Chifu wangu umenena vyema kabisa kwamba hakuna bahati watu wapo kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamaeee ulitakiwa ushtuke kuanzia pale alipotaka kukatisha safari kama ungerudisha pesa ya ticket...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika alaaaaniwe [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kifala adi wife kaja kuchungulia akijua labda nachati na mchepuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa mtu wa uvinza...yaani uvinza ikishakaa damuni....hyo kitu inakuwa involuntary action....yaani unaweza nunua hata kahaba pale corner bar ila ukajikuta umezama chumvini halafu wakati wa kumtia unatumia ndom..hahahaaaaaa.
Umesema kweli mkuu, nilishawahi piga deki malaya mmoja hivi na nkamla kavuu, alikua akiishi mwananyamala, alikua na gheto lake kali kinyama, nilikua nashinda pale nakula mzigo, siku hizi namuona yupo bongo muvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana hao wanyama tajwa; Badoo, tinder,Hi5,tagged ni hatari sana kwa mustakabari wa mahusiano yoyote yenye malengo endelevu.
 
Pole sana bro
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa 2018 mwanzoni.. Bila shaka tarehe za 12 au 14... Siku hiyo nipo zangu chuoni nagoja lecture ya DS jioni saa moja.
Nikaona isiwe tabu.. Nikaona nipitie pepsi Cafe 1 na vibiskuti nisukume masaa (sikutia kitu tangu asubuhi nlivopiga brunch) Ile nafika maeneo ya cafe.. Nikakutana na dem flan mkali kinoma nlimuacha form5 wkt namaliza Advance... Sasa nikajua hajamaliza shule na wiki hiyo ndo walikuwa wamefungua shule... Inakuaje yupo bd kitaa.. Hlf chuon kwetu.
Hapo alikuw na mwenzie (simjui) nkamuuliza vp mbn uko hapa.. Akashangaa kuniona pale ... Oh hivi mara vile, ooh umekuwa handsome... Nikaona isiwe tabu. Kumbe amemsindikiza mwenzie kwa bwana'ke alokuw anaishi Hall 1 (UDSM) Baada ya muda kdg mwenzie akaja kuchukuliwa...
Ujue huyo dem wkt niko kiskuli nlikuw namkubali kinoma sema akawa anajikuta star, af wa kishua.. Nikampotezeaga.
Basi mwenzie alivoungana na bwana ake akaambiwa mwenzie hatorejea kwa siku hiyo.
Akili ikacharge fasta .. Nikaamua nimpeleke kwenye topic mazima. Mara pap... Huyu hapa... Miaka hiyo mwezi januari ndo boom quarter 2 imesoma wiki hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23] jeuri kama yote. Wapi lodge, tukapitia msosi (niliahirisha pindi la DS)
Inshort nilimchapa siku tatu mfululizo. Kazi ikawa kuhama lodge... Unaambiwa nilimsukumia show za kibabe mpk nikawa nafeel kama nanuka papuchi [emoji23][emoji23]
Sema alivomaliza shule yeye akaenda SAUT mwanza huko... Tangu siku hiyo akija dar likizo ni mgegedo wa haja kisha fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kamba zako Kama za Dkt Love a.k.a Pimbi. Yani mwakajana June tayari January hii anamtoto ??[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo badoo ndo hatari na hi5 yaani hakuna demu unatongoza anakataa wengi wapo desperate sana kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ule uzi mliokuwa mnaanika kazi wanazofanya dada zetu mule, huwaga nina katabia kakudadisi nikasema ngoja nikashuhudie hayo yanayosemwa. Nilifanikiwa kufungua akaunti Hi5, aisee dada zetu kweli wako desperate na maisha. Unaona picha ya dada akionekana mstaarabu kapiga picha yake ya heshima, chat nae uone. Huna hata haja ya kumtongoza kujua biashara yake, bali yeye mwenyewe atakupa uelekeo. Nilisikitishwa kumuona mmoja wa Exs wangu humo. Nilijaribu kumtumia ujumbe ili nihakiki Kama naye anafanya biashara, bahati nzuri hakunijibu. Angalizo, hakikisha unakagua simu ya mpenzi wako na kuangalia uwepo wa hiyo mitandao kwani sio mizuri kwenye afya ya mahusiano yenu.
 

Kiuhalisia iko hivi: Hakuna tukio la kula kimasihara kwa sababu;

1. Kama mwanamke mnafahamiana kwa kusalimiana tu au story chache then ikatoke siku kaingia 18 akaliwa, huyo alikutaka yeye alichofanya kakuwekea mazingira umalize mchezo. Mwanamke asipokutaka huwezi mgusa katu, kwanza hawezi ruhusu mazingira hatarishi na mtu asiyemtaka.

2. Kuna mwanamke anaamua kuachia papuchi kwa sababu lengo fulani litimie, mfano yupo safari na hayupo vyema kifinance ili afike aendako na alale sehemu salama. Atatoa kwa sababu hiyo! Au kuna mmoja katoa story alimla binti then binti akaomba hela akanunue themos tu, alivunja themos ya home akatakiwa alipe! Huwezi sema pana masihara ila mwanamke kadhamiria mwanaume atayekuwa radhi kumsaidia atampa huduma hiyo!

3. Wauzaji, hawa wapo wengi kinoma wengine wake zetu mitaani na wengine tupo nao makazini! Siku hizi wanatumia mitandao au wakala huna haja ya kuhangaika! We ukisafiri fika lodge ongea na muhudumu mpe sifa za zigo utakalo au ingia badoo, hi5 na n.k. utapata kila design. Hawa pia ukikutana nao njiani hawakuachi hivi hivi, watatafuta njia mpate mawasiliano ajihakikishie wateja! Kama huyo Mngazija uliyekutana nae, hakumpigia dada wala nini! Aliji beep tuu na ndiyo maana akakusms ukaona umeokota dodo kwenye mwarobaini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tuwe makini sana na masihara haya!
 
Aisee wamekuwa cheap sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimejiunga iyo app ya H5 ni balaa jina jingine inaitwa Tagged kuna pini za ukweli hatari hadi watoto wa kiarabu na kihindi mixer wazungu hapa box la kondom muhim na hivi mshahara unakalibia kutoka ha ha ha ha
 
Mngazija muhuni sana namba ya dada yake aliyo beep akaendelea kuitumia muda wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…