Sawa, tumekusikia [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakwama,
Kujua demu kavaa shanga au bikini ni mpaka avue nguo!!??? Tena dem mwenyew baamed! Mbona easy tu
"alikuwa kavaa bikini na shanga juu"

Kwa uongo huu mtafanya huu uzi uonekanae ni wa wasela na wala BHANGE, huwezi sema kavaa bikini na shanga juu ilihali bado mpo baani na pia hajavua, umezingua mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulikuwa unatia in rough way paka mtu anatapika dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah huyo jamaa ni msimuliaji mzuri saana.
Ila watu wa zamani mapenzi yalikuwa magumu saana hahah yan kuwasiliana paka barua

Yani barua huçhukua siku kadhaa kufika.

Leo hii hivi videm vyetu usipo vitumia msg ya usiku mwema tuu utasikia hunipendi.
Asante mkuu, tupo hapa tunasoma story za 1977, mbali sana huko mzee ilà kumbe kaka/uncles zetu walikuwa washaanza kumega kimasihara[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, kweli mkuu. Ilà hii ya '77 jamaa anaweza kuwa dingi yako kabisa sumbai, hahaha joking!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…