"""nikanywa chai ya maziwa alfajiri ile lakini wapi. Nikachukua uamuzi wa kutafuta bar iliyo wazi muda huo( saa7 usiku) nikaja kuipata mitaa ya mizani ambapo ni mbali na stand na nimepigwa baridi kwenye boda balaa."""

Mara alfajiri mara tukarudishwa saa 7 usiku. Okay How do I know.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siyo chai basi uandishi wako mbovu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa amezinguaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma drop[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana inakuwa sio raha tena bali ni mateso ooh
 
KAMA NI CHAI: Toa uhalisia wa niliyo simulia, yawezekana wewe ndie Grace.

UANDISHI MBOVU: Fanya kupembua pahala nilipo kosea kanuni za kiuandishi.


Utakapo maliza kufanya hayo jiulize kama ndio malengo ya rikiboy kuleta uzi huu.

NB: Mwenzio nilikua night shift kulijenga taifa. Acha kukata viuno kama kangi lugola hovyo. Utapata mimba isiyo na baba koroboi wewe.
Kama siyo chai basi uandishi wako mbovu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah wewe kama unafanya kazi usiku kucha kama mlinzi then that is non of my business.

Kuandika hujui ndio maana nikasema huenda ikawa ni chai.

Unatupa story za alfajiri mara unarukia saa 7 usiku. Sasa kwanini tusikuone unatudanganya. Kajifunze kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imetokea wakati nipo chuo..

Ilikua ijumaa usiku kama saa 2 hivi nimetulia zangu hostel nacheki movie ,maana huwa sina tabia ya kusoma weekend kama shule haijachanganya sana.. Basi bro shetani akaniingia mawazoni akaniambia nimtext dem yoyote wa darasani kwetu..

Nikaingia whatsapp nikacheki namba kwenye group la class nikatafuta namba ya manzi mkali nikamtext.
Akanijibu flesh tu (hakuwa na namba yangu lakini Dp nilikuwa nimeweka picha yangu kwahio alinijua)
Nikaweka story za uongo na kweli nikamuuliza kama amekula..
Akasema bado hajapata msosi na anaona uvivu kwenda cafe.. mimi nikamwambia nina msosi room kama anaweza aje kuchukua..
Akauliza msosi gani nikamjibu chips kuku..

Hapo room sina kitu chochote hata karanga hazikuwepo.. baada ya dk 1 akanijibu anakuja now..
Hapo sasa baharia akili ikawaka moto nikaanza kujiuliza itakuwaje.. basi nikaacha maagizo kwa roommate niliekuwa nae kwamba akija manzi flani mkalibishe flesh umwambie anisubiri hapa..

Mimi nikatoka mbio sana kwenda cafeteria nusu nivunje miguu kwenye ngazi..
Nimefika cafe nikakuta foleni ya kufa mtu kwenye chips..
Nikaenda kukata kuponi fasta.. nikaenda sehemu ya kuchomea chips sasa... nikipita kwa confidence hadi mbele kabisa nikampa yule mchoma chips kuponi... jamaa akagoma akasema nifuate mstari..
Watu niliowavuka kwenye mstari wakaanza kulalamika na wao..

Basi hapa akili ikaanza kwenda resi.. ikabidi nitumie tu sabuni ya roho a.k.a pesa.. nikampa yule muuzaji buku 2 nikamwambia anipe chipsi kuku fasta..
Akachukua ile hela na kuponi akanipa chipsi za mtu mwingine nikarudi room fasta...

Ile nafika mbele ya block ninalokaa ndio namuona yule manzi yuko anaonesha kitambulisho kwa mlinzi ili aingie ndani..

Nikapita mlango wa pembeni nikapanda ngazi kwa spidi ya Usain Bolt nikawahi room chips nikaweza kabatini nikaanza kufuta jasho maana nilikua nimesweti hatari sana..
Sekunde kadhaa mbele nasikia hodi... nikamwambia mwana tuliekuwa nae room ajiongeze atafute sehemu ya kulala usiku ule maana ndo alishapigwa exile kihivyo.. jamaa akafungasha Pc yake akaenda kwa washkaji zake..

Nilimkaribisha yule dem ndani.. alikua kavaa nguo flani suruali nyepesi zinakuwa kubwaa..na kinguo chepesi kwa juu.. hatukuwa na mazoea nae zaidi ya salamu tu... aliingia ndani nikajitoa ufahamu nikamuhug kama sek 30 ndio akakaa kwenye kitu..

Nikamtolea chips kuku yake akala huku tunapiga story.. akamaliza nikamnawisha..

Sasa hapo baharia nnawaza naanzaje kuomba tunda maana manzi wenyewe hatuna mazoea na nna uhakuka 100% yuko kwenye relationship..

Basi akaniuliza kama nna movie nimeuwekee kwenye flash aangalie weekend hio.. nikamwambia ninazo kamaa zote ..nikamuomba na kampani tuangalie moja then ataondoka na nyingine..

Nikamuuliza anapenda movie gani? Akasema isiwe na ngumi wala watu kufa kufa.. anataka movie romantic.. nikasema sasa hapa mtoto kajipeleka kibra mwenyewe..

Nikamtafutia movie moja ya kikorea (single movie ) inaitwa Frozen flower... kama ukishaiona hii movie utaelewa nazungumzia nini.. maana basically hii movie ni kama porn tu..

Movie ikaanza vizuri tunaangalia wote tena tukatumia earphone ili tuwe close...

Punde si punde naona manzi anaanza kuona aibu kwa yanayoendelea mule kwenye movie.. hapo mimi mashine iko 4G naona anaanza kuhangaika hangaika mara agekuke kushoto mara kulia..

Nikapitisha mkono mgongoni kwake nikawa kama namvutia kwangu akageuka kuniangalia nikampiga kiss moja.. nikamvutia kwangu akasema yeye hataki..
Basi nikamuacha tukaendelea kucheki movie.. baada ya dk 20 hivi nikamvuta tena this time nikampa mdomo naona anapokea flesh tu nikala denda.. nikaanza kushika huku na huku mtoto akalegea kabisa.. nikamtoa kwenye meza hadi kitandani.. vua nguo zote.. kwakua tulikua tunasoma nae darasa moja ilibidi nikamie ile show maana nikiharibu inaweza kuwa aibu ya mwaka..

Basi nilizama chumvini kama nusu saa hivi mtoto kidogo achizike.. nikapiga mashine usiku kucha hadi asubuhi... mida kama ya saa mbili asubuhi mtoto akatoka akaenda kwenye block lao..

Kimbembe kikaja mwezi mmoja mbele alioosema haoni siku zake... ilikua ni balaaa..
 
achana na mafala, walete zao tuzisome zisizo chai
 
Mkuu Kama napata idea ya chuo unachosoma hivi... Kwa mbaliiii!!![emoji3][emoji3]

"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…