Habari za wakati huu wana JF

HII STORY NI YA KIPEKEE KABISA

si dhani kama kuna MTU yashawahi kumkuta haya ya kwangu .

Mwaka jana wakati nahamia hapa nilipo panga ni apartment flani hivi amazing zilikuwa tatu na zote zinafanana kwa kila kitu Mimi yangu ilikuwa ya katikati ya kwanza wanakaa WADADA WAWILI ya mwisho baharia mmoja .

Niliwakuta hao wenyeji wangu na kunipokea vizuri sana yule baharia alikuwa MTU wa safari safari sana kutokana na kazi zake so hakuwa MTU wa kukaa pale sana .
WADADA WAWILI ni wafanya biashara wanaduka kubwa tu huko mjini posta walikuwa si NDUGU lkn ni watu wa mkoa mmoja kabila kijiji kimoja walikuja wote kupambana na maisha mjini
Wale WADADA ni kila siku isipokuwa juma Pili tu wanatoka SAA 2 asubuhi wanaludi SAA 2 usiku jumapili ni wanakuwa off wanafanya Fanya usafi na mambo mengine jioni wanatoka kwenda viwanja walikuwa na kaa IST chao
Walijenga tabia sijui mazoea ya kila wakiludi wananiletea chakula na jumapili ntapata huduma zote kupikiwa na kufuliwa nguo kiufupi kila jumapili nikawa nimezoea sasa ile tabia na tukazoeana sana na wale WADADA WAWILI

KULA TUNDA/MATUNDA KIMASIHARA


Kama kawaida jumapili baada ya kunifulia na kupika wote kwa pamoja waliniomba jioni tutoke wote hata siku moja hawakuwahi kutoka na Mimi ila Leo walikuwa wanaenda kwa sherehe harusi ya MTU WAO wa kalibu wakaniomba tuongozane Mimi nikakubali ilivyofika jioni nikajiandaa mpk SAA 2 usiku tokatoka na kile kii IST chao WADADA WAWILI walipendeza sana walivutia na kunukia pia story za hapa na pale tukafika ukumbini ile sherehe ilikuwa ya kifahari sana ya MTU mmoja mzito tu ndio alikuwa ana OA anaye olewa ndio RFK na WADADA WAWILI
Tukachukua nafasi yetu nyuma nyuma kule walipiga sana wine bia yaaani kila kitu mm situmii kilevi
Walikuwa na furaha sana Mara waniegemee kila mmoja kwa wakati wake Mara hivi Mara vile kucheza mziki viuno yaani balaa tu ndio nikajua upande WAO wa Pili ni WADADA WAWILI wanaopenda kujiachia sana wapo huru sana

Sherehe ikaisha tukawa tunaludi nikawa nawaendesha story za wakati wa kuludi zilibadilika sana ni mambo ya mapenzi tu sijui WIFI yetu yupo wapi hatujawahi kumuuona na Mimi mashemeji zangu wako wapi sijawahi kuwaona story nikawa zile mpk tunafika nyumbani

Walilewa WADADA WAWILI nikawapa balance ya kutembea nao nikawashika viuno nikawa nawapeleka chumbani kwao nilivyofika mlango kwao nikawa achia na kutaka kusepa kwenda chumbani kwangu wakanizuia na kunitaka niwafungulie mlango kabisa na kuwaingiza ndani sikuona ajabu nikafanya wanachotaka kufika ndani wakajitupa KITANDANI wako hoi kabisa nikawaambia usiku mwema naona mmoja ananyanyuka na kuni kombatia na kiss moja ya hatari naye yule mwingine alivyoona vile naye akanyanyuka na kufanya kama alivyofanya mwenzake lkn yeye alining'ang'ania nikataka kujitoa akanivutia KITANDANI nikafanikiwa kujitoa nikawa namwaangalia yule mwingine aliye simama akanifata na kuanza tena uchokozi na yule mwingine naye akasimama wakaanza nishambulia kwa kasi mwanzo nilijua ni pombe kilevi lkn nikaona hawa hawajalewa sana adi kushundwa kujitambua ikabidi niwape ushirikiano na wanachotaka

ULE USIKU SITAKUJA KUHUSAHAU

Nikajikuta nafanya NAO mapenzi WADADA WAWILI

Nilijikuta kushtuka SAA 7 mchana nipo chumbani kwa WADADA WAWILI sina nguvu nimechoka hatari
Hata kunyanyuka ikawatabu kidogo
WADADA WAWILI hawakuwepo nikakumbuka ule usiku na raha nilizopata kwa WADADA WAWILI nikawa natabasamu sana nilijivuta vuta na kwenda chumbani kwangu na kutafuta chochote kitu cha kula nikakaanga mayai na mkate pale kidogo ikawa afadhali mpk SAA 4 usiku WADADA WAWILI hawajaludi na sio kawaida yao siku mbili wakawa wanaludi usiku sana na kunikwepa siku ya tatu asubuhi ndio wakaja nigongea na kutaka maongezi na Mimi walijutia na samahani samahani nyingi sijui pombe sijui nini sababu kibao
Wakati mm baharia nataka game ya maludiano na WADADA WAWILI basi nilikubali kuwasamehe na ukaka na udada ukazidi sana wakaja kuhama baada ya kujenga nyumba yao WADADA WAWILI
WADADA WAWILI
WADADA WAWILI

Sijataja majina wala location yoyote ili kulinda heshima ya WADADA WAWILI
.asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushobokea demu huwa haitakiwi ,wewe mute atajishobokeza kwako ,haya mambo yapo kama umeme unaozalishwa katika electromagnetic induction from Lenzis Law, kwa aliyepitia physics atanielewa.ukipeleka sumaku kwa coil inazalisha umeme ambao unatoa usumaku unao oppose huo motion wa sumaku and vice versa
 
Umeanza vizuri kinyama ila mwisho umezingua. Haya haraka sana malizia kura kimasihara.
 
Ukiendelea niite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulimla basi tambua ulibaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapili ulienda kanisani kufanya nn mkuu
 
MY STORY

Sijui kama hii ni kula kimasihara au la!

Nikiwa kidato cha sita shule fulani ya bweni ya wavulana pekee huko mkoani niliwahi kuwa na mwana dogo wa kidato cha tatu, kiumri tunakaribiana sema tu yeye alichelewa kuanza shule. Kiufupi alikuwa amepevuka kiakili.

Dogo alikuwa muongeaji na mcheshi sana na marafiki zake wengi walikuwa wa vidato vya juu. Muda mwingi alikuwa anashinda kwenye chumba chetu (ingawa tuliishi bweni moja, kidato cha kwanza mpaka cha nne waliishi kwenye bwalo (hall) na kidato cha tano na sita kwenye vyumba (rooms).

Kuna siku tukiwa tunapiga story na dogo akaniambia kuna mademu wawili kutoka maeneo ya kwao wanakuja kesho, akasema "bro kuna demu wangu kesho anakuja kutoka mkoa mwingine lakini yuko na rafiki yake, sasa kama uko tayari twende ukanipe company kwa yule mwenzake kwa kuwa itanigharimu kwenye kuwahudumia kama nitakuwa peke yangu". Akaniambia kuwa yule mwengine (ambaye ni rafiki wa demu wake) tuseme tumpe jina D kitambo alikuwa anawasiliana na dogo mwingine tu hapo shuleni kwa njia ya simu anaitwa Henry (hawakuwahi kuonana) mpaka wakapanga kuonana siku ambayo watakuja wote.

Siku ambayo walipanga kuonana...yaani yule dogo na demu wake pia Henry na D...ikafahamika kuwa yule mwanafunzi hakuwa vizuri kifedha kwa kuwa show ilipangwa kufanyika katikati ya mji kwa siku mbili na ni mbali kidogo na shule. Ndio maana dogo akaja kunitonya mimi nijifanye kuwa ninaitwa Henry.

Dogo nikamwambia fresh ukizingatia kipindi hicho nina ugwadu wa kufa mtu (mliosoma boarding hii hali mnaijua) halafu kama jana yake tu kwenye account ya bank nilitumiwa pesa ya kujikimu. Tukaanza maandalizi kwa ajili ya siku ya kesho yake siku hiyo hiyo.

Nakumbuka kesho yake ilikuwa ni jumamosi asubuhi na mapema baada ya kunywa uji tukanza safari...ni takribani mwendo wa dakika 30 tu kwa gari mpaka town. Tulibeba vibegi vyetu vya nguo mbili tatu za kubadilisha. Tukapitia sehemu nikaingia ATM kutoa pesa kiasi za kututosha, dogo pia akafanya hivyo vilevile.

Tukafika stendi kuwasubiri hao madem, baada ya muda mfupi kupita wale madem waliwasili. Kwa kuwa safari yao waliianza saa 12 asubuhi. Demu wa dogo alikuwa mweusi kiasi, mrefu wastani na mwili wa kati. Yule D alikuwa mfupi kwangu, mnene kiaina na mweupe...na wote walikuwa wa kawaida tu. Tulikumbatiana hapo kwa bashasha nyingi (huku yule D akinibusu akisema nilikuwa na hamu sana ya kukuona Henry wangu) kisha tukaanza safari ya kwenda lodge.

Dogo alikuwa mzoefu wa hayo maeneo, sio mbali sana na stendi tukawa tumefika pale lodge. Tulilipia rooms mbili baada ya kukagua na kuridhika navyo. Wale mademu tuliwaacha room wakioga halafu mimi na dogo tukaja kukaa reception, kulikuwa na meza kama mbili fupi pamoja na makochi. Pia ilikuwa ni kama grocery ya ndani hivi.

Tukaanza kupanga mipango ya chakula cha mchana, jioni, na story zingine huku tukigonga beer. Hapa ndio kipindi nimeanza kuwa mkongwe wa kunywa beer na dogo pia alikuwa mzoefu tu. Mara akaja dada mmoja kutoka jikoni, huyu alikuwa ni mpishi wa pale lodge na alikuwa anapika kwa order...kwa hiyo tulimlipa atuandalie chakula cha mchana na jioni. Baadae wale madem wakaja kutujoin na wao wakaanza kugonga pombe kama kawaida... tumelaliana pale kwenye makochi kila mtu na wake tukifurahia, full kushikana shikana mpaka receptionist (alikuwa demu) nahisi akaanza kupata wivu...

ITAENDELEA....
 
Nimecheka sana, kwamba ukikoroga mwandiko na pia dawa hawezi ipata popote hahahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unasema sababu ya Juma p maharage kupigwa ban ni kuleta ile story ya kula kichaa!? Duh! Kumbe mtu anaweza kula ban kwa kuleta tu story! Im speechless

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huyo kichaa hakuwa raia wa kawaida maana jamaa anadai alifuatwa PM na watu wasiojulikana wakampiga mkwara so huenda yule manzi alikuwa usalama or mpelelezi ndo maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale ni balaa, na walinzi washajua basi wanapiga ela balaa kwa wageni, ila wakishakuzoea unawapa kidogo yanaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…