Ni kweli kwa kuwa ngono zembe ilianza Tanzania baada ya huu Uzi kuanza?.
Kwa taarifa yako huyo dada yako naye kaamua kukunywea pombe ili kuuvunja ukaka wenu na udada wenu, kwahiyo wewe wala usitumie nguvu nyingi kuuondoa huo ukaka wakati tayari umeshajiseti wenyewe huo mtego.Kuna demu inajifunza pombe hapa kashakunywa serengeti lite 3 huyu demu ananiita kaka kila mara sasa amenambia nimsubir amalizie ya nne nimsidikize kwake anajichekesha ndO kwanza anaanza kunywa pombe, ngoja ni booka rough rider kwa emejency maana hii baharia yoyote awezi acha hichi kitoweo,
Wadau hapa kifuatacho nitaleta mrejesho navunja huu ukaka kimasihara
Nini!!? Is this Nice ar u shua?Among the best story.... hahah mzeee big up but unapewa shavu la kwenda kwa mandela unang'ang'ania bongo.
Aggggrrr
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekula tunda kimasihara juzi j3!! Nilikutana na dem sehem ya kula simjui anijui ila dem yuko poa sana(mzuri) nimefika tu sikishuka kwenye gari nikawa naagiza chakula uku nimekaa kwenye gari... Sasa kilivyokuwa tayari na yeye ndo ananyanyuka asepe... nikamuomba dada naomba nisaidie kunipokelea chakula akachukua akanilitea nikamuuliza unaelekea wapi akasema om, wapi akataja nikamwambia twende nikupeleke akagomba nikambembeleza akakubali hao mpaka kwake njiani tulikuwa kimya ni mziki tu kwa gari... Tukafika nikamwambia mbona kuna giza nje ngoja nasubiri ufungue geti uingie ndo niondoke akaniambia karibu japo unywe maji sikuvunga nikaingia... Dogo kajipanga sana kumbe anaishi peke ake nipo ndani kanipa juice akaniambia ungekula kabisa ukifika om unalala tu nikasema fresh... Akachukua funguo kaenda kunichukulia chakula kwenye gari, nimekula nimemaliza sasa namcheki namtamani ila nashidwa nianze vipi... Akawa kaenda jikoni nikaibuka uko uko jikoni nikamshika kiuno Dogo akastuka ila akaniangalia na jicho la kimahaba akaniambia acha utundu... Nikaendelea kushika kiuno nikambeba mpaka kwa kochi alikuwa hata nguo za job ajatoa nikamsaula kwenye kochi, nikamla apo apo kwenye kochi, Dogo kanogewa akaleta na ngekewa baby lala usiondoke nikalala... Yani apa sasa yeye ndo ananimiliki maana ndo kawa mchumba na anavimba anataka nimuoe eti baby wee mtamu sana una m.b.... O nzuri nakupenda...... Ayo ndo masihara uyu binti aliyoniletea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha niko kiongozi nafatilia uzi kwa umakini sana mzee mwenzangu[emoji23] ngoja nikisanye nguvu maana nishajaribu andika zaidi ya mara tatu ,kabla sijapost jf inajifunga ,nikaona labda sitakiwi kuyasema haya ,
Kwa hiyo hutaki kunywa hiyo chai ya maziwa???Sasa uliendaje kukaa business class wakati una ticket ya economy????
Kwa mamlaka niliyopewa na rikiboy nakuvisha shahada ya juu ya "Ubaharia Uliotukuka"
Mi weusi tii nawatamani sana ila ndio sina bahati nao, sina bahati hata kukutananao niwatongoze sijui kwanini, kuna saa napishananao hadi nasisimkaAisee. Kumla semu mweupe kwako imekuwa ni rekodi ambayo haujawahi ivunja tena. Kweli the world is not fair.
TATEPAChina Airlines toka mafunzo kwa vitendo narudi kwa Bibi via Amsterdam.. Usiku abiria wote kimya wengine wanakoroma kama Nguluwe alie toka kujifungu kwa operesheni. Toka niko Daxing Airport kuna shombe mmoja wa Kichina alikuwa ananishangaa sana wakati abiria tunaingia ndani ya ndege nikamuona nae kaunga mstari.Sasa usiku nikamuona katoka kule Business class anatembea upande wa tatu kwenye lile likirido kanyoosha hadi nyuma kule chooni. Nikajua uwenda njaa au kule alipo kuna foleni na kojo limemshika. Shetani mbaya sana. Nami nikaenda uko uko tukagongane yeye yupo upande ule nami niko upande huu ajabu alipo niona akanifuata.Stor zilinoga sana Abdalah kichwa kasimama kuliko bunduki la kigaidi. Nilimuomba anisindikize chooni alikataa nilipo mbusu akalegeza kamba.Nikamshika mkono tukaingia wote chooni kachoo chenyewe kadogo lakini akaulamba mkopo wa sukari baraa bara na aliekuja kugonga mlango muhudumu wa ndege kuna wengine wanataka kwenda chooni kujisaidia lakini alishangaa kuona tunatoka wawili alafu sidilia yake imeshikwa mkononi.. Niliogopa ata ripoti kwa rubani. Niliama kiti nilicho kaa mwanzo na kuamia kule alipo business class na kumalizia show...
Ilete mkuuNami nitaleta story soon ya jinsi nilivyomla mtoto mzuri yaan malkia wa urembo, ngozi ya karoti, High definition beauty, classic babe tukiwa ndani ya gym.
Sina ujinga huo mkuu....Tokatoka alikuwa muhusika tu wa kujenga picha,mwenye mtoto(mkwe wangu) ni mwingine.Habari yote ni sahihi ila wahusika niliweka kwa tahadhari sana.Nimecheka tu kusikia wameenda na kudunda mwamba
Hahaha.Durban kuzuri mkuu
Halafu mkuu mimi ni computer wizard software hata iwe ngumu vp najifunzaga sio zaidi ya siku tank nimeiva tena mwenyewe tu niwe na user guide tu basi.
Data analysis...mimi ni mchawi wa hzo mambo nilishawai kumkuta mzungu hotel Fulani anahangaika na data za minerals exploration..bahati Nzuri software aliyokuwa anatumia naijua mbaya. Nilishika mouse baada ya saa moja nilichokifanya yule mzungu hakuamini macho yake..akanipa dollar 500 tukabadilisha contacts nikasepa.
Muda wote aliofanya Kazi hapa nchini alikuwa ananitumia data nazichakata namrudishia.
We niunganishe na mama tu mkuu...Mimi wala tunda lako sitaki..Mimi ni hela tu baaasi.
Yes off course.Nini!!? Is this Nice ar u shua?
Kabla sijasoma kwanza nimegonga like.Katika pilika zangu za ujana Ambazo huwa hazina desturi ya kumuweka kijana mbali na mahusiano .... Nikajikuta Nipo katika kijiji kimoja (1) hivi Jina kapuni Morogoro huko ndani ndani ....Ni mahali ambako hata network Ya simu kuipata ni mtihani ili uweze kupata mawasiliano itakulazimu uende mahali kwenye muinuko wa mlima ama kichuguu ndio unaweza kubahatika kupata network "
Basi baada ya kufika katika kile kijiji na kukaa siku kadhaa" kuna siku 1 Ambayo nimeisahau jina na tarehe ..Mimi na wenyeji wangu Tukapanga Tutoke tuelekee kwenye makazi ya Baba Mmoja hivi ambaye anaishi na mkewe pamoja na baadhi ya family members wengine " Nia na madhumuni yetu ilikuwa ni kwenda kuangalia mechi ya simba sikumbuki simba alikuwa anacheza na nani " kwa sababu Mimi sio mpenzi sana wa mpira wa miguu Huu unaochezwa katika hii league yetu ya ndani'.....
So kama mnavyojua " maisha ya kijijini yalivyo binafsi nililazimika kujiunga na huo msafara kwa sababu "ya kuepuka kubaki nyumbani peke yangu so nikalazimika kujiunga na wenzangu ili kuepuka mazingira ya upweke ambayo huwenda yangenikuta endapo ningebaki peke yangu'' so ikanilazimu tu kuwa kenge katika msafara wa Mamba"------
Katika kile kijiji ile nyumba ambayo tulikwenda ilikuwa ni moja ya nyumba maarufu sana ...sababu ambazo zilikuwa zina pelekea nyumba hiyo kuwa maarufu ni kwa sababu Mmiliki wa nyumba hiyo kwa pale kijijini ndiye Mtu ambaye inasemekana ana ukwasi " pia ndio nyumba ambayo wenyewe wamejitolea kuwa wanaonyesha TV kwa wana kijiji "bila malipo wala Tozo yeyote"'....------;
Basi bwana " baada ya Kuikabili safari ya muda kama wa dakika 5 ikawa tumefika katika nyumba husika na Mimi nikajumuika katika kutazama mpira kama ambavyo ilivyokuwa kwa wenzangu""'--------
Wakati tunaendelea kutazama mpira kikafika kipindi cha mapumziko " Ikawa ni wakati wa baadhi ya mashabaki lia lia wa team zao kuanza kutupiana vijembe... Wakati story zimenoga .
Ebwana eeehhhh ilikuwa kama bahati ya mtende Au naweza kusema nyota ya Jaa imenindokea nilipo tizama katika mlango wa kutokea macho yangu ya kukutana na macho ya mtoto 1 matata sana '' Yaani ilikuwa kama nimepigwa na bumbuwazi hivi au kama vile nimepatwa na ajali ya kupigwa na shoti ya umeme'' ---------------
kwa haraka haraka sikuweza kuamini kama yule binti naweza kukutana nae katika mazingira Yale "kwa maana Alikuwa na uzuri unaoweza kumpumbaza mwanaume kiasi chake ..na kwa kuwa kwa wakati ule alikuwa katika mazingira ya kijijini " mazingira yakawa ndio yanazidi kumpa credit kwa sababu kwa sisi watoto wa mjini huwa tuna amini kwamba ni nadra kukutana na binti mzuri Bush....Uzuri zaidi ni kwamba binti alikuwa msafi halafu ana elements za u-slay Queen Fulani hivi''.....
Basi ikawa anazidi kunipa tabu machoni na tetemeko la moyo''
Basi chap kwa haraka nikajiondoa katika viunga vya kutazamia mpira ...nikatoka nje na kumfuata binti mpaka mahali alipo ' kisha kwa heshima na taadhima nikampatia haki Yake ya salamu''...... Kisha nikaigiza kwa kujifanya kuwa Nina kiu ya Maji then bila kusita nikamuomba aniletee Maji ya kunywa ''binti bila hiyana na kwa nidhamu zote za vijijini akanyanyuka kisha akaenda kuniletea''-------
Aliporejea baada ya kunipa Maji na kuyanywa ''Nikaanzisha story ...nikajitambulisha kwake ' binti nayeye akajitambulisha " akanieleza kuwa ni msomi wa A level katika shule Fulani -- ipo Vijiji vya mbele kutoka hapo " akanieleza kuwa anaishi dar Tegeta pale nilipomkuta ni kwa aunt Yake ' akanieleza kuwa anasoma day ila amepanga chumba na mwanafunzi mwenzake Na siku ile niliyomkuta pale "Yupo pale kwa kuwa ni weekend na hiyo kwake huwa ni kama desturi ya kuwa anarejea nyumbani kila weekend''........
Basi Mimi na yule binti urafiki wetu ikawa umeanzia hapo ' nikamuelekeza nilipofikia '' .............
Kumbe bwana kale kabinti nako kalikuwa kananitolea macho ...baada ya kuachana nae siku ile nilijikuta Niko busy sana na mambo yaliyo nipeleka kijijini hapo ''so sikuweza kupata chance ya kuonana nae karibu '
(Binafsi pia nilikuwa najitahidi kujizuia nisijiingize katika mahusiano na mwanamke yeyeto kijijini pale kwa sababu nilikuwa najiheshimu mnoo na watu walikuwa wananilipa malipo mema ya heshima niliyojijengea so nilikuwa najitahidi kusema na nafsi yangu..)
Ila kama ambavyo mnavyojua Matamanio ya ngono yana nguvu kuliko hata ile ya sumaku'' ..basi ikatokea siku 1 ilikuwa ni weekend nilikuwa nimealikwa kwenye shughuli pale pale kijijini ..shuguli ilikuwa inafanyika mchana mpaka jioni "" nilipofika pale baada ya muda macho yangu yaka kutana na macho ya yule binti .......... Tamaa ikanikaba kooni '' Shetani la ngono likanipanda '' nasikia kabisa shetani ananiuliza hivi kinacho kufanya usimt.......huyu mtoto ninini?? Au ndio unajifanya umeokoka Ukitaka kuokoka make sure unajikata na hiyo mbo... Yako kabisa ....
Basi baada ya shetani kunipiga msasa ....nikamuita dogo 1 kisha nikamtuma akaniitie yule binti kisha amueleze mahali nitakapo kuwa namsubiri ..baada ya dakika chache binti kaja huku ana tabasamu ....alipofika nikamlisha maneno matamu kisha nikamuomba baadae mishale ya SAA 11 tuonane (Naomba mfahamu kwamba huko hakuna guest ) miadi yetu ilikuwa kwamba tukutane pembezoni Ya MTO ....... siku hiyo dereva wa kusukuma Masaa alikuwa hana ajizi kufumba na kufumbua saa 11 hii hapa .. MTU mzima nikatoka mbio mpaka kwenye location husika namkuta binti ameshafika kitambo ananingoja ......aliponiona akaja mbio akanikumbatia .... (Ehhh ehhh kimoyo moyo nikawa nasema shetani nikulipe ujira gani Mimi wewe kwa hii favour unayonipa)
Mtoto nikamkiss katika paji la USO nilipo mlaza kifuani hakuwa na ajizi akajilaza kama vile amelalia godoro la tanform ....mikono yangu taratibu ikawa inampapasa Mgongoni nilipofika kwenye kupapasa makalio binti akalegea utadhani samaki changu aliyenasa kwenye nyavu za kutegea samaki na kukutana na kifo.... Nika mnyanyua kichwa mtoto akaomba romance .....(wakati huo tupo kati kati ya Msitu wa Migomba ) mbaya zaidi penzi limetutia upofu tume simama kati kati ya njia ....... Binti akajitoa kifuani kisha akaniambia hapa njiani njoo kwa huku (huku ananiambia kwa sauti nyororo lakini hatufanyi kitu.). hehe hehe
Tulipofika mahali aliponipeleka ambapo kuna kiza kinene kati kati ya migomba .... Nikaanza mautundu '' katika kifua chake Ambacho kilikuwa kimebeba Maziwa madogo madogo kama embe changa lakini ambazo zimechomoka mithili ya vifuu vya Nazi ....huku mikono yangu inatalii Kule panapo mfanya Aitwe Mwanamke (msichana) ..... Nikagundua kwamba pameloa ndembe ndembe mithili ya godoro ama shuka la kikojozi ''....................................
Kilicho fuata baada ya hapo mtamalizia wenyewe .....
I'm out
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaharia zaidiNi matumizi mabaya ya JF kusoma masihara ya watu bila na Mimi kuweka yangu.
Ilikua 2015 natoka kazini, bahati mbaya pikipiki yangu ikaishiwa mafuta ikiwa sijafika pahala niwezapo pata msaada wa mafuta. Wakati natoka nunua mafuta nikakutana na binti makamo ya form 4 leaver hivi anatembea kando ya barabara design kama hana ramani ya aendako (mabaharia wanelewa kuwasoma hao viumbe) na hakuwepo kichwani kama saa moja ijayo anaweza kuwa kitoeo. Wakati nageuka pikipiki nikakutana nae tena akionekana vile vile kuku mgeni. Nikasimama kando na kumsomesha iweje mtoto mbichi anachomwa na jua wakati mie pikipiki yangu sina abiria. Ghafla bin vuu mtoto wa watu akakwea lengo akapewe walau maji baridi popote yauzwapo atuze joto. Break ya kwanza home kwangu (mke wangu alikua mkoa wa mbali nami). Kumbe kweli binti alikua mgeni na alikua anakata mitaa kuujua mjini, na bahati nzuri akakutana na mwenyeji akanitunuku tunda pasipo hata mtongozo.
NB: Sikutaka kumjua jina na wala namba yake ya simu sikuchukua. Mtoto wa kinyamwezi, uwazi wake ulikua vizuri sana. Mwishowe aliambulia Tshs. 600/= ya nauli akarudi kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
demu kutoa milio sio ndio amefikishwa kileleni ni wengine wanapendaga tu kutoa milio ili kuongeza hamasa kwenye game au kufanya jamaa ajione anapiga kazi ya maana kumbe hamna kituMikito Mikito, Ila mkuu wanawake wengine ni waongo sana we mwenyewe umesema demu akiwa yupo na mshikaji anatoa sana milio halafu baadae unasema hajawai kufika kileleni akiwa na jamaa sa sijui anatoaga milio ya maumivu....ukute hata kwa jamaa alikuwaga ana mpa maneno hayo hayo kwamba yeye ndiyo anamfikisha hahahaha hawa ndugu zetu hata kwenye biblia tume ambiwa tuishi nao kwa akili.
.....Baharia never die..
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika kwenye note ya simu kisha copy na u paste hapa hata mimi huwa,inani tokeaHahaha niko kiongozi nafatilia uzi kwa umakini sana mzee mwenzangu[emoji23] ngoja nikisanye nguvu maana nishajaribu andika zaidi ya mara tatu ,kabla sijapost jf inajifunga ,nikaona labda sitakiwi kuyasema haya ,
asanteKwa mamlaka niliyopewa na rikiboy nakuvisha shahada ya juu ya "Ubaharia Uliotukuka"