Hata kubet mieleka sio rahisi hivyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa snich sana. Anapenda kutag mods kitu kidogo. Simpendi hata

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ndio wale darasani walikua wanakaa dawati la mbele kabisa halafu mlangoni.

Zilikua [emoji328] za walimu. Kitu kidogo tu kikitokea unaona mwalimu ameshakuja unabaki unajiuliza imekuaje ticha kajua?
Kumbe ni kijitu Kama jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BANGI ILIVYOFANYA NIKALA TUNDA KIMASIHARA.
Kuna siku nilikua nimetoka kwenye mihangaiko yangu nikapitia kwa muuza nikachukua mzigo wangu huyooo taratibu naelekea nyumbani nikaoge,Nile kisha niwashe joint langu nipate wasaa mzuri wa kuiwaza siku yangu zima jinsi ilivyoenda.

Wakati nakaribia nyumbani nikasikia kishindo barabarani, nikaenda kutazama nakuta ni mshkaji bodaboda Tena huwaga namtumia kwenye mishe zangu. Tukampakia kwenye gari fasta baada ya kufuata taratibu zoote tukampeleka kituo cha polisi cha karibu kwa ajili ya utaratibu wa PF_3.

MAZINGIRA YA TUNDA YANAANZIA HAPA.
Tulivyofika pale mapokezi polisi tukaanza kujiandikisha, polisi aliekua anatuhoji alikua wa kiume ila kwa pembeni kalisimama ka demu kazuri karefu, keupeeee kana figa flani hivi kamevaa uniforms za traffic.

Sasa katika ile pilika pilika ya kujieleza pale nikawa nimeingiza mkono mfukoni(sikumbuki lengo lilikua kuchukua nini) si nikajikuta nimezitoa zile kete za Bangi pale kaunta.

Baada ya kuzitoa ndo naangalia nikastuka nikazirudisha mfukoni fastaaaa ila nikawa nimeshachelewa, yule traffic alikua ameshaziona.

Nakumbuka alinikazia macho ile kibabe Sasa na mie kuona vile nikaona hapa ni kukaza tu, Basi na mie nikamtazama kwenye mboni kabisa halafu nikawa sipepesi macho yangu, nimemtaza halafu nimekaza kichizi.

Ubaya yule afande wa kiume anaeandika maelezo akawa ananihoji(yeye hakuziona zile kete) nikawa namjibu huku nimekakazia macho kale ka traffic kazuri.
Alipoona namjibu huku macho yangu yakiwa kwa kale ka traffic akamaindi.

Akaanza kufoka, Kama mnavyowajua polisi Tena uingie anga zao, akanifokea sana Sasa mie nikawa na wasi wasi naweza mjibu mbovu haka ka traffic kakaamua kunichoma, hivyo mtu mzima nikafokewa Kama mtoto nikakausha tu.(happy nafokewa kenyewe kanacheka hakana mbavu mpaka yule askari wa kiume akakamaind na kenyewe)

Baada ya dk kadhaa utulivu utarudi tukaandikiwa kila kitu mambo yakaenda poa kabisa.
Yaani ile nakanyaga mlango wa polisi natoka hata siamini nahisi Kama nitaitwa ila ikawa kimya tukasepa.

Baada ya Kama siku nne nikaona namba mpya, kupokea sauti ya kike, kuuliza uliza maswali nikajua ndo kale ka traffic.
Kakaulizia hali ya mgonjwa nikakaambia Yuko poa tu, Kisha kakaniaga,

Baada ya dk Kama 10 hivi ikaingia text.
TP_"yaani hata hufananii kabisa"
ME_(Nikajibu kwa emoji [emoji23]) TP_"ntakuja kukukamata"
ME_ uje baadae kidogo now nipo mishe.

Mida ya jioni nikafika mitaa ya nyumbani, nikanunua mahitaji machache Kisha nikajisogeza ghetto halafu nikamtest afande wangu.
ME: mtuhumiwa nimeshafika nyumbani, njoo unikamate.

Zikapita Kama dk 40 kimyaaa Kisha text ikaingia.
TP: difenda haina mafuta.
ME: kamata Bajaj, rushwa yake iwe kukuleta huku.
TP:[emoji23][emoji23][emoji23].

Zikapita dk tano za ukimya nikaona ntakua mjinga Kama ntamuacha mtoto mzuri vile, cheupe. Nikampagia simu, akapokea alikua kwenye makelele(dizain Kama kituo cha daladala)
Nikampanga aje kiutani utani ananiambia anakuja.

Nusu saa ameshafiks kituoni nikamstua bodaboda namjua amlete, mara baada ya dk mbili naona embe dodo linashuka kwenye bodaboda.

Nilimkaribisha stori za hapa na pale yeye muda wote anasema halafu hufananii kabisa kuvuta hayo makitu mie nacheka tu.

Baada ya muda mara stori hizi mara zile tukajikuta tupo zero distance, michezo ya hapa na pale nikamtafuna pale pale kwenye Kochi, baada ya happy tukawa tunaangalia muvi flani hivi mie nikatoka bila kuaga nikaenda nje nikawasha joint yangu, ile naanza tu huyu hapa mlangoni akaja akakaa pembeni yangu.

Stimu zilivyokuwa zinapanda yaani kila stori nikimsimulia anafurahi hatari yaani akawa anacheka check tu./alionja kidooogo.

Kutoka hapo tukaenda kupiga la pili, mazee ilikua shida hatari,
Wadau mnajua mtu akishatumia mmea then akaingia kunako viwanja vile vya sita kwa sita, nilimtafuna yule mtoto akawa anapiga kelele kwa nguvu sanaa utadhani sio askari. Yaani ukila ile kitu halafu ukaingia kwenye mwechi unakua Kama Messi mbele ya golikipa dizaini ya Oliver Khann, yaani unapiga magoli, kipa anaishia kukukaba shingo tu kwa utamu.

Tulianzisha mahusiano kwa miaka 2. Ila kwa Sasa kila mtu ana hamsini zake thou kiporo as usual.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimasihara!! Miezi miwili iliyopita nilimla ndugu wa demu niliezaa nae...kuna mmbeya aliona mchezo hapa nawaza nitaficha wapi sura yangu pindi mama mtoto wangu akijua ikiwa nae bado namla.
Na bahati mbaya habari zimeanza kuvuja kitaa.
 
Hahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah!! yani baharia ukaziweka mezani kabisaaa!!!!
dah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai kwako mkuu kwa kua hujapitia hayo,
Watu tushafanya umafia sana kwa hao viumbe wa kike,
Na nikikuambia nshawahi nyonywa dushe na boss mchana kweupe dukani tunasubiri wateja, nmesimama naangalia wateja huko nje nyuma ya kabati dushe lachezewa nayo utasema chai na haikua mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa malizia basi na threesome mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…