[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naiona inavyoyumba na kunesanesa.... Halafuuuu sikumaanisha kwamba wewe ni ngariba eti

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi sikumaanisha mimi ngariba, sina uwezo wa ngariba kuvumilia mkojo
 
Pendo huyu mwenye send off feb 15?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KigaKoyo, Jamani eeh.... halmashauri ya kichwa changu imeamua Pendo aitwe.

Najua hii sasa sio kula kimasihara so sitaweka details za kitakachoendelea ndani ya chumba tinted ambacho ukiwa ndani unaona watu walioko garden, kiufupi nimeshachukua room na nimehakikisha napata ambacho tutakua tunamuona mhusika, tayari Pendo amesema anajiandaa anakuja maana hata hivyo anajisikia guilty kufanyia home na pia kesho parents zake wanakuja na atakua bize sana so today will be the last time kufanya na mm maana akiolewa hataki tena (wanasemaga tu).

Kilichofanya nimuite Pendo ni huyu jamaa. Yaani ni hana heshima. Namna anavyonisimulia issue za wanawake zake yaani nimejikuta naumia moyoni. Ofcourse, mwanaume utakua na mchepuko au michepuko, ila unatakiwa ufanye juu chini mkeo asihisi unamvunjia heshima. Kama mm tu, nikiwa na wife ni full kumdekeza anajiona the luckiest woman alive, ila jamaa yangu sasa dah, amecomfirm kabisa kuwa Pendo anamuoa tu sababu ni mwanamke wife material, yaani mpole, anaheshima na anaweza lea familia ila hana hata chembe ya love kwake.

Yaani ndani ya nusu saa tu tangu afike hapa kashanifungulia mafaili ya kufa mtu, nikawaza nikasema ukute hata washkaji wake wengine anawafungukia zaidi ya alichoniambia mm, huenda hata mambo ya ndani ya Pendo anasemaga... nikamuuliza tu kizushi, "vipi lakini si unainjoi ukiwa nae uwanjani" siamini jamaa alivyotiririka, oooh mara mvivu, anachoka mapema ila akacomfirm kuwa Pendo ana K tamu bt ndo hivyo jamaa anapenda mperampera.

Nikaona huyu bazazi hata ndoa yake ikiahirishwa poa tu, itakua nimemsaidia Pendo, maana naona kabisa aina ya maisha wanayoenda kuishi. Alafu anatamaa na haangalii wakumla, hapa kashachukua namba ya bar maid wa hapa. Pia hata tamaa ya vitu ambavyo hajafikia level yake. Ashaanza kutamani ndinga nnayoendesha, namwambia mbona unagari nzuri tu, anasema haimpi heshima town. Kiufupi amejustify matamanio yangu.

Kila nikiwaza the excitement ntakayopata ,na namna Pendo alivyo duh. Najikuta jeshi linasimama mguu sawa.

Like i said earlier, its no longer kula kimasihara, this is totally a deliberate and well thought-out act of sin. And thus, will not dwell into the details. But men, if you cheat, don't ever make it easy for your girl to find out.

My wife anasemaga she knows most men cheat, so the idea of me having a mistress doesnt bother her as long as she knows (thinks) its not true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…