Hapo hapo nikaomba game tukiwa nje ya lodge moja
hizi ndio mistake na kufeli..kwa mazingira na mipofikia game huombi utaambiwa no hata kama anataka..we unakula tu ila still hukufeli ulicheza fresh karata hiyo aminia...game za hivi tamu mtu anajua una mtu ila mnakulana
 
I also beg to differ....
Wote tunafaham kuwa mnaweza mkawa wasomi wa fani flan zaid ya mmoja lkn mkazidiana uweled kwny proffesionala husika. Kuna baadhi ya madaktar wanachanga hii issue na kuwa-mislead watu amabao hawana taaluma ya kitabibu. Tena hawa wenye maabara (not hospt in such) ndio wanaoongoza kupotosha watu, ulienda kupima wanakuambia mlete na mwenza wako apimwe na kutibiwa bila hivyo ataendelea kukuambukiza.

Only incompetent doctor will tell you that sex inakuletea u.t.i Ningekuandikia hapa kitaalam kwann huwez pata u.t.i lwa njia ya sex but ntakujazia comment. Kitaalam sex haiambukiz u.t.i

"Doctors usually recommend avoiding sex until the infection has cleared up completely. This is because having sex may irritate the urinary tract and can push bacteria into the urethra, worsening the infection"

Kama ke ana bacteria wa uti, akisex na me hii itamletea hatar in her urethra as ile push ya to and fro na maji maji ya sper*m vinaweza kusafirisha uti bacteria kwny urethra.

Nawasilisha.
 
Lakini kuna msururu wa magonjwa mengi tu ambayo mtu hashauriwi kusex akiwa katika dose.



Sent using Jamii Forums mobile app

"Doctors usually recommend avoiding sex until the infection has cleared up completely. This is because having sex may irritate the urinary tract and can push bacteria into the urethra, worsening the infection"

Uko sahihi mkuu.
 
Miezi saba baadaye jamaa akapeleka posa nyumbani na miezi minne baadaye tukafunga ndoa hapo St. Alban Cathedral – Dar es salaam.
Bado nipo kwenye ndoa na watoto kadhaa na maisha yanaendelea vyema kabisa.
IMEISHA VIZURI SANA..SEMA JAMAA HAKUWA BAHARIA PIA IKAMFANYA AKUPATE FOR GOOD
 
You shared one of the great stories hapa kujwaani.....happy ending
 
Hii comment inaonyesha imewafurahisha mabaharia
 
Wewe. Mtu pepo utaisikia tu [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba unahisi kwa hiyo picha hawezi julikana ?
Na kama yupo huku JF
Tumia akili hata kwa mbali kula manzi sio sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baharia naona chuo kimoja course moja ila nilikuacha 2011 nilimaliza hahahah
 
Ascending infection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…