haya sasa bao 8 hizoo..[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last weekend kulikuwa na show ya msanii flani kwenye, nipo zangu kwenye dancing floor, nashikwa bega na dada mmoja shombeshombe tunafahamiana, kipindi cha nyuma nilikuwa naenda sana ofisini kwao ila sikuwa na mazoea nae maana alikuwa ni mtu wa kunata sana ila wengine tulikuwa tunapiga story na kutaniana.

Kweli bwana tulicheza sana, baada ya muda sikuweza kujua amekaa wapi nikazama instagram nikatafuta jina lake nikampata, nikam DM kuwa yupo wapi, nakuja kupata reply yake kuwa kaingia club wakati mzee baba nisharudi home ikabidi mzee mzima nirudi tena kumcheck. Mida hiyo ishafika sa 8 usiku. Kweli mida ya 11 demu anasema tuondoke amechoka na mm nikalale kwake.

Demu yupo mbele na ndinga yake mm nyuma hadi kwa demu, muda wote huo najua nina condom kwenye gari. Demu anaishi ushuani kumbe, mlinzi kafungua gate zama ndani fikia bafuni kuoga nikawa nawaza niuze mechi kwa kukosa condom au nikomae mzee baba, ikabidi nipige show ya kibabe kwa kujipa matumaini.

Nakuja kutoka kwake sa 5 asubuh. Ikabidi jioni nimtafute dem nimshawishi kupima na muda huo nilikuwa na vipimo vya ngoma, demu hakuwa na wasiwasi kupima yupo fresh nikapiga tena mashina. Sahizi demu anakuja kwa kasi ya Standard Gauge maana si kwa simu hizo na text hadi naanza kupata wasiwasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaahh, nasikia magovi wana uwezo huo kupiga bao nyingi wakiaminiwa na mademu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cna uhakika sana...ila mkono wa sweta ni uchafu ....kusema kweli wanawake wanakazi sana....
Ahahaahhah, aswaaaa, nlikua na jamaa yngu miaka ya 2000, alikua govi.....sijui mpk leo analoo??!alimuoa mtoto wa kishua na govi lakeee......ebanaeee alikua anahadithia anapiga bao 7.....mtoto alitoroka kwaooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kumbuka hiyo ni sa 11 alfajiri na wote tushapiga gambe, ila kilichonishtua wakati napiga game demu akaniuliza *uogopi?* Hilo swali liliniumiza sana kichwa, wakati tunapima nilimuuliza demu akajibu kuwa yy aliniamini ndio maana wala hakuwa na wasiwasi juu ya afya yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kimasihara haikufai mkuu..!

[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…