Ungeharibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya malengo unayopaswa kujiwekea ni kuacha kuangalia video za ngono (porno)...Alafu jitahidi usikae peke yako muda mrefu (upweke). Hizi ndizo sababu zinazoaminiwa kuwa visababishi vikubwa vya mtu kupiga punyeto.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi nimeufuatilia tangu Day 1, tatizo nashindwa kuchangia maana visa vya kula mabinti kimasihara ni vingi tangu nikiwa chalii mdogo miaka ya 90 hata Leo nimemgegeda binti wa Chuo kimasihara ila nyie mabinti hebu muwe mnakataa hata kumsumbua mhusika ili muone usiriliasi wa mtu
 
Mkuu umenitia moyo sana mi napiga mkono kwa wiki labda mara moja ila watoto nawachakata vizuri tu nna pisi kama tano hivi zote nazichakata kwa wakati tofauti .
 
JINSI NILIVYOOA KIMASIHARA.
Hapa sitataja majina ya maeneo wala watu watoto wangu wasijeku-connect dots.
Ilikuwa mwishoni mwa miaka ya tisini nimemaliza likizo narudi shule. Sasa wakati huo kulikuwa na mvua kubwa zinanyesha (waliziita Elnino) barabara zilipitika kwa shida sana, yaani usafiri wa masaa kadhaa unageuka kuwa wa siku kadhaa. Tulianza safari saa 12 asubuhi lakini kufika saa nne tayari tulishakwama kwenye tope na mbele yetu kuna malori kibao yamenasa hivyo barabara haipitiki kabisa. Abiria wengi wakawa wanarudi walipotoka lakini wachache tukaamua kukomaa kwa kutembea kwa mguu kilomita kadhaa ili kupita sehemu korofi ili huko mbele tuunganishe magari mengine.
Basi baada ya kutembea kwa masaa kadhaa tulifika sehemu ambapo tulipata usafiri wa lori ambapo ndani kulikuwa na abiria wachache, tukaungana tukaendelea na safari. Hatukwenda umbali mrefu lile lori nalo likanasa kwenye tope porini na giza lilishaanza kuingia hivyo ikatulazimu kulala humo humo ndani ya lori.

Sasa miongoni mwa abiria waliokuwapo ndani ya lori, kulikuwa na binti shombe shombe mzuri sana wa sura lakini alionekana kadhoofu sana. Nilivyomcheki nikaona kang’ata meno anatetemeka baridi lakini hakuna aliyemjali. Basi huruma ikaniingia nikamfata nikampa shuka la kimasai ajifunike. Usiku ulivyokolea nikasikia mlango wa bodi unafunguliwa akaingia utingo akaenda kujilaza karibu kabisa na yule binti. Kwa muda mrefu wakawa wanazozana kwa sauti ya chini ilivyoonekana kulikuwa na makubaliano ya kula tunda lakini binti akabadilika. Baadaye sauti zikazidi kuongezeka, binti anamuomba utingo amuonee huruma anaumwa sana. Wakati wote huo abiria wengine walikuwa kimya tu, baadaye uzalendo ukanishinda nikamkoromea yule jamaa huku nikipata sapoti ya watu wengine. Jamaa akachukia akatoka kwa hasira huku akiniacha na pointi 3.
Kulivyokucha hakukuwa na dalili za lile lori kutoka pale ikabidi nijiongeze kwa kutembea kwa miguu hadi vijiji vya jirani ili nisife njaa. Binti alivyoona naondoka akaamua kuunga tela tukaongozana. Kwa kuwa hakukuwa na usafiri mbadala tuliamua kutembea umbali mrefu ili tufike kwenye mji uliochangamka pengine tutapata usafiri.
Tulitembea hadi jioni ndo tukafika ikabidi tufanye mipango ya chakula na malazi. Mfukoni nilibakiwa na nauli tu ikabidi niulizie nyumbani kwa mwanafunzi yoyote anayesoma shule yetu.
Tulielekezwa nyumba ambapo tulipofika nikajieleza na kudanganya huyo binti ni mwanafunzi mwenzangu, tulipata mapokezi mazuri sana japo mtoto wao alikuwa ameshatangulia shule. Tulilala pale na kesho yake tukapewa na nauli pamoja na kufungashiwa vyakula vya njiani. (Mungu azidi kuibariki hii familia)
Eneo hili halikuwa na shida sana ya usafiri kwani barabara ilikuwa nzuri na kuna vipande vipande vya lami, hivyo tulifika shule siku hiyo hiyo.

Turudi sasa kwenye historia ya binti.
Tulipokuwa njiani tukitembea binti alinieleza historia yake kwamba alikuwa akiishi na baba wa kambo. Na kwamba mama yake alishafariki. Sasa huyo baba yake wa kambo anaishi kwenye nyumba ya wazazi wake pamoja na mashangazi zake. Sasa alikuwa akipata manyanyaso makubwa sana kutoka kwa mashangazi huku akinionyesha makovu mbali mbali ya vipigo na kuunguzwa na pasi(baba yake hana shida naye na anampenda ila hana sauti kwa dada zake na ni mtu wa kusafiri sana) hawakutaka aishi pale hivyo alivumilia mpaka alivyomaliza kidato cha nne. Alipomuaga baba yake hakutaka aondoke ikabidi atoroke ili aende kwa mjomba wake ambaye anaishi mkoa wa jirani na ilipo shule yetu. Hakuwa na pesa hivyo alikuwa akisafiri kwa kuomba omba tu. Niliahidi kumsaidia kufika kwa mjomba wake japokuwa na mimi sikuwa na pesa ila nilikuwa mpiga picha mahiri (kwa wale wakongwe watakuwa wanakumbuka mziki wa Yashika MF2 camera) hivyo ndani ya wiki tu tayari nitakuwa nimesafisha mikanda kadhaa na kupata pesa.
Nilipokuwa nafanya haya yote sikuwa na mpango wowote wa kula tunda, nilifanya kwa huruma tu.

Itaendelea......
 
Unazinguw
 
Huu Uzi naupenda maana watu wengi unawakumbusha mambo waliyoyafanya katika ujana na wanawake nao wanausoma na kutabasamu wakivuta hisia ya mambo yaliyowatokea
 
Unatakiwa uishi na mwanamke, mwanzoni utadharirika sana, mwishoni utapona......ila unatakiwa kuishi nae milele...
Punyeto ni ugonjwa wa milele......haikuachi salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fala uyo anapiga kama lishe anadhani ndio chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…