Basi na mimi ninaleta story yangu ya kula tunda kimasihara
Mimi ni mwana mazoezi na ninapenda sana hasa hua na ratiba kwenda gym hasa nipatapo nafasi. Basi nakumbuka ilikua mwaka jana nilienda mazoezi kama ilivyoada baada ya kufika pale nilkuta wenzangu kama watano wanapasha misuli na kunyanyua mavyuma mazito mazito, basi Kati Yao kulikua na binti mmoja na wanaume wanne lakini kadri mda ulivyokua unaenda ndivyo watu walizidi kuingia na mazoezi kuendelea kama kawaida. Nikiwa nimekomaa kunyonga baiskeli za mazoezi huku nikisikiliza mziki mzito kwa earphone kutoka kwa mwanamama machachari Celine dion akili ikanituma kutupa jicho kulia na kushoto, mbele na nyuma kujua kama kuna kifaa kingine wazi naweza hamia kwa mazoez mengineyo lahaulaaaah ndipo upande wangu wa kushoto nakutanisha macho na binti mmoja mremboo sana sana akiendelea na mazoezi huku akiwa na njemba ya miraba minne ikimfanyisha mazoezi ya squart na kata tumbo.
Kwa mda kidogo nilituliza akili nisionekane nimepanick na yule dada hivyo nikaendelea kunyonga baiskeli huku mara moja moja nikimtupia jicho yule dada na kuendelea na yangu. Binti yule alivutia alipanda hewani mithili ya card b kwa wanaomjua, kiuno saizi ya kati macho yake mazuri madogo ya mviringo, Matako yake standard ata mkopo unaombea [emoji16] duuh, alivaa truck sut ila haikuacha kutanabaisha saizi ya miguu yake mtoto Ana mguu wa bia yaanii mguu mguu sio kanyagio tu jamani Mungu wetu kaumba, haitoshi kichwani mtoto alikua na rough dread ila very good looking and unique, ngozi adhimu utazani mtoto anaogea Rosheni [emoji119] yaani rangi yake bwana kama rangi ya karoti ambayo haijakozaa sana ila amaizing sana, alivaa kitop tumbo flat safi kabisa na vichuchu vilikua vidogo kama maembe ngo”ngo”kwa wanayoyajua jamani hizo zilikua sifa zake binti huyo kwa jina la Apple alilonambia baadae baada ya kujuana.
Tuendelee sasa toka hapo nikamtamani yule Dada na kuhitaji ukaribu zaidi na yeye lakini kwa siku ile sikuzungumza nae chochote siku ikapita, siku ya pili nikamuona nikaogopa kumface, siku ya Tatu hakutokea nikasema mhhh chelea chelea utakuta mwana si wako hapa
Basi sasa siku ya nne akatokea nikamvizia mda anaotoka nikawahi nje kwenye parking karibu na gari yake nikamsubiri hapo moyo umejaa hofu kwa uzuri na hali yake iwapo atanielewa, basi akafika kwa heshima na taadhima nikamsimamisha akasimama nikampa salamu akakubali, hapo ananikazia macho usoni tu mimi hofu imetaradadi moyo unapiga mara mbili zaidi ya kawaida nikamwambia
Dada samahani mimi Alumn nimevutiwa na wewe Nina haja ya kua karibu ma wewe kwa mazoez na maisha ya kiujumla hasa kampani yako please, akanitazama kama dakika Tatu then akasema sawa nimekuelewa, akaanza kuondoka kufungua gari mimi nimesimama baadae kidogo akanirudia akanipa sim niandike namba,nikaandika then akasepa zake, kesho yake hakufika na pia hakunitafuta. Baada ya hiyo siku sikwenda gym kumbe yeye alifika na hakuniona. Jion mida ya saa moja text inaingia. Hallo Alumn it’s apple here hope you are fine. Nikaload nikaload nikajiongeza nikajua ni mtoto wa gym huyu sijakaa sawa ikaingia txt sorry leo sijakuona mazoez but feels like I mic u a lot...aseee nitamalizia ngoja nihudumie wateja kidogo.