I see condom sikutumia course manzi alikua nurse by professional. Yeye alikua na wasiwasi juu yangu ktk ngoma, na mimi nikawa wasiwasi nae juu ya hepatitis B virus. Aliponambia amedungwa sindano ya kinga ikawa ni mwendo wa kulowekeana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
vipi ulitumia condom?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dingi muongo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23]ukawa unajikuta unachoka sana
 
Mwaka fulani hivi kulikuwa n'a wimbi la mabinti wapya kujiunga humu JF, basi mmojawapo ikatokea tukazoeana mpaka ikafikia kupeana namba za simu then tukahamia huko n'a story za hapa n'a pale zikaendelea. Humo kwenye story ndio nikajua kwamba alikuwa anasoma chulo fulani mkopa fulani hivi was Kanda ya ziwa.

Basi ikatokea bahati nikapata safari ya kwenda huo mkoa kulikuwa na mkutano. Nimefika nikaingia kwenye mkutano nikamjulisha kwamba niko mkoani kwake, àkaniuliza nilipofikia nikamwambia hoteli tuliyokuwa tunafanyia mkutano, akasema angekuja jioni kunisalimia. Kweli jioni akaja tulikuwa tumemaliza mkutano siku hiyo so tukatoka tukatembea mpaka sehemu tukakaa tukapiga n'a ndio siku ya kwanza tumeonana maana hatukuwahi kukutana kabisa wala hata kutumiana picha kabla. Baadae nikampeleka kituoni akapanda daladala akarudi zake chuoni kwao.

Kesho yake tukachat kidogo nikamwambia jioni njoo Sasa tupige story vizuri akakubali. Kweli jioni nimemaliza mkutano nikarudi hotelini kwangu baada ya muda naye akaja. Tukakaa hapo hotelini chini akala tukapiga story za kujuana kidogo nikamwambia tupande juu nimechoka kukaa akakubali basi tumefika chumbani tukapiga story àkaniuliza kama Kuna movie kwenye laptop yangu nikamwambia za kutosha tu akauliza kama niña animation ya Rango nikamwambia ipo basi nikamuwekea. Mi n'a animation mbalimbali basi akageuka kuwa lufufu.

Tumekuja kustuka saa 2 usiku n'a naona mtu Hana dalili za kuondoka basi tukaagiza chakula tukala. Baadae story zikawa kama zimeisha hivi. Sasa akaniomba kalamu n'a karatasi akaandika vitu akakata vikaratasi vidogo vidogo. Basi Baadae akaniambia nimpe chupa ya soda (tulikuwa tumekunywa soda) ndio akaniambia tucheze mchezo unaitwa "TRUTH OR DARE" waliowahi kuucheza huu mchezo watakuwa wanaujua.

To cut the story short tuliishia kulana halafu tumeanza ndio ananiuliza "What are we doing" nikamjibu tu "Nothing" akaliwa akaondoka kesho yake.

Hatukuwahi kulana tena ingawa mpaka leo tunawasiliana. Hii imetokea zaidi ya miaka 6 iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]ukawa unajikuta unachoka sana
Yaani wee acha tu, kuna j2 moja tuliduu kuanzia saa 12 jioni hadi saa 4 usiku nilikojoa mara 4 nilitoka hapo napepesuka kiaina, nafika home saa 5, saa 6 tunaingia kulala wife anarusha miguu tu nkajua anawashwa huyu, na mi sikubaligi kushindwa nkampa haki yake hadi saa 8 ndio tunalala, tulikuja kushtuka saa 1 na nusu asubuhi wakati natakiwa kuamka 11 kamili, ilibidi nijifanye naumwa funguo ya kazini ikafuatwa na boda.
Tangu apo ndio akili ikaanza nikaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MADOMO ZEGE TUPO WENGI HA HA HA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuja kufa kizembe sana,nesi unamla bila kinga?
Tambua wengi wao hawaelewagi hao,wanapigwagwa sana,kua makini ndugu yangu.
 
Umakini ni mkubwa sana, Ni kwa rehema za Mungu mpaka sasa niko salama kiafya. Kuna makorongo nimepita mpk ss huwa nashangaa nilifanikiwaje kuvuka salama.

NB: Achilia mbali magonjwa ya zinaa yasababishwayo na ngono ambayo watu wengi tunayaogopa. KUNA WATU WANA ROHO ZA UHARIBIFU KIIMANI, UKISHIRIKI NAE NI MWANZO WA MIKOSI NA LAANA. Hicho kipengele mabaharia huwa hatujali kabisa.
Utakuja kufa kizembe sana,nesi unamla bila kinga?
Tambua wengi wao hawaelewagi hao,wanapigwagwa sana,kua makini ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…