanizoea na inaonekana sio muumini mzuri wa one night stand but we enjoyed and akani promise vitu vitamu zaidi as days go on tukizoeana.

Asubuhi nikamcheki jamaa angu, tukapongezana then nikaendelea na safari yangu. Huko nlikoenda pia nlikula matunda kadhaa ya viporo but hayakua ya kimasikhara so sitayarusha hewani.
.....ADIOS....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupenda kuandika hii story ila nahisi kuna mtu inaweza ikaja kumuokoa na janga lililowahi kunikumba.
Mnamo mwaka 2009 nikiwa nipo zangu mkoa nikiwa almaharufu kama Ahmada au garimoshi sababu ya unywaji pombe uliotukuka na uvutaji sigara grade 1
Nilibahatika kuwa na marafiki wengi wa kufa na kuzikana katika ulevi.Basi bhana siku moja nikakutana na besti yangu wa kitambo bar, basi nakumbuka tulikunywa sana siku hiyo
Basi imefika saa 6 usiku jamaa akasema kalewa anataka asepe ila kuna muhudumu kamuelewa anataka kuondoka nae,
Basi kama kawaida ya mpambe kuwa shapu nikamfata yule manzi nikamueleza akaelewa ila akasema hawezikuondoka muda ule tusubiri mpaka wafunge au nikaongee na meneja
Faster nikamfata meneja nikamueleza akasema tumuachie 10 then tusepe na binti
Jamaa akalipa pale watu tukang'oa mrembo basi nikasema ngoja niwasindikize kimtindo aise ile kufika kwa jamaa nawaaga niondoke demu si akagoma kubaki akasema yeye hamtaki jamaa ananitaka mimi
Duh! Nikajisemea dodo hili ila kuzuga nikazuga kumsihi demu abaki pale ila akakataa katakata
Basi jamaa kiroho safi akasema dogo kapige tu sio kesi
Basi na pombe tena +mihemko demu nikamsogeza chocho nikachapa then nikamwambia sepa mi sina pakukupeleka bado naishi kwa wazazi
Basi bhana baada siku nne mashine ikaanza kuwasha muwasho mkali kiasi inapidi nikune kwa mtindo wa kuipekecha
Siku mbili mbele yakatoka mapele hatare afu yanawasha nikikuna yanapasuka aise acha tu
Basi mashine ikawa imejaa madonda yakikauka inaanza kuwasha tena muwasho mkali hauvumiliki nikikuna magamba yanabanduka inabaki mashine nyekuundu
Kiufupi nilikoma nilikunywa dawa za kuunga unga mpaka jasho likanukia dawa
Mwisho nikamfata mshua nikamueleza naumwa sana naweza kufa naulizwa nini shida namwambia huku chini kunauma kweli
Basi akaitwa rafiki yake ambae ni dokta alivyoicheki tu mashine akasema dah! Ungechelewa mwezi tu mashine ingelika yote huu ugonjwa mbaya sana unaitwa PANGUSA
But nashukuru Mungu mzee hakuwa na hiyana akagharamikia matibabu yote japo kwa masimango
N.b chunga sana hayo yanayoitwa masikhara kuna siku ita kucost dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]Eti katombe usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shem wako Mzee,endeleza bwana maana kuna mwana wenu pale
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa n nyok.o yan nimecheka mbavu zinauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…