Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kuna mshkaji mmoja wakati tupo kwenye paper O level wakati wa kusachiwa alijikuta akiweka ndomu dawatini,ukawa msala mkubwa sana na hata ile paper hakutoboa.
Tafuta story ya juma p maharage kwny 4000+ ya kumla chizi kimasiharamy
Hii ndio best story kwangu Kati ya zote nilizopitia. Hongera kaka
mbona kuna mwamba humu kala manzi na alikuwa na safari zake za mwezini..Bado cjaona alie kula tunda akakutana na bleed
Niambiwaga huogopi jongooo alishindwa kupanda mtungi yaani kila nikijitahidi kuvuta hisia haaa wapi basi tukaahirisha gemuUache hiyo tabia sasa...fanya uwe unatembe na silaha...mimi nikiwa naenda sehemu isiyo eleweka eleweka huwa natembea nizo utadhani ni kitambulisho..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahah hakikaAchana naye nastress za maisha , anaishi kwa shemeji yake ....na analala siting room kwa hiyo kila kitu kwake chai
Sent using Jamii Forums mobile app
STORY MOJA AMAZING...Naona vijana mnakumbushana,ngoja na mie nikumbuke visa kidogokidogo tulivyopewa na Mama zenu kwa huruma..Miaka mingi iliyopita nilikwenda Bogota,Colombia.Nilikuwa na rafiki yangu Mhispaniola ila ni mzaliwa wa Bogota,huyu bwana tulikutana kwenye majukumu ya shirika la uhamiaji la kimataifa la IOM Kigoma.Wakati huo Wakimbizi wa Rwanda na Burundi wameshamiri sana katika kambi za Wakimbizi Kigoma.Hiki ndio kipindi vijana wengi sana wa Kitanzania walikuwa wajifanya warundi wanapata nafasi ya kupelekwa Canada na USA pamoja na UK.
Kazi kubwa ilikuwa ku-sort out wakimbizi kwa baseline ya familia ili kutokuzitenganisha familia na ndugu,baada ya hapo walisafirishwa mpaka uwanja wa ndege Dsm then wakasafirishwa kwenda ama Canada au US.
Yule jamaa yangu alikuwa anapenda sana wanawake na pia alikuwa mlevi sana.Alipoletwa Kigoma na IOM hakuja na familia,kwa hiyo alikuwa anawala sana wanawake wa Kinyarwanda pale Kigoma.Tulipopata likizo,akanambia twende Spain then tutakwenda Bogota akaone ndugu zake.
Usiku mmoja pale Bogota akanipeleka mtaa mmoja maarufu sana unaoigawanya Bogota kusini na kaskazini,panaitwa Carrerra Septima...pamechangamka sana,kuna watoto wa Kilatino wazuri sana pale.Kuna wahuni huko ni hakuna mfano.Unga na walevi ndio wamejaa hapo.Sisi tupo na Dollar za Mmarekani wakati huo ukibadilisha na Colombiano Peso unakuwa tajiri sana.
Sasa pale tulipofikia na jamaa yangu kulikuwa na binamu yake,hawa watu wa Latin America wanaishi maisha ya ujamaa sana,yaani ile extended family nadhani watakuwa hata wameizidi Afrika.Huyu binamu wakati huo alikuwa around 20's,akiitwa Andrea Bibiana Pacheco,hawa Wakolombia huanza na majina ya kiume hawa.
Tulikaa Bogota kama week tatu,muda wote tulifanya outing basi tunatoka na Bibiana,na nilipewa tahadhari kuwa better niwe natoka na mwenyeji kukwepa wahuni,na Bibina alikuwa mjanja kwelikweli pale Bogota...Mtoto wa Kilatino alikuwa ana nywele ndefu mpaka kiunoni,rangi ya kilatino na pini kwa pua.
Muda mwingine natoka na Bibiana bila jamaa yangu,tunakwenda mtaani nampigisha pombe tunarudi.Kumbe nyakati zote Bibiana kashaawambia pale mtaani kuwa mie mtu wake,lakini sasa mimi sijui.Na kwa kweli nilikuwa namlisha bata na anajitanua sana tukiwa mtaani.Tatizo kuwa hakuwa na good command ya Kingereza,so kuna mahali kulikuwa na mkwamo wa mawasiliano.
Jioni moja nikatoka na Bibiana na rafiki yake mmoja,alikuwa mzuri sana kuliko Bibiana,wakanywa wakachangamka...yule rafiki yake akawa ananikonyeza,Bibiana akienda chooni anananishika huku na kule...na mie wakati huo nguvu zipo,nikasema wacha nifanye utalii wa Latin America,na sababu sikutaka kumla Bibiana as ni binamu wa jamaa yangu.
Mimi nikawa muwazi kwa Bibiana kuwa niunganishie kwa best yako,nimempenda,huku nikiwa na uhakika yule mwanamke hatakataa sababu alishaanza kunitega,kumbe ye anaogopa Bibiana sbb alishajitangaza kuwa mie wake,na mie namtaka yule rafiki wa Bibiana sababu siwezi kutembea na dada wa jamaa yangu.
Basi nilipomwambia Bibiana akastuka sana,akanambia yule muhuni achana naye na ana jamaa zake wapo kwenye magenge ya wauza unga,watanitegea mtego then wanipoke pesa na kunidhuru.Hapo nikawa mdogo kiasi ukizingatia ile nchi ina wahuni sana.Wakati ule tunaongea kumbe yule demu kaenda mle Club kachukua rest room,maana ni zile club ambazo ndani mna shower na rest room unaweza kupumzika then upande mwingine ndio bar/club.
Baada ya muda,sijui alicheza mchezo gani,akawa kama kanisogeza dancing floor then nikaja kuibukia kwenye kichumba,wao wanaita "parcero".Kule mtoto wa Kilatino nikakuta kaandaa mandhari hatari,nikapigwa nuru massage pale ya kufa mtu.Sijakaa sawa tukawa tumemuongezea shetani wafuasi.Nikajikuta nimekula tu tunda bila gharama.Na kwa kweli alinitega sana na siku mbili baadae nikamla tena kiutaniutani.
Akawa anasema anamuogopa Andrea Bibiana,sbb ni mpenzi wangu,nikamwambia si kweli...basi wakati huo kumbe Bibiana anazunguka ukumbi mzima anatusaka,baadae tukajichanganya akakuta tunacheza mziki...hapo alikuwa kashalewa kidogo,akaja akanikumbatia akanivutia pembeni...huko nikaona mtu ananishikisha Ikulu,mara wizara ya kilimo na mifugoa,sijakaa sawa naona wizara yake ya mambo ya ndani imepanuliwa nashikishwa.
Basi pale nikapewa mambo ya Kilatino kila nachooulizwa nakubali tu,muda kidogo akachukua cable mpaka hotel jirani nakuta mtoto anaingia kavua,kaenda kuoga anarudi kama alivyozaliwa.Hawa watoto wa Kilatino wanajua sana romance,basi nilipigishwa gwaride pale balaa sana!usiku mmoja nikawa nimekula watoto wawili wa Kilatino kwa masihara.
Miaka kadhaa baadae,nikaja kukutana na Andrea Bibiana akiwa Hispaniola kwa kaka yake nilipoenda kumtembelea likizo ya majira ya joto,hapa ndio nikala kimasihara haswaa,maana nikiwa nimelala usiku,nilistuka mtu kaingia chumbani kwangu na ananipapasa,naamka namkuta anasisitiza anataka kukumbushia...Tukaunga ujamaa na shetani usiku mzima,baadae binamu yake alikuja kugundua namla ndugu yake,Walatino hawana shida,Bibiana alikuja kuolewa na jamaa wa Venezuela,wakahamia Uspania na sasa wana watoto watatu,na mmoja ni zao la akademi ya Real Mallorca....
kULA KAVU MIMASIHARA KULINIPA UTI KALI SANA .....NIKAJUA NINA STD ...NILIPIGW ASINDANO A NAENDELEA NA DAWA...ALIYENIPA ALIUMWA MALARIA NA UTI ...SO ALINIPA YANI FIRST TIME NAONA UTI YA MAAJABU AUMICVU MAKALI SANA HADI YANATOA UCHAFU....SO BEBA ZANA KIMASIHARA IKIKUTOKEA UNA ZANA OTHERWISE PLAY SAFEAisee pole sana mkuu.Na mm sio ya kimasihara lakin kuna kisa kinachofanana na hichi kwa mbali kilinipata.
Huyu manzi nilikutanaga nae tu kwenye usafir na kwa uzoefu wangu, nilipomuona for the first time ,kuna some qualities nikaziona kwake, the very first time.Nikafanya makeke nikapata namba.Baada ya weeke kama 3 nika meet nae hotel moja tandika temeke,kumbe alikua anamalizia siku zake, kigumu gum hivyo hivyo , ikasafishwa fresh akaoga nikagonga kidogo lakin.
Game nzur ilikua mwaka mpya huu, nikapiga sana.Ila nikaanza kuhis kila nikikojoa mkojo unauma sanaa.Mmh..nikavunga but nilishtuka cz when it comes to health issues2 aisee huwa sitaki masihara.Basi katika maongezi ya hapa na pale na yule mtoto siku na yy akanmbia anaumwa kama nilivyoluaa najiskia mm.Aisee nilishtuka sana moyon ghafla bila kupoteza muda nilipomaliza kaz nika2rud home.nje kidogo ya mji nikachukua kadi yangu ya matibabu nikageuka ten mjini yapata saa 5 usiku.niliapa silali bila kujua tatizo.Nikafika hospital nikmueleza yule mtaalam mwanamama kila kitu akanishauri nipime mkojo na malaria.dikuridhika niksema naomba unipime na STIs pia.
Nikapima syphilis kipimo cha damu.
Majibu yaka2onyesha nina UTI nikapewa dawa.
Dogo nae kesho kapimwa, kaambiwa ana UTI akaandikiwa sindano 5 ( nahis ilikua kali). Lakin doctor alimuulixa swali "ushawah ku sex ukiwa period?"
Akasema hapana ingawa first time nilimgonga akiwa P.sasa cjui hii inaweza kua na maana gan ?
Daah mazee tuwe makini kwenye kula kimasihara
WATU HAWAJUI HATA UTI INAKUJAJE DUH...MWAMBIE HATA BILA KUSEX UTI UNAIPATA PIA....HAS WANAWAKE ..Ahahaha.
Mkuu namaanisha kwamba bada ya daktar kunishauri nipime uti, mm sikuridhika nikaomba anipime na std/sti maana nilikua nahofu sana.
So wakanikuta sina std bali UTI.
Halaf licha ya kwamba u.t.i sio s.t.d lakin kama unafanya ngono unprotected na mwanamke mwenye nayo kuna kuambukizwa pia.maana yale ni maambuki ya bactrial kwenye njia ya mkojo ambapo unapo sex ni obvious kabisa kugusa maeneo hayo ya mwanamke.
So sio lazima tu kupiga nyuma, hata usipopiga unaweza ambukizwa.
NIMECHEKA UKAUZU WAKO WE BAHARIA USIYE NA SHOBO NA FURSANimekuja shamba huku, nimepanga chumba na sebule kwa miezi hii ntakayokuwa nafanya yangu, nimelipia miezi mi4 lakin sikai naweza kuja nikakaa siku nikaondoka nikaja baada ya wiki kadhaa kutokana na mfumo wa utaftaj wangu uko hivyo, sasa juzi nimerudi nimekuta nimepata majiran kama wawili hivi wanawake, wana maumbo ya kike hasa, wote ni wachangamfu sana na napiga nao stori kidogo sana, sasa hiyo juzi nimerudi misele nikawasha subwoofer nikaunga na simu nikawa nachek movie ktk simu nimekaa zangu sebuleni kidogo kapita jamaa na mmoja wa wale wapangaji wamezama katika chumba cha yule mpangaji mi mlango ulikuwa wazi na milango inaangaliana di vyumba vya ndani vyumba huru kabisa. nikasema yees mwana anaenda kula keki ya Taifa ila yule jamaa kidogo anaonekana alikuwa kitungi ila manz yupo fres, nikarudisha mlango wangu nikaendelea na movie yangu..kama nusu saa yule dem katoka kaenda chota maji tukakutana bombani akaniuliza kaka unaangalia movie gan inaonekana nzur nikamwambia ya kawaida tu na ipo ktk sim tu akasema okey ntakuja kuangalia, sa nikajiuliza huyu si aliingia na jamaa ama ndugu yake ama jamaa alisepa zake ah nikaachana nae maana mm sina hata mazoea nae, kila mtu akaenda na zake, mida ya saa tano hv naskia mlango unagongwa nikafungua yeye tena ana khanga tu akasema movie yako inaitwaje unayoiangalia nikamwambia ANNA akaomba aione kwa mara ya kwanza kazama ndani basi mi nikawa namuangalia simuelewi kaka ktk sofa mipaja inavutia ukizingatia sikuwa taa kulikuwa na mwanga wa woofer tu wa bluu, nikamwambia sister kama una flash lete nikuwekee usepe kwangu sihitaj wagen bila taarifa akasema poa sasa wakat wa kutoka akaenda kwanza dirishani anachungulia nje kainama kidogo, mm nikaona huu ukenge maji sasa nikaingia chumban nikachukua ndom, namuuliza sasa wewe unachungulia nn si uende kwako? anasema kuna mtu kamuacha kalala, nikamuuliza yule umepita nae? eeh kalewa sana yaan kafika tu chumbani kafikia kitandani anakoroma nikamuuliza ni jamaa yako? akasema ni mzaz mwenzangu dah nikaona huyu akuja kwangu kwa ajili ya movie kafuata lingine nikamfuata pale dirishani wakat yeye anachungulia mm nikava ndom kabisa alaf nikamshika kiunon ah hamnakitu yaan huyu manzi ndio nikaukumbuka huu uzi wa kula kitu kimasikhara, alivyohis mkuyenge unamtomasa ktk mahaga yake eti kastuka ile anageuka kakutana nao live alaf nikaonahuyu ashauona mkuyenge wangu na kaja kwangu bila chupi nikamwambia tu sister mm sinaga mazoea ya hivyo kama jamaa kalala bilakukupiga mashine mm nakupiga mashine kwa niaba ya mshikaj haha manz akawa kama kastuka hv aamini kinachotaka kutokea sasa mm sikulemba vile vile bado anakodoa kodoa macho nikampindisha nikamtia ududuanataka kuleta wenge nikamuuliza unaingiaje chumba cha msela bila chupi? watu watakushangaa we nitengee vizur kweli kachomoa akaenda kuutenga vizur sasa..jamaa linakoroma mi napiga pum*u mpaka sa tisa yule manzi akatoka zake na mm nikamwambiamazoea ya kisenge sitaki tusizoeane, asubui namuona jamaa anaenda kuoga , dah kisha akasepa na mm nikasepa zangu jion nimerudi nakutana na yule dada mlangon kwake kasimama anauliza ushakula? nikamwambia tayar kwan vipi eti ooh jana umenifanyia vitu sijategea nikamuuliza kwa hiyo? eti naomba tena alaf usiniache...yaan nilijisikia hasira, nikamwambie mm sitak mazoea jana nimefanya vile sababu ningekuacha sijui ungenichukuliaje ila mimi sipo unavyofikiri na mimi ni pasua kichwa we komaa na jamaa yako..asubui sasa yaan leo akaniambia we mkaka mi naomba tena eeh nikaona hapa sasa huyu anataka kuniletea msala mi mapema tu sa nne nne nikasepa zangu nategemea kurudi huko baada ya mwezi...so juzi pia nimepiga show kimasikhara japo sitaki mazoea nayo.
HAHAHA KALI SANA ILA TRUEHuu uzi ni wa kuheshimu sana na usione watu wanahadithia huku wamekula kimasihara ukajua ni watu wadogo..... kuna waheshimiwa pia wamemwagika stori humu...
Unaweza kukuta mtu ameweka stori huku alikula kimasihara huku huko 90+ akampa mtoto mimba na ww unakomenti... kumbe ww ndio ulizaliwa na aliyekula kimasihara ni mdingi wako....
UTI hata bila sex unaweza kuipata....kULA KAVU MIMASIHARA KULINIPA UTI KALI SANA .....NIKAJUA NINA STD ...NILIPIGW ASINDANO A NAENDELEA NA DAWA...ALIYENIPA ALIUMWA MALARIA NA UTI ...SO ALINIPA YANI FIRST TIME NAONA UTI YA MAAJABU AUMICVU MAKALI SANA HADI YANATOA UCHAFU....SO BEBA ZANA KIMASIHARA IKIKUTOKEA UNA ZANA OTHERWISE PLAY SAFE
Lifetime ban[emoji46][emoji46][emoji46][emoji56][emoji46]Wamempa bann?
Sent from my iPhone using JamiiForums
NifuateNilimisi sana huu uzi....
Imebibidi kuja na ID mpya kuoshare nlivyoliwa kimasihara.
Basi bwana mwaka 2016 nikiwa chuo second year, nilikua muhudhuriaji mzuri wa kanisa na huko nikapata crush wangu, mkaka mpiga gita, handsome haswa na msmart kwelikweli
Basi bwana nikajitahidi kadri nlivyoenda kanisani nijue jina lake,(haikua lengo langu hili ilitokea tu) na kweli nikalijua,siku moja nikiwa katika stress za shule na maisha nikasema ngoja nimsearch facebook,kweli nikampata nikarequest urafiki,akakubali..
Then baada kama ya week nikajipiga picha nzuri tu nikaweka facebook alivyoi-like nikafuta kumbe alishanitext messager tukachart kwa mda then akanitumia number zake nikamchek watsup, tukafahamiana kwa mda akawa rafiki mzuri tu,baada ya kumzoea nikamuona tu ni wa kawaida anafaa kwa matumizi ya urafiki tu na sivinginevyo.
Kuliwa kimasihara sasa... Baada ya kuzoeana kukutana maeneo ya chuo maana na yeye alikua mwanachuo, ila cyo chuo nilichokua nasoma ila vipo karibu sana, na kanisani siku moja akaomba aje kwangu(geto) sikuona shida nikamkaribisha akaja, nikapika akala gafla naona mtu anaomba akaoge maana amechoka, nikampisha akaoga then hakuvalia nguo bafuni akanifata hadi kitandan nilipokua nimekaa , mara aniguse hapa na kulee nikajikuta naachia mzigo, basi. Akapiga deki haswaa, nilijikuta naita maji mma, yupo vizuri mnoo kwenye kuandaa aisee alinilambaaa all over kitu ambacho sijawah experience kwa kipindi kile n by that time k ilikua haijapiga milage ndefu . sasa balaa likaja kwenye kuingiza mkuyengee kwa bibi, yaani mzigo wake ni mneneee alafu mfupi, sikufeel chochote zaidi ya maumivu nikajidai naenjoy kumkatia kiuno amalize haraka, kweli akamaliza, akasema tuendeelee cha pili
Nilikataaa kwa kisingizio nna discusion chuo mda huo, yaani alivyoondoka kwangu nilijuuuuuuuuuutaaaa, niliogaa maraa mbiliii yaani it was bad, na hapo K ilikua mnato sikua nato*mbwa kiboya na boyfriend... Nilimdelete kila kona, kanisan nikawa nawah kuondoka baada tu ya kutoa sadaka, siku hajaja kanisan ndo nikawa nakaa hadi mwisho. Kuna siku nilikutana nae nikiwa mazoezini asee nilijidai simjui hata asinikumbushie.
Ila jamani ACRONOMY nyuzi zako zinanilowanishaa haswaaa, wanaume wa JF hamna mwenye show mbovu, sijui mtaani mnapatikana wapi akii.
Sent using Jamii Forums mobile app