Kaka shikamoo! Maana kwa huo mwaka unakula kwa masihara, mie nilizaliwa miaka 9 baadae. 😆 By the way, nimeona ID yako, ninadhani umeangalia hizo filamu matata za Matt Damon kuanzia Bourne Identity (2001) hadi Jason Bourne (2016).
 
Mzee mwenzangu,umenirudisha mbalia sana na story yako!!Loooh..
Kweli wakati ni ukuta!!
 
Vp saivi una jipanga pale sinza usiku kusubiri wateja au
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mwenzangu,umenirudisha mbalia sana na story yako!!Loooh..
Kweli wakati ni ukuta!!
Haha ! Naona wazee wa huu uzi mmekutana sasa. Tunafurahia uwepo wenu, busara zenu na uzoefu wenu bila kusahau uandishi wenu wenye tabia ya kuteka akili za msomaji na kuona vitu tajwa kama wanaviona kwa macho kumbe ni taswira tu.
 
Haha ! Naona wazee wa huu uzi mmekutana sasa. Tunafurahia uwepo wenu, busara zenu na uzoefu wenu bila kusahau uandishi wenu wenye tabia ya kuteka akili za msomaji na kuona vitu tajwa kama wanaviona kwa macho kumbe ni taswira tu.
Kwa kweli uzi huu naufuatilia sana,sababu umenirudisha mbali sana...nikikumbuka basi na machozi yanalenga.Wakati wa ujana na pilikapilika za kuizunguka dunia.Kuzirudisha nyuma siku haiwezekani
 
Sio malaika huyu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka kumuuwa?

kelphin kepph
 
Meupenda huu uandishi... Hope hii talent imekutengenezea kipato
 
Nipe namba mzee nipo mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah pole sna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori zako kaa nazo bhana. Hazivutii hata. Chai tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu we jamaa nakutazama post zako sana ila naomba nikwambie kitu kimoja. Kuna kusoma kitu ukavutika nacho au usivutike nacho. Hizo unazosoma wewe ukazipenda humu, jua kuna wengine ambao hawajazipenda ila wameamua kukaa kimya kutokana na kutambua hilo. Usipende kujifanya unachoona wewe siyo ndiyo kila mtu ni hivyohivyo, muda mwingine unakera watu hata huko juu unakosoa vingine havina ulazima.

PUNGUZA UJUAJI KWENTE NYUZI ZA WATU, ALOANZISHA KATOA UHURU WATU WATIRIRIKE. IWE UONGO AU KWELI WAACHIE WENYEWE.
 
Kweli kabisa naunga mkono hoja lengo la huu uzi ni kuburudisha whether stori ni ya kweli au ni chai haina haja ya kumkosoa mtu kwa kushea anachojiskia kikubwa hajatukana mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umeambiwa huu ni Uzi wa akina Eric Shigongo. We fanya mambo yako achana na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisipo kupongeza nitakua nimeidhulumu nafsi yangu sana hongera James Umeeleweka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…