Daahhh nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata yeye alikuwa anazurura kutafuta mtu wa kumla kimasihara, akakupata wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
salute mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Raha ya ushemeji, next time dadake akiwa mgonjwa atakusaidia na mengine, ila wanakuwaga watamu mno hawa mashemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika mishe mishe za maisha kuna kipndi niliwahi kupiga bod boda mitaa ya dodoma mjini, kipindi hicho wateja mda wa mchana sio wengi wateja wanaanza kupatikana kuanzia saa 12 jioni mpaka usiku wa manane, mida ya saa 7 usiku nilipata mteja sista duu yupo chakali alikuwa anakwenda mitaa ya njedengwa.nimemfikisha mpk anapokwenda akatoa hela pungufu na tuliyokubaliana iliyobaki akadai anaifidia kwa papuchino aaahh mimi mwenyewe nilikuwa na uarosto aka nyegelesi nikamshikisha pikipiki na kupiga tako zangu kadhaa wazungu hao. nikawasha pikipiki nduuuuki.
 
Dah aisee nimejikuta nafurahi tu maana umejua nichekesha wasikulize nini mkuu? [emoji23] maana humu watu wepesi sana kujaji hawajui kuna mambo yanatokea bila kupanga na hujajiandaa
 
Hamnaga zambi kubwa wala ndogo mkuu we jilipue alafu unaweza kujiona una zambi kumbe zambi zako nyeupe tu
Asante mkuu kwa kuntia moyo ,ngoja niombe nguvu za roho za mtaka machafu zinishukie niweze andika kisa changu hapa namie ,huwenda nikapata nafuu ya moyo ,maana naona nimebeba mzingo mzito peke yangu
 
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa kuntia moyo ,ngoja niombe nguvu za roho za mtaka machafu zinishukie niweze andika kisa changu hapa namie ,huwenda nikapata nafuu ya moyo ,maana naona nimebeba mzingo mzito peke yangu
Tirilika mkuu ..tupe uhondo huo ....Hakuna aliye msafi kila mtu ana dhambi " Hivyo basi Nasubiria kwa hamu hiyo simulizi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameshaenda Shinyanga kuuliza Mzee Tokatoka ili wampate barafu wa Jf...ha ha ha ha ha!Kumbe tumewatangulia maili mia mbele!!Ukoo wa tokatoka wameukuta ila hawapati connection!!Awamu ya viwanda

Duuu mkuu halafu hii kitu nilihisi inaweza kukuexpose...sasa itakuweje mkuu wakimua kukomaa...na wewe kiasi fulani ulijiachia....mpaka mambo ya kahama kule...
 
Duh yaani ulinzi wakuwalinda hawa viumbe tumuachie mungu2 maana hata ukisema usioe ukiwa umepanga, ukijenga ndio uoe utagongewa hata nandugu zako kama sio ndugu zako basi hata wauza maziwa namkaa *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…