Yaani nimecheka hadi daladalani watu wakawa wananiangalia.

Bazazi


Usicheke sababu mimi nilijua naenda kumtembelea bro kweli mpaka sikua na wazo nachoshkru mpaka wa leo ananitreat kama katoto nilijpatia bonge ya mume
 
Sioi mm.🏃🏃
 
Mkuu nipe namba yake Kama hutajali mimi ni kijana mstaarabu sana [emoji1545][emoji1545]
 
Umezingua aiseee mumeo wa ndoa ndo unamwita 'mpuuzi'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa udom chuo kuna dada yuko dar pini hatari tunatoka nae kijiji kimoja hatukuzoeana sana nilipata namba yake nikamtumia sms kiutani tu 'kuna mtoto anaitwa TUTO na baba yake anaitwa MBANE Je huyo mtoto ataitwaje shuleni?' akajibu. Baadae akaniuliza kweli unataka tufanye? Nikajibu ndio nilijua hawezi kufika dom, hee nashangaa anapiga simu nijiandae anakuja kweli akaja ilikuwa ijumaa nikachukua gesti huku tumbo linaniuma mapigo ya moyo yako juu kiukweli nilikuwa namuogopa kwanza mkubwa halafu mzuri balaa basi nikapiga moyo konde nilipiga show ya hatari yaani ilikuwa kama dozi kwa mgonjwa mpaka jumatatu namsindikiza stendi nikarudi chuo niko nyanga'nyang'a akanogewa akaja tena mara ya pili wenyewe ilikuwa tunaita ku- import
 
Umezingua aiseee mumeo wa ndoa ndo unamwita 'mpuuzi'

Sent using Jamii Forums mobile app
Waah sisi wala hatujawahi kuwa serious na maisha tunaishi kama washkaji tunananiana vyovyote pengene labda sababu hatupishani kiumri watoto mpk muda mwingine wanetu wanatuita kwa majina yetu sorry kama umeipa uzito ila sisi hua utani mwingi inategemea tu na ulipoutelea
 
Za wasio wazuri hazivutii mkuu, zipo nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mkuu ninaomba nikupe ushauri na wala sio pesa ninakuomba. Binafsi boarding miaka sita chaputa sana ila Niko poa. Ishu no saikolojia. Niwekee namba yako pm tuongee. Luna muda college yetu aka Coet inacheza na udbs wanatutania wapiga puli. Ninawaambia bila ya pull fizikia haiendi
 
Hapo wanatamani wangekua wao basi tu!
Wanabaki kusema chai...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hizi bahati tunazokutana nazo kwenye public buses watu wanakuwa kwenye mission. Last week niliamua tumia usafiri wa umma. Kutoka kituoni sikupata siti hadi nafika Uhasibu watu wengi pale wanashuka; jirani yangu kuna kijana alishuka akamwacha binti wa Kipare japo yeye anadai Mngazija kakaa siti ya dirishani.

Nikaketi kwenye ile siti safari imeendelea kufika Mivinjeni kukawa na foleni baada kama ya dak 5 nikamwambia yule binti hii foleni bora nitembee kazini jirani. Akasema anaomba kama simu yangu ina dakika aongee na dada yake anamsubiria akimtumia meseji hajibu, nikampa akapiga kama mara mbili simu haikupokelewa.

Akanirudishia simu mie huyo nikasepa, jioni akanitext kwa namba aliyokuwa ana beep kuwa hello dada nilimkuta mie fulani, nikasema poa unaishi wapi akasema Kariakoo, Mzizima.

Nikamuuliza Kigamboni ulitoka kwa nani akasema kusalimia ndugu nikamtania weekend basi itakuwa zamu yangu kupokea mgeni akasema kesho narudi Arusha na tiketi nishakata nikasema poa basi ngoja nije angalau niku-hug mtoto wa Kingazija. Akajibu kama nitamrudishia nauli ya tiketi kesho aje kunisalimia alafu kesho kutwa aondoke nikaona itani-cost zaidi nikamwambia nachelewa toka shift kesho ngoka nije tu niku-hug akasema poa.

Nilikuwa home nikawasha zangu gari huyo mpaka Mzizima nikamchukua mtoto tukaenda kule Jangwani kuna sehemu fulani yanapaki malori ya mizigo.

Tumepiga story mbili tatu akasema anataka rudi home dadake atamgombeza nikasema tukae nyuma basi uni-hug akakubali kwenda nyuma mtoto kashaanza mchezea nyeti yangu, alikuwa kasimama akasema lol kuna usalama kweli hapa. Nikamwambia usijali ni-hug tu uondoke.

Ishu ikawa style ya kuni-hug nikamwambia unakuja kama nakupakata naku-hug mtoto wa Kingazija. Akakubali akatoa baibui ndani alikuwa amevaa gauni fulani la kuteleza nikawa nashindwa mpakata vizuri lilikuwa linabana nikamshawishi apandishe akawa akagoma kumbe ndani hajavaa kitu, nikamwambia sikufanyi kitu kwenye gari akakubali kusogea.

Nimem-hug katulia tu akaniuliza hivi kunisumbua kote huku unanilipa nini nikamwambia ukitulia kuna zawadi nzuri akasema haya, nikatoa dudu nikamwambia akalie akakubali tukapiga kimoja fasta nikamwamchia 40 na kumrudisha home.

Kesho yake nikamcheki vipi umesepa akasema hapana dada yake kamwambia kuna kazi anamtafutia atulie kwanza nikasema nakuja baadae kukusalimia akasema poa tukarudia kamchezo japo alininyonya tu. Tulifanyia kwenye gari napo nikamwachia 20 nilichokuja gundua anajiuza; simu yake ina applicatiom za Badoo Tinder Tagged nikajua na mie nilinaswa kwenye mtego wake na Kigamboni alitoka kutoa huduma asubuhi yote ile ajihumu kutoka kwa ndugu kwenda kwa ndugu. Mpaka leo sijamcheki akini-text namwambia nipo safari.

Wanaume tuwe makini, hakuna bahati -- watu wapo kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimeza P.E.P haraka baada ya siku ya pili kujua anajiuza au mambo hupangwa na muumba ?[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…