Daaaah! mkuu kama naiona Isanzu vile.
 
Sad[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aangushe tu khanga apake mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema hakuwa amevaa sindilia wakati anaingia kwenye part, pia mlipofika home alioga na kisha kubaki akiwa na tauro tu baadae ulipomaliza na wewe kuoga ukamkuta akiwa teyari keshajilaza kitandani...

Sasa swali ni kuwa ulisema hakuwa kavaa sindilia, sasa ulitoa vipi lock ya sindilia ilihali hakuwa kavaa kabla, mabaharia punguzeni chai jamani[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya enzi za analojia yalikuwa matamu sana, sikuhizi kila Mara SMS tena za watsap, SMS za kawaida, Inst hadi kero binti akitaka kula anatext umpe pesa, zamani ukiwa na binti anakueleza mambo simple kama Mafuta ya kupaka yameisha, au Sabuni ya kuogea hana, sikuhizi unaombwa pesa ya matumizi ya kila siku
 
huyo sio jini mkuu, niulize kwa nini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za nzi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie madogo bhana! Toka 2010 kuja 2020 tu tayari miaka 20 baadae!!! Daaah, kweli JF kila mtu anataka aonekane mtu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…