Dash huyo mwamba alimfanyia ukatili huyo Dada anaye jificha kwenye mwamvuli wa ulokole. Yaani unachakata k mpaka asubuhi then unampa buku mbili?!! Tena kaacha ibada kwa ajili yako kuna kufanya uasherati?!!!
Huo nao ni moja ya ukatili wa kijinsia.
Nitamuongea, mshahara umetoka[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuunganisha doti kama nimeupata huo mji.....

Ila upo makini kwenye kujali afya/kutumia condom

Hongera mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyooo, iko gud

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em tuandikie apa iyo sentensi alosema Jacob in spanish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shikamoo.,
Haichoshi, inavutia, ni nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko vizuri baharia ulimuwakilisha vyema Tonnie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida hii bablai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyambiza,
Wewe hukula. tunda kimasihara Bali ulibaka kabisa na umekiri hapa kwa maelezo yako! Story yako haikupaswa kuwemo humu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakubaliana na wewe ukimaliza kushusha mzigo kisha ukapigwa BJ papo kwa hapo unaweza zima kwa raha nishakutana mabnt wawli wana utaalamu huo usiombe baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi showoffs, fake life and standards za mitandao ya kijamii zina madhara sana, kama hazikuletei frustrations mwenyewe binafsi, jua kuna kundi la vijana wadogo wa kike na kiume zinawafanya waimagine maisha yao kwa kukuangalia wewe. Tupunguze, hazina afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…