Ndhan upo sahihi kabisa but am not argue kwamba hakufanya makosa ishu ni katoa simulizi kama masimulizi mengine ya kula kimasihara(regardless ni sahihi au haikua sahihi) sasa why tumuhukumu? 42774277,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wewe kiazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumsifia jamaa kapanga ushuani ni kiazi..!!

Nina uhakika huko mkoa ulipo hakuna Uber, na kama unaishi mjini ‘uswazi’ utaelewa jinsi ilivyo ‘rahisi’ kumwelekeza Uber na akafika bila hata kuuliza.... nakazia kwa maelezo ya jamaa ni mitaa michache ya kishua yenye mageti ya nambari.

Tuseme nawe unaishi ushuani mzee.
 
Ngoja na mm nilete yangu baada ya kuwa na hofu ya kugundulika maana muhusika mmoja huwenda akawepo umu ila acha nitumie code ngumu. Ni maeneo flan ya jijini dsm mzee wangu marehemu mwenyez mungu alimbariki kujenga baadhi ya nyumba mjini apa kuna siku nipo magetoni kwa washkaj naishi, sister yng flan akanipigia simu kuna mpangaji na madalali wamemleta nyumba iliopo X hivyo niende nikamalizane nae taratibu zote za mikataba nae,basi bila kujiuliza mm nikachomoka kufika nakutana na mdada flani makamu ya 39's nikamalizana nae ila akanijuza yeye sio mtu wa kukaa sana

anasafiri kikazi yeye ni mpishi wa melini ila kuna mdogo wake makamu ya 19's ndio nitakuwa nae baadae jioni ndio ataingiza vitu hivyo ataniachia funguo na atachukua namba yangu na atampatia ili akija nimpatie na akanisisitiza kichwa chake uyu mdogo wake ni i dont care anaomba nimsimamie kwenye ilo, basi sawa nikaona acha niwe around kwavile ipo extra room apa na nikapiga usaf fresh ata nikichelewa nitaangusha apa apa. Basi bana mida ya usiku kama saa3 kasoro simu ngeni inaingia "mambo nimepewa namba yako nimeambiwa unaitwa pierre liquid ww ndio mwenye nyuma utanipatia funguo mm nipo getini nimefika upo wapi" nikamjibu nakuja.

Bana kufika nakutana na mtoto flan mbichi chuchu zinaonekana kishundu flan kidogo mweupe mtu wa nyanda za kaskazini kati, tulivyo kutanisha tuu macho kiukweli tulielewana akacheka akaniuliza inamaana ww ndio mwenye nyumba mbona mdogo lkn, mm nkatabasamu nkamwambia mm sio mwenye nyumba mm nimekabidhiwa funguo mm pia nimepanga pia apa sema namuda apa kidogo ndio nasimamia kishkaj , akacheka. Akachukua funguo nikamwambia bas mm natoka ntarudi badae, akaguna mmmh jaman mwenyej gn unamkimbia mgeni unakimbilia wapi kwa wifi au, nkacheka nkamwambia amna 20mins ntakuwa nsharudi ntakupa kampani usihofu.

Basi akaniambia usichelewe mm naogopa na kulivyotulia hamna wapangaj wengine nkamwambia yule mmoja sema kurudi usiku sana na kuondoka asubuhi, basi hivi akanijib poa ziwe za kwel basi. Baada ya kuondoka nilichelewa kurudi nikarudi kama saa5 usiku nikiwa njiani naona ananipigia pierre liquid upo wapi nkamwambia nipo njian nafika mda so mrefu basi manzi kanung'unika sana mpaka nkajiuliza uyu manz vp.

Ile kufika home namjuza nimefika katoka ndan na kanga kaendelea kunisema kwann umechelewa wakati nlikwambia mm naogopa nkamjibu lakini si nisharudi basi akasema leo tunakaa apa nje wote mpka kunakucha. Mm nikatabasamu na mda huo huo kichwa cha chini kikanipa green light sign.

Tukapiga story km nusu saa kujuana zaidi nn, basi nkamjuza mm naenda kulala maana asbh inabidi niamke mapma kn sehm nikachukue nguo ndio niende job. Bila kutarajia akaniambia basi njoo tulale wote uku mm naogopa.

nkamwambia unahatari ww dada yako akija kwann ww usije uku kwangu akanihakikishia hawezi kuja kwa vile kichwa cha chini kishapata moto nikapanga naenda kule namuweka kimoja afu narudi room kwangu.

basi bana yani kuingia ndan tuu ata hamna tulichoongea ni romance na tukajikuta viuno vinacheza. Baada ya hivyo akili ndio inanirudi nikimbie kwangu demu kagoma nisiondoke sema demu yupo kimah*ba nkajikuta namchapa cha pili cha mwendo mrefu full milio mimaji tulivyomaliza na yeye ndio usingiz moja kwa moja mm nikaona hii ndio fursa ya kuchomoka umu nikachomoka baadae kama saa 9 kasoro usiku kanipigia simu yani ndio umenikimbia kwel nkamwambia siko comfortable kabisa uko.

Akaniambia bas nakuja mm uko mm nataka nataka zimenijaa sana nlikuwa sipati uhuru. Baada ya dk2 manzi uyu full gemu usiku kucha mpk asubuhi mwili wote hoi sina nguvu haya mambo ya kukamia haya. Ikabidi niombe udhuru job nikaruhusiwa na yeye vile vile hivyo tukaagiza supu kiukwel tulit**ana hii siku nzima mpaka nilimkimbia huyu manz nahisi ana jini mahaba maana sio kwa kuitaka mb**o* vile ila baadae nilikuwa nakula mzigo kama nimeoa na mpaka leo hakuna aliesanuka hii ishu.

Nachompendeo uyu manzi anajua kucheza na siku zake na anakwambia hii wiki hapana ni danger. Ila nina mwezi sijaenda na kitachoniachanisha na uyu manzi anapenda ngono kupitiliza unaweza ukose afya ukimuendekeza. J4 njema kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Such a lovely story hebu wasidie kina Kigosi kuzndikaga story aiseee,so upande wa baba wa kikurya alikuja kumsamehe mwanae?
 
My girlfriend alitaka kuniacha sababu
ya huu uzi.

Ipo hivi, majuzi kati nilipost kula kimasihara kwa mtoto wa kirangi kitoka kondoa, nilielezea kila kitu kuhusu mazingira yalivokua na hadi kumla yule mtoto wa kirangi.

sasa jumapili ya juzi kulikua na ubatizo hapa kwa jirani, watu kibao walialikwa na sisi tukiwemo, tukanywa pombe chakali, jirani akaomba nimsindikize anapowarudisha wageni stand kwa gari yake ili asiwe pekeake kwny gari, kwa vile nimelewa, nikampa simu yangu wife aingie nayo ndani adi nitakaporudi.

sasa tumekwenda kusindikiza wageni, safar zikawa ndefu na huyu jirani yangu, tumezagaa hadi sa saba usiku,

nilivorudi home, wife akanambia kaoge kwanza ndo uje ulale, aiseee, nimetoka kuoga nakuta wife ameamka na amekaa,
kumbe kasoma kile kisa chote cha kumla yule mrangi kimasihara na ameshamjua ni yupi mana aliweza kuunganisha doti.

nimeyumba sana, nimejitetea sana japo nimekataa kabsaaaa kua nimemla yule mdada, amenisamehe kwa sababu ananipenda ila nimeumia sana kumuumiza mwanamke wangu, najisikia vibaya sana, nimejiona mpumbavu sana aiseeee.

imenidi nifute coment zangu zote huko juu kuhusu kula kimasihara ili maisha yaende kwa muda huu.

amenisema hadi nimejiona mjinga, nilikua mdogo kama piliton, nimekosa adi ujasiri wa kumtazama usoni, thou she is okei now but mimi nafeel guilty sana.

najuta kufanya vile, najuta kwnn nilimuachia sim yangu wakati sipo nae,.

tuwe makini wanazengo, tuheshim mahusiano yetu.

play safe, love life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mwanangubumejitahid kuweka tubderails kidogo angalau inasisimua.
Ahahahaha
 
Pole kwa yaliyokupata mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…