Chai jamani, yaani kirahisi rahisi hivyo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nachungulia tuu jamani, hapa unaweza paramia mtu kabisaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atare
 
***maeee [emoji28][emoji28][emoji28] aisee
 
Huko IG wanatumia user name gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hii sasa ni Live Updates. Maana asubuhi nilitoka kwenda kipata supu pale Nyuki, nikapokea msg ya bwa shemeji ambaye ndo anamuoa Pendo Jumamosi. Hakua na stori anaulizia tu advance ya mpiga picha tunatakiwa kulipa sh ngapi maana mm ndo nipo kwenye hoyo kamati.

Nikamjibu then nikamwambia anatakiwa arelax so baadae tuonane tupate moja moto moja baridi, kasema poa. So mida ya saa tisa hii naonana na mshkaji mitaa ya Sinza.

Mimi nimeshafika, ni baa moja iko na mandhari poa na private, then ina vyumba vya kulala wenyeji kwa ndani. Sasa shetani kanipa Idea hapa, maana mlango wa kuingia vyumbani ni tofauti na huku garden tutakako kaa na mshikaji, sasa akili inanikataza kabisa kumuita Pendo, ila mwili sasa unanilazimisha. Dah. Ngoja tuone itakavyokua maana hii vita ya mwili na akili sijui nani atashinda.

Ila hapana. Naeza vunja ndoa za watu, bora kulekule home, au sio waungwana?. Hata kama tunakula mtu wake tusimvunjie heshima kihivyo,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Under20 shida tupu, hawako romantic yaani mpaka force, wanapenda sana mkunyenge ila hujifanya wamerizika ili wasionekane malaya..hovyoooo[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…