Sasa baada ya kusoma ya wengine nimeona ni dhambi sana kama sitochangia[emoji23][emoji23]

Ipo hivi baada ya kumaliza form 4 maza alinambia nikasimamie ujenzi wa nyumba

Kisa ndo kinaanza baada ya kumaliza ujenzi nikarudi home nikakuta house girl mpya sikuwa na mishe nae sana ila usiku ule home hapakuwa na watu ukizingatia maza n mtu wa mishe mishe umefika muda nilale dah lakn nilishindwa kutokana na ukakasi wa kutokula tunda karbia miezi 6 ilibidi nimugeukie house girl japo sura haikuwa nzuri sana ila umbo lilikuepo nikamuita akaingia room kwangu nikaomba mzgo japo sikutegemea kama nitapata kumbe shetani siku hiyo alikuwa upande wangu[emoji38] nilitunukiwa tunda usiku ule ikawa ndo dose ya kila usiku mpk nilipopata demu mwingne lkn house girl ikawa kama kawaida

Ila kuhusu ndomu nilitumia siku zote na toka yule house girl aondoke ndo mwisho wa kutumia ndomu nataman sana kutumia lkn nashindwa

Free rikiboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo kilichokupeleka kwa mganga
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekula tunda kimasihara juzi j3!! Nilikutana na dem sehem ya kula simjui anijui ila dem yuko poa sana(mzuri) nimefika tu sikishuka kwenye gari nikawa naagiza chakula uku nimekaa kwenye gari... Sasa kilivyokuwa tayari na yeye ndo ananyanyuka asepe... nikamuomba dada naomba nisaidie kunipokelea chakula akachukua akanilitea nikamuuliza unaelekea wapi akasema om, wapi akataja nikamwambia twende nikupeleke akagomba nikambembeleza akakubali hao mpaka kwake njiani tulikuwa kimya ni mziki tu kwa gari... Tukafika nikamwambia mbona kuna giza nje ngoja nasubiri ufungue geti uingie ndo niondoke akaniambia karibu japo unywe maji sikuvunga nikaingia... Dogo kajipanga sana kumbe anaishi peke ake nipo ndani kanipa juice akaniambia ungekula kabisa ukifika om unalala tu nikasema fresh... Akachukua funguo kaenda kunichukulia chakula kwenye gari, nimekula nimemaliza sasa namcheki namtamani ila nashidwa nianze vipi... Akawa kaenda jikoni nikaibuka uko uko jikoni nikamshika kiuno Dogo akastuka ila akaniangalia na jicho la kimahaba akaniambia acha utundu... Nikaendelea kushika kiuno nikambeba mpaka kwa kochi alikuwa hata nguo za job ajatoa nikamsaula kwenye kochi, nikamla apo apo kwenye kochi, Dogo kanogewa akaleta na ngekewa baby lala usiondoke nikalala... Yani apa sasa yeye ndo ananimiliki maana ndo kawa mchumba na anavimba anataka nimuoe eti baby wee mtamu sana una m.b.... O nzuri nakupenda...... Ayo ndo masihara uyu binti aliyoniletea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh safi sana mzee baba
 

Kweli kimasihara
 
Ulikuja kuoa sasa Boss?
 
Ulitakiwa baada ya kumla, ungekula na hizo hela za Machine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daahh ..nipe e-mail Yake au WhatsApp namba Yake mkuu "nimpe sifa zake ana attitude Fulani hivi amazing kama ex Gf wangu 1 hivi ...so called Recho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakukupa ndogo kimasihara?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaya wengi wanajiuza ktk shughuli rasmi km Mama lishe, Bar, receptionists
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Muhaya mpumbavu kiasi hicho, wapo wengi sana wanajisingizia makabila ya watu, kuna mmoja huwa anasema ni msukuma mala muhaya yani haeleweki asili yake ni wapi.
Huyo ni muhaya ni mtaalamu balaa kwenye field yake ya kazi kwenye hilo LA ujinga no binadamu anaweza pitiwa sio suala LA kabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…