The other Tenant.
Nimetoa hapa story ya mdogo wa mpangaji wetu mmoja, sasa two years later,nikiwa 20 sasa. Wakaamia wapangaji mtu na mke wake. huyu mwanamke alikuwa ni mrembo jamani, huyu ndio role model wangu, sababu ndio alisababisha wanawake type yake wakawa ndio tamanio langu.
Mme wake, chapombe wa kuua mtu, roho yake ikae pema peponi, amina.
Jamaa alikuwa chapombe sijawahi ona tena, alikuwa anafanyakazi anapiga hela nyingi sana, tatizo lake akivuta mshahara mwisho wa mwezi haonekani nyumbani,yaani mke wake alikuwa anaenda kumuokota jamaa mitaroni kaanguka,by that time wote waliokuwa wanamzunguka na kuparty nae wameishamtelekeza sababu hela zimeisha.
Kwanza nimshukuru jamaa, alikuwa akipata mshahara alikuwa siku moja moja ananipeleka club kula mtungi, at some point mke wake akawa anajua mi na mshikaji dam dam, lakini kiukweli mi hakuwa mshkaji wangu kiivyo,hata hiyo kwenda club ilikuwa inatokea tu kanikuta viwanja vyangu vya masikani nakula bia zangu chache sasa akifika pale anaanza kuangusha round hadi kwa wapita njia,then akitaka kwenda club ndo ananikomalia tunaenda,kwa namna fulani nilikuwa naenda nae kama kumlinda tu.Russian Graduate huyo.
Sasa ikawa kama mchezo, akichelewa kurudi, wife anakuja nigongea kuniambia nimsaidie kumtafuta jamaa, basi natoka kwenda kumtafuta, kabla ya mwisho wa mwezi alikuwa anakuwa kiwanja fulani cha jirani, so actually nilikuwa naenda kumpick tu tunarudi nyumbani, hii ikaendelea kwa muda, mpaka sasa tukawa tunatoka wote yeye ananisubiri pembeni naenda mchukua jamaa tunarudi home.
siku ya siku,around saa saba usiku,tunaenda tunamkuta kaanguka chini,ikawa kazi sasa kumnyanyua na kumkokota turudi home,ilikuwa kazi kweli kweli,maana ake siyu hiyo watu waliamka home kusaidia, IT WAS BAD. Kufika huko ndani jamaa akazingua zaidi. aka POO sebureni. Ikabidi shemeji aje kunistua tena nimsaidie
nikatimba ndani, tukamsafisha jamaa, ndo tunamaliza kumsafisha,shemeji akaanza kulia kwa machungu sana...
sasa mi nikashangaa, huyu analia nini na jamaa nikimungalia naona yuko fresh tu ni pombe zimemzidia, ikabidi nimuulize shemeji nini tatizo? hakujibu kirahisi lakini baada ya kurudia rudia anieleze tatizo ni nini? akafunguka...
Kwamba, anajuta kuolewa na jamaa, kwamba hapo ana miezi sita jamaa hajamtafuna,amekalia pombe tu,yaani anajihisi kama hajaolewa. sasa kuweka record sawa,kiukweli shemeji kuna jamaa alikuwa anamkulaga,sababu kuna jamaa alikuwaga anamleta na private car pale home siku zingine hata asubuhi, saa alipoanza kuelezea hayo mambo ndo nikajua why anachepuka.
anadai jamaa hajapanda kitandani karibia miezi mitatu minne,kila akirudi akikaa tu kwenye kochi anasinzia na hata ambembeleze vipi hastuki kwenda kitandani,malalamiko yakawa mengi including kutomuhudumia,hela anapoteza kwa malaya na pombe n.k. n.k
nikamuambia tufanye kitu kimoja,tumbebe tumpleke kitandani,akakubali,tukamnyanyua jamaa, huu ulikuwa mziki mnene, sasa tunamnyanyua jamaa sijui alikuwa anafanya makusudi hata hajibalance kutusupport,kwa tabu na nini tukamfikisha kitandani, so huko ndani nikamuambia sasa hapa kafika kitandani kazi kwake sasa? akaniuliza kazi kwake nini? nikamuambia hapa pombe zikiisha ongea nae malalamiko yako yote hapa hapa kitandani si unasema huwa haji kitandani?
akazingua,akasema kwani kunito..a mpaka iwe kitandani,sasa nikawa narudi nyuma kama nielekee mlangoni nisepe,akaniuliza mbona nakua kama namuogopa..
tucut the story short,nikala mzigo,hiyo ni around saa 10 usiku, na siku enjoy kabisa kabisa.lakini it became the beginning. Next day,around same time,sita saba usiku nikagongewa mlango,kufungua mtu ndani moja moja kwa moja ndani. tuka REPEAT. Hii ndio ilikuwa the real beginning sababu ilifikia hatu dingi akaniambia niachane na huyo mwanamke haraka ama sivyo atawafukuza wahame pale.