Hata mimu nafahamu hivi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kuna msururu wa magonjwa mengi tu ambayo mtu hashauriwi kusex akiwa katika dose.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mkuu huyo demu anafanana kauli za kiutani na demu angu mmoja miaka ya nyuma huko.... Hadi nimehisi tulimla demu mmoja... Miaka ya 2010.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake bana !!!

Sent using Jamii Forums mobile app


Wanawake akili zao wanazijua mwenyewe mkuu....kuna wakati nilikuwa sehemu Fulani...nikiwa nimepata kademu tukaanza kulana..hukuna kule kuna kademu kengine kakajilengesha kenyewe na walikuwa kazuri kuliko ka kwanza.

Nikaanza kuwala wote kwa zamu...yule wa kwanza kajua akaniuliza nikakana Balaa..siku moja kakaweka mtego yule wa pili kuja na yeye akaja akatufuma chumbani. Hakufanya Fuji wala nini akaniita nje akaniambia siwezi kugombana na huyo demu wako maana kanizidi Kila kitu, ila na Mimi Lazima Leo nitombwe na mwanaume mwingine tena namleta hapa hapa...Duuuu...sikuamini ila yule demu kweli alimleta mwanaume pale kwa Maelezo ya Muhudumu wa lodge tena siku ile ile.

Yukawa ndo tumeachana HVO...nikaendelea na yule mwingine...baada ya Kutoka hayo maeneo ndo akaanza kunitumia sms akiniomba msamaha, sikumjibu hata.
 
Jiandae kuwa msaidizi wake.
Alisha kuchoka anakutimua anapata rijali mwingine. Unadhani umepata kumbe mchongo wa kuingiza kingi kausuka yeye.
Kikubwa angalia asikutoe kafara kwenye kazi yake.
 
Leo nalalako kabisa [emoji16][emoji16][emoji16] Lero enimamayo chimwi !
Nimeshakugundua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unatembea na convoy ya jpm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…