aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂😂mkuu vest kabisa
 
According to who?
Kwahiyo jambo likiwa mwiko kwenu unahisi ni mwiko kwa kila mtu?! Unaabudu mizimu [emoji23]

Haya wewe ambaye hujaandamwa na laana maisha yanaendaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe baharia fala kweli unampa mchiz mkavu bila chengaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wachache sana waliokiri kuwa mademu waliokula si wazuri sana.... huku karibia kila aliyekula masihara amekula mtoto mkali
 
Nyinyi ndio mnaofanya mwaka 2020 umekuwa mgum gafula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo na watu wenye nyadhifa hapa Marumaru Hotel na naona kabisa wanapitia huu Uzi kwenye tablet/iPad zao kabla ya kusoma masuala ya kisiasa.
Huu Uzi ni balaa.
 
Duhh!!! Hadi kizunguzungu!!! Papuch bila kula ni sawa ganghe bila kula unaweza kukata roho unajiona hivihivi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu kweli wewe jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kifala majibu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi una mengi sana
😀 😀.

Naona tuchague baharia alievunja kuliko wote.
Kura yangu nampa yule mwamba aliempelekea moto chizi
hapa pagumu...misiju yule mwamba wa laptop ya emu wa chuo kummuuzia nadhani..kamla yule na rafiki yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…