😋😋😋😋😋😋
 
Huu uzi wako ndo ulioleta pages za kutosha ndani ya jamii foramu ama kweli kama ni biashara umewateka wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...😋😞😞
 
Asubuhi moja miaka ya karibuni,
Nilishtuka saa 11.30 kwa honi iliyokuwa inapigwa getini, nadhani ilikuwa ni school bus iliyofuata mwanafunzi hapa ninapoishi ( kuna nyumba zaidi ya kumi ndani ya uzio mmoja). Nilipoamka ndipo nikagundua kuna bahasha niliiacha nje(karatasi za kazi zangu), nilipokuwa navua viatu jana niliziweka juu ya ukuta wa kibaraza na nikazisahau hapo.
Nikaamua nitoke ili nizichukue hizo karatasi, ile nafungua mlango tu napishana na dada mmoja ambaye ni mpangaji mwenzangu ametoka kumsindikiza mtoto wake kupanda school bus nje ya geti. Huwa tunasalimiana kila tunapoonana na kujuliana hali. (Sitaeleza umbile lake na jinsi alivyokuwa) ila ni mzuri kwa viwango vyangu. Akanisalimu na kuniuliza mbona mapema hivyo jirani, nikamjibu nimefuata hizi karatasi nilizisahau hapo nje. Akiwa anaanza kupiga hatua kuelekea kwake nikamwambia ‘’jirani njoo tumalizie usingizi’’, akaniangalia kisha akaniambia ‘’unataka kufa wewe, kama unaweza acha mlango wazi na uzime taa ya barazani ninarudi’’. Akaondoka kuelekea kwake, nikarudi ndani kwangu nikihisi kutetemeka na kutoamini nilichokisema.
Dakika tano baadaye mlango unafunguliwa na jirani akaingia, hakuna hata aliyemuuliza mwenzake tulipitiliza chumbani na kuanza kula tunda adhimu.
Nilikula mzigo mpaka saa tatu asubuhi baada ya mazingira kutulia na wafanyakazi kuwa wameshaenda kazini, jirani akatoka kurudi kwake.
Huu ukawa mchezo wetu pendwa katikati ya wiki akimsindikiza mtoto kwenda getini mimi naacha mlango wazi, anaingia nakula tunda kisha anarudi kwake.
Heshimu wanawake na usisifie uaminifu wa mkeo kwa kuwa hujakamata meseji za mapenzi kwenye simu yake, maana huyu dada alikuwa na mume na jamaa alikuwa anatoka mapema zaidi. Haya mapenzi hayakuwa na kupigiana simu wala kuandikiana meseji. Nikisikia honi nafungua mlango, bibie anaingia nakula mzigo.

NIMESHATUBU HII DHAMBI.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo kimasikhara sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…