Kweli jamii forum kiboko hakuna hata mmoja aliyepiga show mbovu kila mtu anatamba khaaaaaahh hadi wanaume wa kinondoni sasa nashindwa kuelewa hapa ile survey ya kwamba wanaume wa kinondoni sio rijali kumbe wanasingiziwa maana wachangiaji wengi wanaishi Dar
Pili kumbe dunia ya sasa wanawake wamekuwa very cheap sana maana sijaona mahali mwanamke kachangia kaliwa kimasiara sijaona mm
Inasikitisha Sana siku za usoni kutakuwa hakuna ndoa maana waolewaji hakuna sio kwa shuhuda hizi zinasikitisha mno
Anyway ngoja mm niendelee na research yangu mwishowe nitakuja na feedback according to this generation kupitia huu uzi wa Riki boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Rest easy dogo janja
 
Una hatari wewe binti [emoji2][emoji2]; choir master alipata bahati.
Nishazeeka mimi ila maisha yamenipa experience ya kutosha. [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la unataka kufa lilikuwa la muhimu.
 
baada ya kumpa tofali hujawah kurudi kwa mchizi??
kama ulirud manz mlionana??
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unapiga bao 12, “Huwezi” ( hahahaha eti yope’s style)
 

Hii imequalify kuitwa kula tunda kimasihara...jombaa wewe ni hatar...ctaki ujirani na ww...maanake naweza kupewa kesi ya kumyofoa mtu roho...😂😂😂😂😂😂
 
Sasa wewe ndo baharia wa ukweli...mwaka 1975.....kama ungekuwa yule mwamba wa tako 23 bao 23 nadhani ungekuwa na bao kama 1000+😂😂😂😂😂....bao nane..🙌🙌.we kiboko dogo wa miaka hiyooo..👊👊👊👊👊🍾🍾🍺🍻🍻.cheerssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…