kuna binti amesema wote tuliokula kimasihara tayari tulishapangwa kuliwa sema tulikua hatujui...

amenikumbusha kisa cha mwaka 2015 binti mmoja ambae nilikuwa na mazoea nae sana ila nilikuwa siwazi kumla tokana na heshima tuliowekeana ghafla kuna week shetani aliingia katika mawasiliano yetu utani utani binti akasema nina hamu nikamwambia njoo lodge flani nikutoe hamu kweli mtu kaja nikala mzigo...baada ya miaka kupita nilikuja muuliza akasema alikuwa ananitamani sema nilikuwa sioni akaishia niita mzembe na kusema nimepishana sana na hizo bahati maana sijui ku read sign...nikajisemea acha nipoteze tu sign maana unaweza ukadhani imo kumbe hamna kitu alafu hamna kitu ndio imo....wanawake wenye ujasiri wa kusema hisia zengu kudos kwenu
 
Nenda katawaze watoto wako huko.
Unatukera kutujazia Uzi pendwa kwa comment zako zenye uharo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unateseka mkuu?!

Hebu toa na wewe ushahidi wa kula kimasihara basi nisafishe macho!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nachungulia tuu jamani, hapa unaweza paramia mtu kabisaa
Nataman wakati unasoma niwe karibu yako.ili nipate story ya masihara
 
Wee jamaaa huingii mbinguni aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe jamaa mafuta taa bhasi ubarikiwe mkuu nadhan after some times letter akili itamkaa vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi boti Hadi tigo ukapakua.... Aisee kasheshe kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…