Simulizi murua isiyochosha. Hongera kwa uandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usisahau kuleta na kisa hicho cha SUE PATERSON pia.
Napendezewa na usimuliaji wako sana.
 
 
Uandishi mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi story ya mzee wa Lindi imeendelezwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo kwenye uzi link hii


James Jason
 
Leo namimi nitoe machache kwenye huu uzi.

2011 nikiwa kwa jamaa yangu mmoja hapa mjini kwa Makonda alikuja dada yake na beki 3, sasa jamaa yangu mwenyewe ni mtu mzima lakini hanaga noma ni mtu wa utani sana, kuna jamaa mwingine pia alikua akikaa hapo, jioni moja wakati tunakula wale jamaa wawili wakaanza kuniambia we unaweza kula huo mzigo?
Nikasema inawezekana wakabisha sana, baada ya msosi nikamuita demu nikamwambia usiku uje room basi demu akasema muda ukifika nikamuamshe room kwao anapolala na mdogo wake ambaye ni beki 3 alokuja kumsalimia.

Msela nikaona kama utani ila saa 4 usiku nikaenda kugonga mlango demu si akatoka na kanga moja, nikamshika mkono mpaka room nilipokuwa nalala, nikala mzigo sana, demu akalala fofofooo mpaka asubuhi.

Sasa ili kuwathibishia jamaa kwamba nilikula mzigo ilibidi demu nimpige picha kwa ushahidi, maana mwanzo hawakuwahi kuniona na demu wakajua mimi joka la kibisa wakawa wananitania sana.
Kesho yake jioni nikawapa camera waangalie picha za mtoto kanona.

Hapo nilikula tunda kimasihara bila kutongoza wala kuwa na mpango huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho ngumu sana. Rafiki yako kafariki, maiti ipo kwenye gari na bado unatembea na ndugu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gambe ndo ilikuwa inafanya kazi mkuu...... Na kwa taarifa yako jamaa alimsaidia dada kurefresh mind sana vinginevyo angelia hadi kuugua homa. Hapa msiba uliendelea akiwa mwepesi kabisa.
 
Mkuu hii funga kazi... James Jason... Wale wenzetu wakipita hapa lazima wawe wekundu Hadi macho. Vipi Hali ya pm huko?? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siowi, hata nikija oa si leo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesoma KIbaha Boys?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…