Lazima huu uzi ufungiwe,
Uzi wa hovyo huu vijana wanaharibika
 
habari ya paris mkuu
 
Daaaaahhh...huu ungese sasa..Leo nimemsindikiza bro hospital, wakati tuna subiri kuingia kwa doctor kaja demu Mmoja mweusiiii ila ile weusi wa kuteleza ana kijitako fulani kizuri Balaa na hips swafiii...halafu alikuwa kava jeans tight kwa hyo tako na hips vinaonekana vizuri Kabisa...

Baada ya kuingia pale mapokezi Kila mtu kuanzia wanaume, mademu wenzake na wamama kama walitulia kiaina. Nikawa nimemwangalia tulipokutanisha macho akaangali pembeni fasta.

Ghafla ishu ya Kula kimasihara ikajaa akilini ila sasa namuanzaje?? Nadhani ndo ilikuwa ndo Mara yake ya kwanza kuja Kwenye ile hospital maana alifungua file jipya. Baada ya kufunga akawa wa Mwisho Kabisa Kwenye foleni. Nikaamka nikaenda kusimamia karibu yake...yeye kakaa Kwenye bench Mimi nimesimama tu maana hakukuwa na nafasi ya kukaa.

Kimbembe ikawa naanzaje kumsemesha sasa maana alipoingia Kila mtu alipay attention kwake. Duuuuu....huku nakule akawa amefungua file lake nikawa nimeona Namba ya simu imeandikwa Kwenye file fasta nikachukua ila Namba na nikaondoka Kabisa pale nikijisemea moyoni hapa 50% nimeshashinda.


Daaahh baada ya Kutoka hospital nimepiga ile Namba haipatikani...yaani nimerudia zaidi ya mara mia haipatikani...nimemtumia text WhatsApp ila bado haijawa delivered. Sasa nashangaa kuna nini maana akiwa pale hospital alikuwa anachat.

Yaani hapa naandika hii comment ni saa kumi alfajiri ila bado Namba haipatikani. ***** wallah sijui yule mtu wa mapokezi alikosea kuandika Namba ya yule demu??? Bado sijakata tamaa naendelea kumtafuta na siku nikimla nitaleta masihara yake hapa.
 
😂😂😂usiwaze mkuu
 
Mkuu vipi ukiingia Google uka check mawasiliano ya hiyo hospital then from there ukauliza mawasiliano ya huyo mtu hope unaweza kua na sehemu ya kuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa senzy saaaana duh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marufuku baharia kukata tamaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume Mungu anawaona.

My best kaliwa kimasihara muda si mrefu hapa, kakutana na baharia njiani kaliwa saizi nampashia maji akajikande maana anasema jamaa anamiliki mguu wa mtoto anahisi kizazi kinachomoka
Wewe hauutaki mguu wa mtoto?
 
Mkuu, Yule ni mlokole pure sema labda alikuwa kabanwa mnoo kupitiliza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeqq hivi chief unatuchukuliaje sisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…