Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Jana mitaa ya tatu nne usiku baada ya kutoka kula mtungi nimedrive home, packing kama unavyojua maeneo ya wazi mf .CCM, baada ya kujiridhisha nimeacha chombo vzr, Ile naondoka tu, nikasikia samahani Kaka. Nacheki Mama wa kati ya 30-35 mjamzito miezi 6 nilimuuliza.
Nikamwambia unasemaje mama mbona hapa saa hizi!, ni kijimtaa wanamopita watu kila baada ya dakk 2-3.
Nikasikia boy mmj anasema bro msaidie huyo. Nacheki madogo wa kitaani nawafahamu. Akili ikanipa basi wanamjua.
Huku nawaza kula tunda na mjamzito lilivyotamu(K ya moto). Lakini maadili yangu yananikataza,as if pana kitu, kinanambia kiumbe tumboni anasikia vyote mnavyoongea.
Akasema shida zake ikiwa ni njaa tu kikubwa, maskini ninatabia ya kununua nyama nikaitoa imekaangwa na ndizi. Akanishukuru Sana akanipa namba, sikumbuki nilivyo isevu. Naona tunda linakuja taratiiibu.
Nia ya kumla sina kabisa. Ukizingatia aliomba niende nae gheto. Chakula na vijicent nilivyompa viniache huru na yeye awe na amani. Tusifurahie kula tunda kimasihara,lakin tuangalie jinsi ya kusaidia watu tukikwepa kuwala warembo wetu, mkumbuke usemi ...'ukila utakiwa..' mwisho wa kunukuu.
Ipo siku mke wako, mtoto wako, dada ako ataliwa kimasihara.