We unasoma za wenzio tu hizo za kwako mbona husemi hata moja😬😬😬
 
Nimesoma posts nyingi ktk huu uzi
Naomba kuwauliza waungwana
Kuna wengi naona wanamuelezea mtu kuwa alikuwa
DEMU WA KAWAIDA SANA
sasa hapa
Nawaza Je ni ktk kipimo kipi hasa ulitambua kiwango cha uzuri wake
au ni wa kawaida kwa macho yako tu?
Yan we umekaa miezi miwili unakula nyama ya kondoo sasa madudu yamejaa kichwani ndo ukaamua uje utusumbue humu😎😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Matusi yako nikamkumbuka senga gafla[emoji16][emoji16][emoji16].Mungu naona alinipa nafasi huenda kwa story hii mtu mmoja apone japo sipendagi mtu ajue hili, Id feki imenisaidia kupunguza mzigo wa siri moja kati ya mamia nilizo nazo
ungekufa kimasihara ungepataje wasaa wa kuja kutusimulia upangusa wako humu JF,Jamaica wee,Morogoro mkubwa wewe,India kabisa wewe,alaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha gono nishakumbana nazo sanaa hadi dawa zakutibu nimezikalili ujana ulinipeleka sana aisee But Mungu mwema niko mzima hadi sasa tena wa afya
Yaani uliloweka kavu kavu kwa barmaid, kuna lijamaa langu nalo fara kweli limekula barmaid kavu kavu sasa hivi lipo kwenye dozi ya kutibu gono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China Airlines toka mafunzo kwa vitendo narudi kwa Bibi via Amsterdam.. Usiku abiria wote kimya wengine wanakoroma kama Nguluwe alie toka kujifungu kwa operesheni. Toka niko Daxing Airport kuna shombe mmoja wa Kichina alikuwa ananishangaa sana wakati abiria tunaingia ndani ya ndege nikamuona nae kaunga mstari.Sasa usiku nikamuona katoka kule Business class anatembea upande wa tatu kwenye lile likirido kanyoosha hadi nyuma kule chooni. Nikajua uwenda njaa au kule alipo kuna foleni na kojo limemshika. Shetani mbaya sana. Nami nikaenda uko uko tukagongane yeye yupo upande ule nami niko upande huu ajabu alipo niona akanifuata.Stor zilinoga sana Abdalah kichwa kasimama kuliko bunduki la kigaidi. Nilimuomba anisindikize chooni alikataa nilipo mbusu akalegeza kamba.Nikamshika mkono tukaingia wote chooni kachoo chenyewe kadogo lakini akaulamba mkopo wa sukari baraa bara na aliekuja kugonga mlango muhudumu wa ndege kuna wengine wanataka kwenda chooni kujisaidia lakini alishangaa kuona tunatoka wawili alafu sidilia yake imeshikwa mkononi.. Niliogopa ata ripoti kwa rubani. Niliama kiti nilicho kaa mwanzo na kuamia kule alipo business class na kumalizia show...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…