Aisee bonge la story kwanini story nyingi zinakuwa hazina happy endings?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani inauma hii hali sana, my Best kaachiwa namba akipiga haipokelewi wala SMS hazijibiwi na kaliwa kimasihara.
Kwani ndiyo huyo nini? Mwambie nilikuwa napita tu, sikuwa nahitaji parmanent relationship 😄
 
Nakumbuka saana huzi pasi chapa ya jogoo tulipokuwa chuo cha polisi ccp zilinitesa saana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja Kati ya story ndefu na zisizo chosha kusoma. Hongera msimuliaji.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 balaa
 
Story imetulia mno...

Safi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi zote sijawahi kula na ndomu,
Kuliko nipewe na ndomu bora nipige nyeto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Shikamoo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa Mkuu, hukwenda hata kumtafuta Lindi kipindi uliporudi?

Hahahaha, Aise ni kweli. Nimekomaaa mpaka nimeisoma yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ina majani mengi nmeshndwa kunywa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaam;
Ahsante kwa simulizi nzuri sana.
Nimelazimika kutoa kongole kutoka na mpangilio mzuri wa uandishi ulioutumia ktk uandishi wako.
Ahsante kwa kuwa umeamua ku-share nasi uzoefu wako ktk uzi pendwa na bora kbs..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miaka hiyo uliyosimulia bila shaka watoto wa Rose wanausoma huu uzi. Ijapokuwa umetumia code, wataunga dot kwamba mama kwao Tabora, kazi mwalim, first appointment Lindi.
Hongera kwa simulizi maridadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…