Nna mpango wa kwenda mtwara au Lindi nikatafute mke hawa kwetu pasua kichwa,ila tatizo la hao anaweza kuja kuwa kama Zubeda wa Professor Jay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi Sana baharia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera baharia kwa ukarim wako mpk binti akapata kazi Nina Imani kiporo hiki huwa hakichachi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi story za kutunga buana muwe mna hariri,huko juu kasema alivaa nguo ya pink maziwa yamesimama maana hakuvaa sindiria,huku kati anasema akatoa lock ya sindiria kitandani,hiyo sindiria imetoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi mtamu lakn hukula kimasihara bhana...we mpk kutongoza umetongoza kbsa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna raia mmepiga maisha matamu sana
 
Nipe namba mkuu
 
embu tuambie tu ukwel mkuu,hukumfi**ra kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…