HATIMAYE NIMETOKA KIFUNGONI.

Yani mods sisi kuupambania huu uzi wenyewe wakaamua watulambishe ban

Sema kiroho safi licha ya comments zaidi ya 4000 kufutwa tumeweza kufikisha 10k+

Wengi bado wapo kifungoni mods acheni hao raia aisee kwani mnafaidika na nini kupiga ban za ajabu?

Tuendeleze harakati wakuu
 
Kama unaona zinazoelezwa ni chai tuletee kisa chako, huu uzi umekuwa catalyst kwa wengi wetu...

Huu uzi mabaharia tunauheshimu sana, msituvurugie.
 
Chief nusu saa unaona kubwa sana ... kuna mamanzi wagum kukojoa inakubidi uzame hata dk 45.. unatoka hadi ulimi unakaribia kuchubuka na uso umelowaaa..
Ahahahahaha..
Mm kuna siku mpaka ikanibid nikapige mswaki maana nadhan ilizid 30 mints kias kwamba kinywa kilibadil hali ya hewa..ilikua inanukia vizur thgh.
Teh teh teh.
Am sorry thgh.

Huyu bwana hajakjtana na matukio ya kutisha huyu achana nae apate pate ujuz hum..he will thank u guys later
 
Yote ni mitaro tu uwe ni wa me au ke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe vifungo vilituhusu wengi kisa kutetea uzi. Mods wivu na uovu tu uliwazidi

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We uezaliwa 1989 unajua nini?
Tangu uzaliwe hujahama mkoa
Wilaya yenyewe uijuayo ni moja
Elimu umeishia kidato cha nne
Ukaambulia miswaki na fagio
For Four Forms Fight For Food
Hujui lolote kaa pembeni lofa

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikulaumu hii jamii forum tunachukuliana poa sababu hatujuani na uzuri hatuweki vyeti humu ,sikulaumu sana uwezo wako wa kufikiria umefikia hapo.

Haya ila nipo na wao jielewa tuna discuss kuhusu IP/MPLS,L2VPN,L3VPN,SDN na future of network Engineer cha msingi acha tuendelee kuchukuliana poa kwani hii ni JF na bahati nzuri mimi sifanani na ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…