HII NAWEZA KUSEMA NILILIWA KIMASIHIRA NA MKE WA MTU ASEE!!

Mwaka 2015 nilihitimu ka diploma kangu ka Maendeleo ya Jamii chuo fulani hivi, nikarudi mtaani. Kutokana na ajira kuwa ngumu na mzee baba kusimamisha ajira kupisha ukaguzi wa vyeti feki nikawa mpole tu yaani.

Kipindi hicho niliapata demu Facebook tukachati saana, tunapendana saana na tukawa wapenzi, hapo video calls nyingi sana kipitia Facebook. Kutokana na umbali kutoka nilipokuwa na yeye alipo, tulishindwa kuonana maana mi pia hali ya maisha haikuwa poa kabisa na ajira hakuna.

Mwaka 2017 Yule demu akasema tuachane maana kapata mwanaume mwingine na atamuoa soon, hivyo tubaki marafiki tu wakawaida. Mwaka huo huo nikahamia jiji la Makonda nilipata kazi Manispaa moja hivi, kuziba pengo la waliotolewa vyeti feki.

Kipindi hicho Yule demu akaniomba nimuadd kwenye group lolote la WhatsApp na Mimi nikamweka katika group la marafiki tu, baadae akatuma namba ya rafiki ake pia nimuadd, tukaendelea na chatting za kawaida.

Siku moja nikamfata inbox nikamwambia, kwakuwa yeye tayari mahusiano hayapo, basi aniruhusu niwe na rafiki yake. Majibu aliyotoa ni kwamba, mimi simuwezi huyo na pia kaolewa na haiwezekani!! Nilijua uzushi nikakaza, akaniruhusu.

Nikaanza kumtongoza rafiki yake kwa muda baadae akakubali, akasema ni mke wa mtu nilijua utani, siku moja akaja pale Magomeni kanisani tukaonana ili kufahamiana, kaja amevaa kininja (ni muislamu) na baibui lake lakin ana shape matata inaonekana, katika stori ndo akafunua uso nimuone, daah sura nayo nzuri, nikasema liwalo na liwe. Baada ya hapo tulifungua ukurasa wa mapenzi!! Mpaka sasa tuanaendelea.

Kimbembe kilianzia hapa, kumbe kipindi namtongoza alikuwa akimshirikisha rafiki yake huyo, naye akamuhakikishia kwamba tumeshaachana so asijali. Baada ya muda wakaonana akawa anamsimulia mapenz yetu yalivyo n.k

Siku moja nashangaaa yule demu wa mwanzo ananitafuta na kuniachangamkia, Mara nitumie X, wakat alishasema tusiwe na mazoea ya hivyo, nikamtumia kumbe ana lake Jambo. Siku moja yule akamwambia kuwa ana ujauzito wangu, Cha ajabu akamjibu, huyo hajatulia bado ananitumia mimi video chafu. Yakaisha!!

Siku moja demu huyo akaniambia tuonane Ubungo Terminal, nilikuwa naishi karibu na maeneo hayo na tulikuwa hatujawahi kuonana hata Mara moja. Nikaenda nikamkuta yupo na mama yake mdogo rika moja, wakasema wamekuja kumpoke mgeni, baada ya mgeni kuja nikawasindikiza wakapanda gari za kwenda Tegeta mi nikarud.

Baada ya muda simu ikaita, nikaombwa niwasindikize mpaka Tegeta na kwa kwa kuwa sikuwa na kazi yoyote nikakubali, iliwakua saa mbili usiku, tulivyofika Tegeta ile nataka kurudi, nikaombwa nikpaone wanapoishi Ununio, tukapanda Bajaji, kufika huko nikaambiwa siwezi kurudi mpaka wapike nile, hee, kuja kustuka ishafika saa sita, wakaitana nje na kujadili kwa muda halafu nikaitwa

Ajabu, nikaambiwa kurudi itakuwa ngumu na ya usalama itkuwa sio poa, so itabidi ulale utoke asubuhi, kumbe yule mgeni alikuwa bwana wa ***** mdogo, halafu chumba kimoja ikabidi sisi twende lodge tena chumba kimoja!

Nikajikut sina jinsi nipo nae. Kutokana na kuwa sikutegemea Wala kujiandaa, nikanikuta tunafanyana usik ule.
Ni moja ya shoo mbovu kuwahi kutokea kwangu. Asubuhi nikmwambia kabisa, sijawahi kucheza shoo mbaya Kama hii!! Na kwa jinsi kabla hatujaachana nivyokutambia, itabid ijirudie na akakubali.

Baada ya siku kadhaa akaijileta mwenyewe, siku hiyo nilimwandaa bala. Nilikuwa sijawahi kikutana na mwanamke anaemwaga kojo kama yule. Kwa siku ile alimwaga mara 16 mpaka nikageuza godoro juu chini.

Alichoniambia Alisema, Madaga wewe ni balaa, sijawahi kuwa na Hali hii tangu nijue Mambo haya, hata huyu mume nilie nae hamna kitu, nitamuacha. Akimuacha mumewe akaondoka kwao, halafu akarudi Dar! Nimepiga saana! Mumewe akamrudia tena wakasuruhisha, wamerudi Dar Ila ndo usumbufu hauishi anataka nimpe tena na tena!!

Usiku mwema!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaa sasa kimasihara na mwanamke wa kiTanzania uone. Hizo child support ukikwama mwezi tu mshafikishana kwa ustawi wa jamii. Ukikaa vibaya siku unakuta nje ya nyumba yako kuna kitoto chako kimetelekezwa hapo.

Daah


sf
 

Ha ha ha
Wewe ndio ulimaliza na akina kaguo na mgema?


sf
 
Naona umesahau pesa, pesa zako umezipata?
Naona atakuwa ajazipata Ila ni mashauri Kama ajazipata Kuna jamaa yuko bunda ni mkerewe flani hivi yule anakupa dawa ya kunywa robo kikombe tu alafu anakwambia tazama kwenye ukuta yani ni full screen picha ni HD kabisa bila chenga utaona kila kitu yani tukio zima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] events kama hizo, bahati ukimpachika mimba demu kama huyo yan mtoto anaezaliwa anatoka ni pure baharia haijalishi n ke au me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baharia mmoja kaumbuka humu alidhani kila dem analika kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubabeki.....duh yani anaongea na simu ya mumewe huku anachezea ndonga

Dunia imekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafaidi saana. Umpandishe mshahara mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.... alipungukiwa shingapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…