Wanaume Mungu anawaona.

My best kaliwa kimasihara muda si mrefu hapa, kakutana na baharia njiani kaliwa saizi nampashia maji akajikande maana anasema jamaa anamiliki mguu wa mtoto anahisi kizazi kinachomoka
Ila na nyie mmetofautia Sana wengine ,Wengine ukiingiza tu ukingo huu hapa ,Mara tumboo oo piga mashine tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ni zaidi ya komedi aise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Niko ugenini halafu unanichekesha kifala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, kali sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, wiki hii ilikua nna pilika nyingi nikashindwa kuendeleza hii. Ila ndo naandika hapa. Asante kwa PMs zetu mlioomba muendelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii huwa inakuja automatically tu, yan dem anajikuta kaliwa tu kimasihara. Never force mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hatakama ni hasira huyu mwanamke alizid khaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hukufanikiwa kujua tatzo lililomuua Dogo?
 
A continuing story of how I met my wife.

Nimepokea PM kadhaa zikishauri story hii niipeleke kile kwenye entertainment forum. Kwa sasa naona niendeleze tu hapahapa mpaka pale itakapoonekana kuwa yafaa hivyo (ingawa ni kweli harakati zinazoendelea hapa hakuna masihara tena).

Tuliumiza kichwa sana namna gani Boss Rona anarudi kwake bila kuzua varangati. Maana hata ungekua ww ndugu msomaji, mkea anarudi sketi imechanwa, shati limechanwa na kachafuka oil ingekua ngumu kumuelewa. So idea mojawapo ilikua tupite town tununue nguo then apitie kwangu aoge kisha abadilishe. Ila wanawake bana wako very smart hasa inapokuja kwenye suala la survival. Akachukua simu yake akampigia mumewe, “babe gari imeharibika njiani, naomba uje unichukue" kamtajia barabara mojawapo pale mjini, then kazjma simu akaniambia problem solved twen'zetu. Na hata Tshirt yangu kanirudishia hahahah. Amefika kwake jamaa hayupo kaenda kumchukua mkewe. Sasa sijui alivorudi mzee baba aliambiwaje.

Basi mazoea na Boss yalizidi sana. Siku moja yupo kwangu baada ya mechi, tumejipumzisha kitandani akkaniambia, “Ujue Kiga sijawahi penda in my life. Yaani pamoja na kuwa nimeolewa na nina watoto ila sijabahatika kufall in love, wewe ndo mwanaume wa kwanza kukupenda and I love you so much" nikamwambia how comes hajawahi penda,? Vipi kuhusu mwanaume wako wa kwanza? Boss Rona alikua amelala kiupandeupande tukiwa uchi, kichwa ameegemeza kwenye kiganja cha mkono mmoja, huku mkono mwingine ukiwa unatalii kifuani kwangu, nilivyomuuliza kuhusu baba mtoto wake wa kwanza, akalala chali akaangalia darini kisha akafunguka.

“Nilivyokua form three mwishoni mwezi November, majira ya jioni mzee alinituma duka la jirani nikamchukulie pakti ya sigara. Nakumbuka ilikua kama saa 12.30 hivi kigiza kilikua kimeanza kuingia. Bbaada ya kununua pakti ya Sportsman, pale dukani kulikua na mkaka amesimama kwa pembeni, wakati natoka yule kaka akanisemesha kwa kiingereza, akaniomba samahani na kuniomba nimsaidie kumtafsiria kitu kwa muuzaduka maana walikua hawaelewani lugha.

Kumuangalia vizuri nikaona kweli ni mgeni, yaani anawajihi kama wa kisomali hivi. Basi kwq kuwa ngeli kwangu haikua shida nikamsaidia akapata anachotaka. Then akannambia kwa kuwa amenichelewesha anaomba anisindikize hadi home maana giza lishaanza kuingia. Nikqmwambia asijali home sio mbali. Akasisitiza sana nikaona sio kesi. Katika kunisindikiza ndo nikafahamu anaitwa Mekonnen na ni raia wa Ethiopia. Amekuja Tz kwa short course ya miezi miwili inafanyika chuo kikuu pale mlimani. Tulivyofika karibu na home nikamwambia nimefika asante, Mekonnen akaomba kama sitojali anione kesho yake pia ili tufahamiane vizuri, “who knows you might find urself in Addis someday" nikacheka. Akasuggest saa nane kamili atakua ananisubiri kituo cha basi pale Urafiki. Then akasepa, yaani hakunipa hata nafasi ya kukubali au kukataa.

Kesho yake was Saturday, so out of curiosity, nikaaga naenda kwq rafiki yangu Tina then huyo nikasepa zangu kumuona Mekonnen. Nilichelewa kama dkk 40 hivi ila nilimkuta mkaka wa watu amenisubiri. Kwa kuwa ilikua mchana ndo nilimuona vizuri, he was handsome, ila sio kama ww mpenzi (akajihami mapema) and had very good eyes. Basi alivyoniona alifurahi sana. Then akachukua taxi, “nipeleke chuo hall six" nikamwambia kumbe kiswahili unakijua? Akajitetea kuwa amekariri some phrases za muhimu.

Kufika hall 6, kuna block moja wanakaaga foreigners, tukapanda ngazi mpqka room kwake. Nikakaa kwenye kiti, then akatoa juice aliyoihifadhi kwenye jagi akanipatia. Tukaanza stori za Ethiopia na historia yao hasa ya mfalme wao wa karne ya 19 Tewodros wa pili iliyonivutia sana. Badae akabadili mada kuanza kunisifia pale nilivyoumbika, mara ghafla akanifata kaanza kunishika matiti. I was surprised nikajikuta sijui nifanyaje nikabaki nimetulia. Akili ilivyokuja kukaa sawa keshafungua vifungo vya shati ananyonya chuchu. Nikawa kama nahisi raha, nikasema potelea mbali ngoja nippate cha kuwasimulia akina Tina shuleni j3.

Kukatisha stori, Mekonnen akawa amenila kimasihara siku hiyo. Akanipa hela akasema hii utumie kama nauli ya kuchukua taxi kesho uje tena. Mi kimoyomoyo nasema hapa sirudi. Nafika home nimechelewa nakuta maza kukasirika mbaya. Wamama wanakuaga na machale sana hasa siku mabinti zao wanapochezea mshipi kwa mara ya kwanza. Akajikuta ananigombeza kama nusu saa. Basi nikaomba msamaha yakaisha. Bahati nzuri mzee hakuepo maana yule Mkurya akiamua kupiga hajali ww ni wa kike au kiume, kama anapiga mwizi.

Basi siku zikapita, baada kama ya wiki mbili hivi, siku moja namsaidia mama kuandaa pilau home, nikawa namenya vile vitunguu saumu, tunapiga stori fresh tu na maza, mara nashangaa mama ameniangalia kwa makini hasa eneo la juu ya kifua shingo inapoanzia. Mwanzoni nikahisi nimeexpose utajiri wangu, kujicheki niko sawa. Sikutegemea swali aliloniuliza, kwa upole kabisa akasema “Rona mwanangu, siku ulipochelewa kurudi ulikutana na mwanaume? Dah, ntajibu nn sasa. Nikajikuta vitunguu simenyi, kujibu sijibu ninetizama tu chini. Maza akanisisitizia tena “tell me the truth" nikajikuta naitikia kwa kichwa, then nikafuliliza na maneno kama buku ya kuomba msamaha na kupromise sitakaa nirudie. Nikaona mama machozi yanamlengalenga then akasema “its too late now, YOU ARE PREGNANT". Then akaniacha hapo kaenda room kwake. Nikakaa hapo kama dkk 10, najiambia its not true, its not true, its not true…

Kesho yake tumeishi kama paka na panya, nilivyomsalimia kwannza hata hakuitikia, nikajifungia zangu room siku nzima hata sikula that day. Siku iliyofuata nakumbuka maza alikua anasafiri kwenda Moro kikazi, nikapata ahueni. Ila bado nikawa sina raha. Siku hazigandi, wiki iliyofuata maza karudi, cha kwanza kanipeleka hospital, majibu ya vipimo kutoka kweli nina mimba. Almanusura nizirai, I swear I just wanted to die. What will I do. How will I survive? Mama ananiuliza eti ninampango gani? Who is the father? Ikabidi nifunguke A to Z.

Naona maza aliona hii ngoma sasa nzito, ikabidi amshirikishe mzee baba, mjeda mwenyewe, mzee Ghatti. Nakumbuka ilikua jioni kama saa 12 hivi siku ya ijumaa, nasikia mzee ananiita kwa sebule, Ronaaaa!. Roho ikapasuka pah!. Nikawakuta wamekaa wote baba na mama. Nilipoketi mama akaniambia, haya mueleza baba yako umalaya wako…. Nikapiga goti nikatembea kwa magoti mpaka kwa baba, nikamuomba msamaha kwa dhati kabisa. Baba hakusema neno, akawa ananiangalia, mm nikawa natarajia nianze kupigwa mangumi. Mara nasikia sauti ya baba kama analia, kuinua macho, dah… my dad alikua kaweka uso kwenye viganja vya mikono, machozi tu yanamtiririka… Since hili sekeseke limeanza sikuwahi kulia, but seeing my father cry like that, melted my heart and I cried too.

I cried a lot. Nikajutia kugawa uroda kizembe. Ndo maana huwa nawaambia wazazi, kumpiga mtoto anapokosea unamtengenezea tu ile hofu kwako. Yyaani akiwa na uhakika jambo ambalo umemkataza kuwa anaweza kulifanya na ww usijue basi atalifanya. Ila mtoto akiona jambo alilofanya limekuumiza mzazi wake, yaani aone ile pain aliyosababisha, hakika itafanya achukie kitendo alichokifanya.

Mzee kaniacha pale nalia, mama kaenda kumpoza mumewe. Baadae nikarudi room nikajilaza. Sijui hata usingizi ulikuja saa ngapi. Nakuja kushtushwa na mlango ukigongwa asubuhi. Mama kaingia. Wote macho yametuvimba. Animalia nikae then kaniambia baba yako amesema hataki kukuona hapa, ushakua mtu mzima kaishi na huyo mmeo, hataki hata mahari yako.

That was the last time nimeishi home kwetu. Kinachoniuma hadi leo ni kuwa the last noment kumuona baba yangu ni ile akiwa analia. It pains me bado. Nilivyofukuzwa home, pa kukimbilia nikaona ni kwa shangazi, mitaa ya Ukonga. Nakumbuka ilikua kama saa saba hivi mchana. Nilivyo msimulia naye kasema baba yako atahisi mm niko upande wako, ww rudi home then ntakuja niongee nae. Mmh. Nikaona hapa balaa. Nimezurura tu mtaani hadi saa 12 jioni ndo wazo la kwenda hall 6 likanijia, labda tukae na Mekonnen tuone tunasolve vipi. Kufika kule saa mbili kasoro, gonga mlango anatoka mdada.. “nikusaidie nini", Mekonnen nimemkuta? Yule dada kaniangaliaaaaa, then akajitambulisha kuwa eti yeye ndo mke wa Mekonnen , nikaishiwa nguvu.. nikatembea usiku ule mpaka ubungo, nikapata wazo la kwenda kwa baba mdogo Magomeni. Kufika na kibegi changu, uzuri alinipokea nikasema hapa siwasimulii mpaka kesho nisije timuliwa usiku huu.

Kesho yake nikawahadithia mkasa mzima. Mzee akasema basi kaa hapa nikiwa naendelea kutafuta suluhu na baba yako. Nikasemma hewala, Mungu hamtupi mja wake, hasa mja mzito hahahaha. Kumbe ba mdogo nae bazazi tu. Yaani nikajifunza kuwa mwanaume hakusaidii kitu mpaka nayeye afaidike, hata ndugu. Siku moja usiku nimelala nasikia kitasa kinafunguliwa, nikajikausha, mara naona mtu anapanda kitandani, nikakurupuka nikasimama. Kumcheki ba mdogo kavaa kichupi tu yuko kifua wazi. Ananifuata kunihug, sasa nikashindwa cha kuamua, nitulie niliwe na ba mdogo ili niendelee kuishi pale, au nigome anitimue. Najua hata yy aliona huyu hana option, akawa ananiminya makalio, dah nikajikuta tu nimepiga ukungaa. Ukunga ukamfanya na yy apanik kaniachia, akawa anatoka room nilipokua, hamad! Wakakutana na mkewe mlangoni kwangu mke kunicheki nimejikunyanta kwenye kona ya room, kumcheki mumewe ana kichupi, nikasikia tu, baba Bhoke, unataka mbaka mwanao. Sijui walimalizaje hiyo kesi room kwao. Mm ilivyofika saa 12asbh nikakusanya kilicho changu nikasepa.

Ntaenda wapi sasa. Nakumbuka nilikaa sana kwenye kituo cha basi siku hiyo. Nikawaza kuna mwalimu wangu wa kike alikua ananipenda sana na nilikua napajua kwake mitaa ya mkwajuni. Nikatembea kwa mguu mpaka kwake, alikua amepanga nyumba moja nyuma ya msikiti pale. Kuniona na begi nahisi alijua tu ujio sio wa kawaida, maana alinifuata akanihug huku mikono yake ikitambaa kichwani kwangu, I cried a lot on her shoulders. All the time ananibembeleza kama mtoto ile, shhhh! Shhhhh! Shhhhh! Its ok now, it will be ok. I felt tired and relaxed at the same time. Akanikaribisha home, hakuniuliza hata chochote, kaniambia nikaoge, nlivyomaliza nikala, then kwa kuwa nyumba ilikua chumba kimoja tu na sebule akaniwekea mazingira pale sebuleni kaniambia pumzika. Huezi amini niliamka saa mbili usiku.

Kuamka nikakuta ashapika cha jioni, then nikasikia anaita, “mpenzi, mgeni ameamka njoo umsalimie" akatoka chumbani mkaka mmoja hivi, kwa umri alionekana kama mdogo kidogo kwa madam Nora. Nikamsalimia pale, akakaa. Kichwani nawaza tu yale ya ba mdogo yatajirudia hapa. Nikajisemea itakua sina jinsi, itabidi tu nigawe uchi maana inaonekana ndo passport yangu ya kupata usalama na malazi. Basi yule shemeji ambaye madam Nora alimtambulisha anaitwa KM, akaniomba niwasilimulie yaliyonikuta. Nikawapa mkanda mzima sikuficha kitu (ingawa issue ya ba mdogo niliipindisha kidogo kumlindia heshima).

Wakanipa moyo pale na madam Nora akawa analalamika namna watoto wa kike tunavyonyanyasika. Akasema hapo mdogo wangu jamii inakuhukumu kwa kupata mimba, watu wanasahau kuwa mimba ni matokeo tu, kosa lako lilikua moja tu la kufanya mapenzi ktk umri huo, na hilo ni kosa ambalo hata kama baba yako angelisikia angekuadhibu akakusamehe. Ingekua kila anayefanya mapenzi anapata mimba basi asilimia 80 ya wanawake wote unaowaona wangekua walifukuzwa na wazazi wao. Na sio hilo tu, binti anayechukua uamuzi wa kutoitoa mimba yake huyo ni wakutiwa moyo maana wengi huishia kufanya kosa la kutoa mimba kwa kuogopa haya unayopitia sasa.

Kimsingi madam alinipa faraja sana. Nimekaa pale siku tatu hivi, madam akanambia sasa inabidi tutafute suluhu na mzee. Kweli mmadam kaenda mpaka home, alivyorudi akaniambia mzee kamtimua tena kwa bastola, nikajikuta namuonea huruma. Kesho yake akaniambia ameshauriana na mpenzi wake wameona ni hatari kukaa na mtoto wa watu, lolote laeza tokea, nikaona sasa hapa natimuliwa tena dah! Wakashauri tukapige ripoti polisi Magomeni, kufika polisi wakasema twende ustawi wa jamii maana mm bado ni minor.

Yule shemeji KM alikua anafahamika sana (Baadae nilikuja kujua ni mcheza mpira wa timu moja maarufu hapa mjini, na hilo jina KM ni ufupisho wa neno Kiungo Mtaratibu, jina alilopewa na watangazaji wa RTD) kwa hiyo akawaomba polisi waweke kwenye record kuwa Rona Ghatti anaishi kwa madam Nora. Ikawa kama taarifa ya kuokotwa mtoto aliyepotea hahahaa. Baadae kweli tukaenda ustawi nako protocal kibao, tukaambiwa tuanzie kwa mjumbe. Ila basi lengo la familia hii iliyonipokea likatimia. Serikali inatambua niko pale .

Bbaada ya wiki shule zikawa zinafunguliwa, tumbo halijawa kubwa madam kanambia ww twende. Wakati huo shemeji KM akawa anafuatilia kuhusu Mekonnen, walau ampe taarifa anakiumbe chake. Kupitia kwa professsor mmoja pale chuoni ambaye alikua ni mdau mkubwa sana wa timu anayochezea akafanikiwa kujua kuwa ni kweli kuna waethiopia walikua UD kwa short course ppale idara ya mimea na ni kweli kuna mmoja anaitwa Mekonnen, basi tukawa tumepata adress ya taasisi wanayotoka kule kwao. Nikapata walau faraja kuwa mwanangu attamjua baba yake. Tukaandika barua kwenda Ethiopia.

Form four hiyo ilivyofika mwezi March tumbo likawa linaonekana kwa mbali maana miezi minne, ila uzuri halikua kubwa sana. Madam alikua ananisaidia sana kukwepa vile vipimo vyao vya mimba shule. Ila baada ya midterm break , madam kashauri nisiende shule. KM akanitafutia vyeti vya kufoji kuwa naumwa figo so niko hospitalized[emoji1787][emoji1787] lengo nikae home then nikafanye tu mtihani.

Ikawa hivyo. Madam alinijali sana, alihakikisha nakula vizuri, aliniletea vitabu vya kujisomea ili nijiweke tayari. Shem KM yy hakua vizuri sana kimasomo ila alikua ananipa kampani sana, mara nyingi madam alikua anatoka mapema, anatuacha mm na KM basi tutacheza karata, atanipigia gitaa, siku nyingine atanipeleka kwenye mazoezi yao alihakikisha nakua happy. Alikua mtu poa sana KM mpaka nikaacha kumhisi vibaya, akawa zaidi ya ndugu.

Miezi tisa ikakatika, wazazi wangu hata hawajui naishi vipi. Barua kwenda kwa Mekonnen Ethiopia haikuwahi jibiwa. Niliandika nyingine kadhaa nazo hazikua na majibu. Mungu akaamua kunifuta machozi Nikabahatika kumpata the prettiest baby I’ve ever seen. Madam na KM ndo ndugu walionishughurikia mpaka natoka hosp,. Wamevumilia vilio vya mtoto usiku, wamenisaidia sometimes kumbembeleza usiku wa manane, na sio madam tu hadi KM.

Nimekaa wiki nzima mtoto sijampa jina, wananiuliza nasema sijui hata, badi wananitajua majina pale mara Gift, mara Celine, mara Rita mm natingisha tu kichwa, then one day asbh madam anaamka kwenda job ananiambia make sure unamuogesha mwanao mchana, nikamwambia mwanangu anaitwa Nora.

Madam akaniangalia kama dakika nzima, then akanifuata nlipokaa, akamchukua mtoto, akakaa naye amempakata hasemi kitu then with tears in my eyes I said, “thank you". We hugged, nikamuonna anafuta machozi pia. It was the least I could do, kumpa mwanangu jina lake ili nisije kamwe kusahau wema alionitendea.

Mitihani nilifanya, na nikafaulu vizuri tu, zaidi hata ya baadhi waliokuwa wanaenda shule kila siku. Madam alifurahi kinoma. Post za shule kutoka nimepangiwa Nganza girls. Dah! Ntaendaje nimuache mwanangu. Shemeji KM mzee wa maconnection akamfuata yule prof, tena kipindi hicho ameteuliwa kuwa waziri. Basi nikabadilishiwa shule nikabakizwa town.

Nimekaa na madam kipindi chote akinilea kama mdogo wake, mahitaji yote akinitimizia, then Mungu akawabariki wakafanikiwa kujenga nyumba yao maeneo ya Tabata mimi na mwanangu tukawa na chumba chetu sasa. Wakaajiri dada wa kuwa anatusaidia kipindi nipo shule. Kikubwa zaidj madam nae kapata ujauzito. Basi full raha na mipango mingi jinsi watoto wetu watakavyokua ndugu.

Muda wa kujifungua umefika, tumempeleka hosp, she was crying maumivu ya uchungu bt I was loughing, knowing soon am gonna hold her baby. Bahati mbaya ilibidi ajifungue kwq operation, basi tukawa tunamsubiri atoke theater. Baada ya kama 2 hrs, akatoka nurse mmoja akamuita KM pembeni hata sielewi kinachoendelea. Mara naona KM kachuchumaa anashika kichwa, namfuata ananiambia, she is dead! My wife is dead, mke na mwanangu wote wamekufa! Nilihisi kitu kama kaa la moto kwenye koromeo, miguu ikakosa nguvu. Ninekuja kushtuka nipo wodini nimelala, housegirl yupo na mwanangu pembeni, ndo nikaanza kulia sasa. My heart was broken. Ndo nikajua siku hiyo maana ya broken heart. Kuna maumivu mengi duniani bt that pain that day, was beyond any pain I have ever endured.

Bt as they say time is a healer. Msiba ukaisha, nikawa nasubiri muafaka kutoka kwa KM, oneday nikamwambia, kwa kuwa dada kaondoka itabidi nikatafute pengine pa kukaa. KM akanambia ww ni mdogo wangu pia. Hapa ni nyumbani. Tutakula tutakachojaaliwa. Tutavaa tutakachojaliwa. Mungu hatatutupa. Basi tukakaa pale mpaka nimemaliza form six. Kifo cha madam kilimaffect sana KM, hata soka kiwango kikashuka, ikabidi asajiliwe na timu moja ya jeshi. Chuo nikafanikiwa kupata nafasi ya kusoma B.A education. Mwanangu anazidi kukua, and she was a beauty, a true Ethiopian queen kama Cleopatra mwenyewe. Nywele ndefu, rangi nyeupe kama mwarabu, macho ya baba yake, watu wakajua nimezaa na mhindi[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nikiwa chuo KM ndo annakua baba mlezi wa mtoto akisaidiana na housegirl. Mwaka wa kwanza ukakatika. Mwaka wa pili ukaisha. Mwaka wa tatu, KM akapata injury so mpira ukawa basi tena. Bahati nzuri jeshi likampa ajira akawa anatrain vijana wenye vipaji pale kwenye shule ya jeshi. Kipindi chote hicho KM sijawahi muona na mwanamke. Oneday nikamuuliza tu kiutani, shem, si uoe nipate wifi. Kasema eti anamsubiri mwanangu Nora akue ndo amuoe hahaha. Tukaishia kucheka pale.

Then one day sijui kazini kwao alifanya kitu gani wakampandisha cheo, so alifurahi balaa, ameinfmgia tu ndani “Rona, Rona, nimepanda cheo job" and he started loughing alafu akanihug, nikamhug pia. Ila nikashangaa hajibandui, mara nastukia shavu lake kwenye shavu langu, mara anaupeleka mdomo wakr shingoni kwangu. Mm nimetulia tu. Then akawa kkama ameshtuka hivi akastop. Akaniachia. Akaniomba radhi. He is such a gentleman. Najua anahamu za miaka, maybe amedevelop feelings kwangu. I just said, its ok. Hongera kwa kupanda cheo, leo will cook pilau, akatabasamu.

Nimemaliza chuo nikapangwa nikafundishe Msalato. Mm nshazoea mjini. Nikamuomba KM anifanyie mafekechee, akasema sku izi hana connection tangu atoke timu kubwa watu wanampita tu hata hawamsalimii. Baadae nikakumbuka jina la yule waziri professor, oneday nikaenda hadi ofisi yake. Katibu muhtasi wake akaniambia hana muda siku hiyo. Yaani nimeenda pale kama siku nne mfululizo hola, siku ya tano nikakutana na waziri ground floor. Nikamfata, nnikajitambulisha kwa harakaharaka wakati huo tunatembea na kuna watu wengine. Then akasimama akatoa miwani akaniangalia akasema ahaa ww ndo mdogowake KM, nikajibu ndio, sawa, njoo jumatatu saa nne.

Kweli j3 nikafanikiwa kumuona. Nikamsomesha pale anifanyie mpango nipangwe jijini hapa, basi akasema tuonane jioni Kilimanjaro hotel. Then tuone tunafanyaje. Yaleyale ya bamdogo, yani wanaume hakusaidii mpaka apate chake dah!. Mwanzo nikasema niachane nae, ila nikasema liwalo na liwe, ngoja nibaki town. Jioni nikaenda. Waziri kanipeleka room, kanivua nguo kanilaza chali. Bila hata maandalizi kamtoa jongoo kampachika. Was like a robot, machozi yananitoka, sio kwa maumivu, ila nilikumbuka mama alivyoniita malaya, dah, leo kweli nimekua malaya. Nikajiapiza, this is the las time kufanya u malaya.

Kesho yake akanitambulisha kwa mhusika wizara ya elimu, sijui mkurugenzi wa kitu gani nishasahau. Nikiwa ofisi ya huyu mkurugenzi akaingia mbaba mwingine wakasalimiana kama marafiki, nikawa natoka nje niwapishe, huyu mbaba kasema noo, just stay mm nimepita tu. Yule mkurugenzi ndo kanitambulisha huyu ni mtoto wa kaka yake waziri prof, oooh! Kumbe. Mm ni mkurugenzi ofisi ya ujenzi, mawasiliano na uchukuzi. Mwenyeji wangu akamwambia tunamtafutia shule nzuri hapa mjini akafundishe. Yule mgeni kauliza, “umesomea nini" nikajibu, kasema kwanini mrembo kama wewe ukachafuke chaki, njoo wizara yetu.

Nikawa excited, really! Kasema yeah. Basi mipango ya kupangiwa shule ikaishia pale, nikaambatana na yule mkurugenzi hadi wizara yao. Akanipa options tatu, niwe katika ofisi ya raslimali watu, ofisi ya uhasibu, au ofisi ya mawasiloano kwa umma. Nikachagua raslimali watu, basi kirahisi tu kaniambia jioni nimpelekee vyeti pale new Africa hotel. Damn! Hapa nishaliwa tena duh…. Jioni nikaenda kweli… nikaliwa kweli. Nikajiapiza tena, this is the last time nafanya umalaya.

Kweli niliansa kazi, ila nikajiongeza kwa kujiendeleza kielimu mpaka sasa nina postgraduat diploma ya Business Administration upande wa human resources. Nimekaa pale wizarani muda mrefu sana, nikipanda cheo baada ya cheo. Mpake nilipohamishiwa hapa Dodoma. Ambapo umenikuta.

Dah… imepitia mengi mpenzi, nikampa pole. Ila nikamuuliza tena, KM yuko wapi siku hizi,? akanijibu “ndo mume wangu unayemuibia kila siku", nimezaa nae two kids. Nikajikuta najisikia guilty…. Yani namfanyia ufedhuli KM, such a good guy. Bt I wanted to know more, Mlitongozanaje? Nikadadisi, “kuna siku tu niliwaza kuwa no man will marry a woman with a child, na KM alishaoneshaga dalili ya kunitaka,so usiku wake, nikatoka room kwangu hadi kwake. I has a short night dress and nlijua akiniona lazma atamani. Nikamkuta ametoka kuoga, aliponiona alijua nilichofuata. Ndo ukawa mwanzo wa mahusiano na MK.


Sijui alikumbuka nn Ronna, ila baada ya kumaliza kusimulia akaanza kububujikwa machozi. Nikawa nimemkumbatia, bila kusema kitu, akiwa bado analia mkiono wangu ukaanza kupapasa mgongo. Then nikashuka kwenye tako. Nampapasa tu slowly. She continued crying, nikashangaa dushe imesimama dede,… bbasi nikaona huyu ili atulie lazma nimpe tam. Nikaanza chezea kutumbua, nikazamisha vidole, nlipoona ulaini upo sikutaka romance sana, nikamtenga ile ya mende kafa nikapenya. Huku analia mm napump. Nikaona ananihug kwa nguvu…. Pls don’t hurt me…. You are the only person I’ve ever loved. Nikawa napump huku nanyonya lips. The sex was so good. Hadi anaenda kwake ni saa tano na.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfate uweke sawa muendele na urafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyomla boss na mmama mmoja kimasihara,

Huyu dada tunalingana umri ila yeye ana mwili mkubwa kiasi hata wakubwa kwake wanamuamkia wakijua ni mkubwa kiumri na kaolewa na mzee umri wa baba yake basi anazidi kuonekana mkubwa
Nilifahamiananae miaka mi3 kabla na kipindi chote hicho nilikua namuamkia nikujua ni mkubwa kwangu, nilikua namuuzia biashara flani hivi ya kimagumashi katika kuzoeana ikawa siku akiwa na mteja kanunua mzigo mkubwa ananiomba naenda kumsaidia,
Alikua na maduka ma2 mdada wa duka moja wakashindwana akaniomba niwe namsaidia baadae tukaingia mabkubaliano kwa kunipa mshahara mzuri,

Siku moja asubuhi kaja kusalimia duka nililokua kisha akarudi kwake dk chache akatuma sms umependeza! Nkajibu asante... Baadae nkafata kitu kule kwake nkampiga jicho ananiangalia kwa aibu sana akili ikaanza kunicheza,
Siku moja kasafiri kaenda kijijini akiwa njiani kanitumia sms "Samboko una damu ya kupendwa sana" nkamuuliza kwanini akatuma ya kicheko tu, yaani hiyo siku ilikua asubuhi nilikua namfikiria alivyo mzuri afu anaonekana kunielewa nilidindisha karibu kila saa nnapomfikiria, niliteseka sana siku hiyo pumb*u ziliuma adi nkashindwa kutembea vizuri, natembea kama nimetoka kutahiriwa vile.

Baada ya siku 3 karudi kesho yake jioni tunarudi home ananipigia stori kuhusu mchepuko wake ambae ni mfanyabiashara karibu na maduka yake, ananiambia na anavyomfanya ikiwa ni pamoja na kumnyonya K (hapo nkapoa kidogo maana sikua nimewahi kufanya hicho kitu)(na hapo nkaona ananiandaa kisaikolojia ili nijue anapenda kufanyiwa hivyo) nkajifanya kumsapoti kama najua vile, yaani stori zake zilionyesha kabisa anataka nini, akaniacha magomeni nilipokua naishi yeye akaenda zake kijitonyama, nkawa nawaza ntawezaje kunyonya uchi wa yule mdada,
Akili ikanijia nitest kwanza kwa demu wangu, kesho yake nkamuita kaja home kwa mara ya kwanza nkalamba k ya demu wangu hapo nachukua mazoezi na ktk mbwembwe za mazoezi hayo nkajikuta namng'ata kidogo kicmi huyo demu wangu adi akahisi maumivu ila sikujua (nilijua baadae huko maana ndio mke wangu sasa hivi)

J2 moja boss kaniomba twende kwake nkapajue mmewe alikua akifanya kazi ofisi za bunge hukoo.... Kwa hiyo hakuwepo, tumefika stori za hapa na pale imefika saa mbili usiku akawataka watoto wakalale sisi tukatoka sebuleni tukahamia kibarazani kaleta bia tukawa tunakunywa, saa 4 hii hapa namuona kabisa ashalegea kiuogauoga nkamgusa ziwa (maana ndio ilikua romance ninayoijua pekee) nkaachia akawa ananiangalia tu nkalishika tena na kuliminya hapo akaanza kutoa kisauti cha kufurahia nnachomfanyia huku akileta mdomo tule denda (mara ya kwanza pia), nkainua blauzi hakua na sidiria nkalinyonya, wee dk 2 nyingi namuona anashusha chupi fasta nkamlaza palepale kibarazani maana hatukua tumekaa kwenye viti nkatoa dudu nkachomeka pampu pale dk 5 naskia "nakojoaaa" kama mara 3 hv akawa anabana miguu nkafosi adi na mimi nkakojoa, akachukua chupi yake akanifuta afu akakimbilia ndani (alikua na aibu sana) aliniagia dirishani,

Kesho yake hakuja kazini, jioni akanitumia sms "utapitia huku?" nkajua tu anawashwa maana mimi natoka kkoo naishia magomeni yeye yupo kijitonyama napitiaje kwake? Nkamjibu sawa akasema njoo kama saa 3 hivi usiku, nkafika mida hiyo nkakuta nyumba kimyaa tukaingia chumba kimojawapo tukaanza yetu, kwa mara pili nkalamba k, kama dk 3 keshakojoa, na akishakojoa hawezi kuendelea tena hadi dk 5 mpka 15 ndio mnaendelea yaani anasinzia kabisa hadi umshtue, amepata nguvu nkazamisha dushe piga pale hata dk 10 bado anakojoa tena hapo na mimi nakaribia nkam'bana maana alitaka kunitoa apo nkaongeza kasi hadi nkakojoa hapo yeye yupo hoi, yaani siku hiyo alikojoa mara 6 adi akashindwa kutembea vizuri, alijaribu kwenda chooni kashindwa nkamuacha kalala mimi nkasepa,

Tukawa tumefungua ukurasa wa mapenzi, ndani ya miaka mi4 nilienjoi sana na mateso juu maana alikua na wivu adi kwa wateja, aliamua kuhama duka lake akaja nililokua mimi ili tukae wote anichunge, alisababisha eneo zima pale kkoo kujua uhusiano wetu, yaani mchana kweupeee anakutoa dudu anaanza kuichezea na kuinyonya (ndio utundu pekee aliokuanao) hapohapo dukani, mteja anakuja anamuhudumia yeye mimi huku dudu iko nje afu natizamana na huyo mteja lkn hajui kinachoendelea huko chini, kuna siku tunakulana hata mara 6 kwa siku, asubuhi anapitia morning glory kwangu, mchana kuna siku tunaenda stoo hata mara 4, jioni tunapitia kwangu tena, yaani hata akiona nzi wanakulana anapata nyege, siku nyingine tuliona mbwa wanakulana kwa baba yake mzazi ilibidi tuzunguke nyuma ya nyumba alaze kanga tuyamalize (hii stori ipo kwenye mada ya "sehemu hatarishi kuwahi kula tunda")

Mimi nna mwili mdogo kiasi yeye mkubwa sasa anataka tulingane eti ili nisionekane kibenten, akasema tuanze gym wewe uongeze mwili mimi nipungue, tukaanza mazoezi gym moja ilikua magomeni mapipa pale, mazoezi yamenikubali kiasi misuli hiyoo(nna kifua kimejitenga kwa kuzaliwa ukiongeza na vyuma basi kifua hicho km nna miaka gym), sasa kule gym kuna sauna tukiingia kule kulikua na mibaunsa flani hivi mi2 ilikua na tabia ya kutingisha kifua sasa wale mademu tunaoingianao kule wakawa wanawafurahia sana mimi nkawa naona noma kufanya hivyo maana naweza kwa kumhofia boss wangu ana wivu sana,
Siku moja boss alichelewa kuingia sauna na wale mabaunsa hawakuwepo siku hiyo, sasa kidada kimoja kikasema leo vifua havipo, mmoja akadakia mwambie samboko (wengine wanaume wa2 walikua watu wazima kiasi) nkacheka tu, kakauliza unaweza? Nkajibu kwa kutingisha ziwa moja wee wacha watake nitingishe sasa huku wanashangilia yaani km watoto wakati wengine watu wazima, nkatingisha kidogo pale wao wanashangilia adi nkaona aibu nkatoka maana boss angekuja akute hiyo ishu angemaindi hapohapo, maana alipokuja kuingia wakamwambia akaja kunimaindi wakati tunaondoka. (walikua wanahisi nadate nae)
Kuna mmama mmoja alikuwepo siku hiyo alikua na miaka 43 dizaini wapemba sijui mwarabu hivi mweupeee wale wanaokaa maeneo ya magomeni, sasa ikawa kila nkiwa karibu nae kule gym anataka nimtingishie ziwa, wakati mwingine nafanya sa ingine nampotezea, siku moja tumekaa mahali pamoja pale gym akaniambia unavyofanya hivyo adi mashavu yangu yanafanya hivyo pia, (sikua nmemuelewa baadae nkaja iwazia nkajua alimaanisha nini) yaani tukiwa gym anapenda kuniangalia sana hadi boss akajua akauliza nkajifanya sijui kitu
Siku moja boss kanituma kwenye gari nkamchukulie nguo zake yeye kaingia kuoga, kufika chini nakutana na yule mmama anaingia kwenye gari yake lkn sio upande wa dereva nahisi kuna kitu alifata kanikonyeza huku anacheka na mimi nkamjibu kwa kumtingishia ziwa, akasema tena mi nkawahi kufata kilichonipeleka, ile narudi akaniita alikaa ndani ya gari mlango wa nyuma, akaniuliza kuhusu boss km namla nkamkatalia akadai mbona anakuganda hivyo? Sikumjibu kitu, ila nkamshika ziwa na kumwambia na wewe si utingishe lako? Salaaale, balaa likaanzia hapo yaani alilitoa lote nje huku akisema "ona mi siwezi" hata sijui nilitoa wapi ujasiri nilijikuta nshalidaka na kulitia mdomoni, palepale yeye akanivuta kwa nguvu adi ndani ya gari mlango ukafungwa mi nanyonya ziwa nashangaa mtu anashusha taiti yake mix na chupi fasta mguu mmoja, akanishusha kidogo kipensi kamix na boxer akashika mashine kajiwekea huku anasema nitom.... nitomb..... Km dk 10 hivi akasema tayari tusijekutwa hapa, wakati navaa fasta akaniomba namba nkamtajia nkasepa, usiku tukawa tunachati adi mchana ananitumia sms aliniahidi ataninunulia gari km nkikubali kua mpenz wake wa kudumu, boss akaziona ila hakujua ni nani, akaenda kurenew line yangu akawa anachati naye na kujua tumekutana gym wakatukanana sanaa boss akanimaindi sana akaniambia sajili line mpya nkawa nimepotezana na yule mmama maana sikua nmeishika kichwani namba yake na ile gym hatukwenda tena na ilifungwa miezi mi2 baadae, tukahamia gym moja ilikua maeneo ya moroco nako kukawa na wadada wananizoea sana akawa hapendi na habari gym ikaishia hapo.

Huyu boss ndio mwanamke alinifanya nisiogope tena wanawake na kuendeleza tabia yangu ya kupenda k niliyokuanayo tangu utotoni maana tangu nilivyokuja mjini nilikua naogopa sana wanawake baada ya mama yangu mdogo kufa kwa ngoma namuona hivihivi alikonda akawa km mtoto wakati alikua bonge.

Tuliachana miaka 8 iliyopita baada ya mimi kufosi nkaoa (alikua hataki) baadae nae kaokoka hadi sasa hivi tunafanya kazi wote na tunaheshimiana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…